Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

Ndoto nyingi hazina maana yoyote so usipoteze muda mwingi kwenye kuwaza ndoto itafanya nini

Kama jambo limepangwa kutokea hutokea tu kikubwa ni kujipanga kwa jambo ambalo litatokea
 
Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa

Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku?

Mshana Jr Da'Vinci
Unaenda kwenye mwanzo mpya wa Maisha.

Yaani Kuna kitu unaenda kukianzisha upya Mimi sijui kito hiko lakini Kuna Jambo jipya utalifanya muda sio mrefu na hili pia Kuna msaada wa watu nauona pia.
 
Back
Top Bottom