Nilionja machungu ya kuwa HIV+, unyanyapaa ni unyama

stori yako imejaa matobo mengi, tukiachana na huo uwongo huo, hebu tuaambie mwaka 2007 kulikuwa hakuna vocha za buku? najua hili hutaweza kujibu, utalipotezea kama hujaona
 
Naona kama watu weusi tuna laana hivi, yani UKINYWA COCA VIRUSI VINAPOTEA??!!.
 
Unanufaika vp ikwa ukweli au ikiwa uongo,( just curious),By the way hata based on true story huwa kuna uongo
Hili Swali narudisha kwako mheshimiwa,unanufaika vipi wewe kujua Mimi ninachonufaika?
 
Basi Kama Ni ndondo Basi kombe nimekupa.
 
Aisee Dunia ina mambo!
 
Sijasema Ishi waligawa vipimo elewa tu watoto wa mjini tulivipata sana kupitia connection na sio kwamba Ishi walikuwa wakipima wenyewe hapana, walikuwa wana wadau wao kama ANGAZA na AMREF pia kuna NGOs zilikuwa na vibali vya kupima vipimo walipewa na serikali. Naongea kitu nnachokijua ndugu nimekuwa karibu sana na huyo mdau wangu kila walipoenda kwenye event alikuwa anakuja na vipimo. Vipimo vya kwanza vilikuwa vinafanana na vile vya mimba alafu baadae vikaja vile vipana vya plastiki (angalia picha)

(picha ya mtandao)
 
Voucher/Dollar za buku 5.
View attachment 2229579
So hizi zilikuwepo mwaka 2007 kipindi anawasiliana na huyo demu wake Spicy? Au mnamezeshwa matango pori na kuyameza tu

Dah! Buzz!.... Umenikumbusha mbali sana. Inawezekana nisiwe sahihi sana kwenye mwaka lakini nakumbuka tumeanza kutumia vocha zikiwa katika thamani ya USD na tuliita dola5 na dola10 baadae ndio zikatoka zenye thamani ya Tshs. lakini bado tuliita dola. Ndugu hatahivyo nimejitahidi sana kukumbuka haya ni zaidi ya miaka 15 sikuwa na diary ya kunote kila kitu lakini nakumbuka enzi hizo. Nashindwa kukomaa na hili sababu sina uhakika vocha za buku mbili na za buku zilitoka mwaka gani.
 
Inachekesha na kusikitisha hapo hapo, dah πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Hawa nawakumbuka sana kupitia kituo chao walinifungulia dunia ya internet na kujua computer kiujumla. Nakumbuka ulikuwa unalipa 500 unakaa 1hr. Wakanizoea hadi wakawa wananiachia ofsi weekend nilikuwa kidato cha pili naona raha tu nafanya kuwawekea muda wanaokuja via time watcher.
 
Fresh mkuu!nimekuelewa Mimi.
 
Unanufaika vp ikwa ukweli au ikiwa uongo,( just curious),By the way hata based on true story huwa kuna uongo
Upo sahihi mkuu, kwakweli tunatofautiana sana uelewa, lengo lilikuwa ni kuwajulisha nilivyotendwa sababu ya unyanyapaa alafu mtu anakomaa na swala la vocha πŸ™
 
Hiyo statement ya coke inaonyesha kiasi gani tz tupo gizani
 
Hii miaka hiyo ilikuwa kawaida sana kuzushiana, hasa kwenye hivi vimiji vidogo...

Nakumbuka 2003/2004 kuna mdada nilimpenda ila nikakutana na story eti ameukwaa na wamemuona kabisa hospitali anachukua dawa ...ilibidi nivunge tu wala sikuwahi mwambia lolote.

Tumekuja kuonana tena miaka mingi baadaye, kuna siku ikabidi nimuulize ni kipi hasa kilitokea, kiukweli alisikitika sana kumbe na yeye alikuwa kwenye stress kali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…