Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

Usiwasikilize hawa UCHWARA wanaokwambia ati NDOTO HAINA MAANA... chunga sana utapigwa na kitu kizito sana.

Yanayotokea kwenye ndoto lazima yatokee kwenye ulimwengu halisi.

Huenda ndoto ya kifo ikawa na maana tofauti, lakini lazima IJIDHIHIRISHE na ITIMIE.

Kazi ni kwako, KUIZUIA au KUKUBALIANA NAYO.

Ukikubaliana nayo hakuna anayeweza kuizuia hata kama ina madhara mabaya kiasi gani. Hata Mungu mwenyewe hawezi kuizuia.

KAZI NI KWAKO.
 
Anza kusali Sala zako za mwisho mwisho ndo unaondoka hivyo!
 
Mpigie Dominic Dibwe Kiboko ya wachawi akuepushe na kifo cha mapema ,andaa maokoto ya kumpa.
 
Tafuta mchawi mtaalam wa ndoto(Oneiromancer) kutoka chuo kikuu cha uchawi, The Gronelberg University of Sorcery and Mysticism.

Ndo chuo namba moja cha uchawi duniani,

Graduates wa kule wapo vizuri sana, tatizo lako litatatuliwa.
 
Kheri wewe ume subiri hadi part ya kufufuka ndo uka shtuka , mimi nilishtuka wakati bado nme kufa
 
Hiyo sio kitu kizuri kaka ktk ulimwengu wa roho upande wa giza, usipuuzie hata kidogo anza kufuatilia. Mimi nimepitia hayo na sasa niko kwenye shida mwaka wa tatu huu nlianza kuona mambo ktk ndoto nikadharau n kujua ni ndoto tu.

Unaweza kusoma thread yangu kwa ufupi.
 
NDOTO ZA KUFA AU KUZIKWA KABURINI AU KUPIGWA RISASI huwa zinafuatiwa na UGONJWA MBAYA kama KANSA, KISUKARI, UKIMWI, KUPOOZA na VIFUNGO VIKALI VYA KIROHO.
Hapa mimi naotaga nafukuzwa na Polisi tena wazungu yaan unakutwa naswakwa na zile ndege za kijeshi full kukoswakoswa aiseee
 
Back
Top Bottom