Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Hapa mimi naotaga nafukuzwa na Polisi tena wazungu yaan unakutwa naswakwa na zile ndege za kijeshi full kukoswakoswaNDOTO ZA KUFA AU KUZIKWA KABURINI AU KUPIGWA RISASI huwa zinafuatiwa na UGONJWA MBAYA kama KANSA, KISUKARI, UKIMWI, KUPOOZA na VIFUNGO VIKALI VYA KIROHO.
Yapi mkuu tufumbuane, maan mimi nimetoa Miaka mingi sana ndoto hizo sasa hivi anasumbuliwa na mguu mwaka wa pili huu hela zote zinaisha hukoHiyo sio kitu kizuri kaka ktk ulimwengu wa roho upande wa giza, usipuuzie hata kidogo anza kufuatilia. Mimi nimepitia hayo na sasa niko kwenye shida mwaka wa tatu huu nlianza kuona mambo ktk ndoto nikadharau n kujua ni ndoto tu.
Unaweza kusoma thread yangu kwa ufupi.