Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

Ndoto nyingi hazina maana yoyote so usipoteze muda mwingi kwenye kuwaza ndoto itafanya nini

Kama jambo limepangwa kutokea hutokea tu kikubwa ni kujipanga kwa jambo ambalo litatokea
 
Ndoto inasababishwa na memory card .
Subconscious mind yako inachukua memory card moja inatengeneza ndoto
Wakati mwingine inachanganya memory card mbili ambazo ni incompatible, halafu unaota ndoto bizarre.
 
Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa

Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku?

Mshana Jr Da'Vinci
Unaenda kwenye mwanzo mpya wa Maisha.

Yaani Kuna kitu unaenda kukianzisha upya Mimi sijui kito hiko lakini Kuna Jambo jipya utalifanya muda sio mrefu na hili pia Kuna msaada wa watu nauona pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…