Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

Inakuwaje hakuna lami huko, kwetu upareni lami mpaka kijijini kwetu Usangi. Yaani nikitoka Dar hamna sehemu nakanyaga vumbi
 
Phd gwanyoko
 
Ila kuna masaki hapa dar...jamani barabara za masaki zina mashimo ile mbaya...na watu husema masaki ndo the richest
 
Na bado takwimu zinasemaga Kagera ndo wanakipato kidogo zaidi....nasemaga hii[emoji23]
 
Hapo Shinyanga Kiwanda Cha Jambo Panaitwa Maganzo
Ndiyo Unaingia Barabara Ya Kishapu Huwezi Amini Kama Unakwenda Wilayani
Meatu Nako Oops!!!
Hata manispaa ya shinyanga haieleweki kabisa...bora hata kahama...

Na shinyanga iko top ten ya mikoa ya watu wenye kipato kadri ya serikali
 
Wachaga wamewekeza kwao[emoji23][emoji23]....

Mji wa moshi unazidi kuwa mchakavu kila kukicha wako wanabishana kuhusu stendi na mibajaji mjini...

Kimsingi hii tz bado sana..
 
Kuna jamaa wa Dar alikuwa anaogopa kwenda kumtembelea ndugu yake wilaya fulani huko Kagera. Alikuwa anadai wamemwambia kuna vumbi sana!!!
Mbona hapa Dar tu barabara za upanga baadhi zinavumbi?...

Barabara za mbezi beach na kimara ukiacha main road ni mavumbi tupu...

Huyo alikuwa mjinga tu
 
Wachaga wamewekeza kwao[emoji23][emoji23]....

Mji wa moshi unazidi kuwa mchakavu kila kukicha wako wanabishana kuhusu stendi na mibajaji mjini...

Kimsingi hii tz bado sana..
Tz bado sana ila kwa Tz wachaga wana unafuu ukilinganisha na wengine,tuache chuki tuwe wakweli
 
S
Tz bado sana ila kwa Tz wachaga wana unafuu ukilinganisha na wengine,tuache chuki tuwe wakweli
Sio kwamba mtu asipokubaliana na hoja Yako ana chuki na wew...nani awachukie wachaga mkuu...

But ukwelin useme huko Moshi hakuna tofauti na mahali pengi tu nchi hii...na Wala hakuna maendeleo ya kusema Kuna unafuu....ni utalii wa mlima ndo unawaokoa lakin nothing special...

Tazama huu mji wa Moshi ulivyochoka na mibajaji, bodaboda, nyumba chakavu na maghorofa kibao yasiyoisha...utakuwa kichaa kumuaminisha mtu kuwa moshi inamaendeleo...unless mtu hujui maana ya maendeleo

View: https://youtu.be/bSOFMSVHizY?si=gMIFreWDar1w7F0H
 
Acha chuki kwa wenzio
Maendeleo yapo na yanaonekana.
Ukizidiwa kubali na ujifunze
 
Jiji lina wenyewe hiloo...
 
Kwa mikoa ya Tanzania ni kweli Dar ndio kila kitu usibishe, kwani huoni hata wabunge wenu mkisha wachagua wanakuja kuishi Dar.
Alafu ni mijinga hii mibunge bunge linaendelea unakutana nao ware house masaki wako na mademu sio wake zao, kwanini wasikae majimboni watatue kero za wananchi, Tukileta katiba mpya ni kuwapiga pini washinde majimboni…
 
Niambie eneo la mwanza lenye hadhi ya masaki
Sehemu kama goba yenyewe mwanza haipo, masaki umeenda mbali mastaa, tuseme ukweli tu, The late Magufuli kwao chato ila nyumba yake kali ipo maeneo ya ada estate, juz mke wake kapewa nyumba sijui itakuwa dar au dodoma ila nadhani ni dar, sina uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…