Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Duu basi itakuwa wivu kazini huko, bandam hapana hawafaiKwa mujibu wa ndoto ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu basi itakuwa wivu kazini huko, bandam hapana hawafaiKwa mujibu wa ndoto ndio
Matokeo ya ndoto hizo huwa ni magonjwa yasiyoisha, vifungo vikubwa vya maisha vinavyotokana na mambo ya giza.Hapa mimi naotaga nafukuzwa na Polisi tena wazungu yaan unakutwa naswakwa na zile ndege za kijeshi full kukoswakoswa
Yapi mkuu tufumbuane, maan mimi nimetoa Miaka mingi sana ndoto hizo sasa hivi anasumbuliwa na mguu mwaka wa pili huu hela zote zinaisha huko
Aku! Safari Yako pekee yakeSafari yetu sote niko tayar
Hhahahha daaahHizo ndoto muda mwingine sio za kuamini hazina kweli yoyote
Imagine Mimi nimewahi kuota katika kipindi tofauti kuwa tupo karibu na diamond zaidi ya Mara 3 katika maisha yangu yaan tupo marafiki
Tumewahi kumuota Muhammad huyu Nabii wa waislam katika sehemu tupo wote ananifunfisha
Nimewahi kumuota Cr7 yupo Manchester tunacheza wote mpira na mm nikiwa katika hiyo timu ya Manchester
Nimewahi kuota vita ya Dunia ambayo urusi ndio ilipoanza na mm nikiwa urusi basi nikawa napigana na maadui na kuwapiga peke yangu nikawa nawaauwa sana na likarushwa bomu la nyukilia likawa linakuja pale nilipo kuwa mm napigana watu wakawa wanapiga kelele bomu ilo linakuja watu wakaanza kukimbia ovyo Mimi nikaruka na kupaaa na kulidaka angani ni kuruka juuu na kulikamata kwenda kulitupa nje ya dunia
Embu angalia hizi ndoto utakuja kuona hakuna maana yoyote zaidi ya kufurahi ukiwa ndotoni ukiwa na ndoto nzuri