Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

Nchi hii ni shthole Kaka najuta kuwa na familia laiti nisingekuwa na familia bora ningezamia kama wale Walibya wanafariki majini wakizitafuta ndoto zao kwenda Ulaya harafu nakuta majitu yanaiba pesa nyiiiingi na kukingiana kifua Bungeni. Nimemwambia mdogo wangu asioe wala kuwa na familia hadi atakapozamia kwenda nje ya nchi na tampa sapoti hadi atokomee very stpd country. Ukifika uliko mgodi mkubwa wa Dhahabu wa BULYANHULU ukitokea Kahama ni vumbi na mashimo tu barabarani. Yaani nina hasira naweza kuch. nja kabisa kiongozi yoyote anayeingia Bungeni Dodoma
Inakuwaje hakuna lami huko, kwetu upareni lami mpaka kijijini kwetu Usangi. Yaani nikitoka Dar hamna sehemu nakanyaga vumbi
 
Mimi leo na PhD yangu kichwani lakini Dar nakuja kikazi tu na kurudi Mkoani kwa sababu Mkoani ndio kila kitu,kumbuka Ajira nilianzia Dar hapo na nina uwekezaji wa nyumba kadhaa lakini leo ukiniambia nirudi Dar kuishi ni mbinde

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Phd gwanyoko
 
Ila kuna masaki hapa dar...jamani barabara za masaki zina mashimo ile mbaya...na watu husema masaki ndo the richest
 
Na bado takwimu zinasemaga Kagera ndo wanakipato kidogo zaidi....nasemaga hii[emoji23]
 
Hapo Shinyanga Kiwanda Cha Jambo Panaitwa Maganzo
Ndiyo Unaingia Barabara Ya Kishapu Huwezi Amini Kama Unakwenda Wilayani
Meatu Nako Oops!!!
Hata manispaa ya shinyanga haieleweki kabisa...bora hata kahama...

Na shinyanga iko top ten ya mikoa ya watu wenye kipato kadri ya serikali
 
Ndio maana wenyeji wa huko wote wamekimbilia Dar wameshaondoka kwao,ndio nyie hamtaki tena kurudi kwenu

Acheni kurundikana Dar,kila Raia anataka akae Dar aone madaraja

Rudini kwenu nyie mkapaendeleze, nyumbani ni nyumbani tu hata kama ni porini[emoji13]

Mbona wachaga wanawekeza kwao na husikii wakipaponda nyumbani

Nyie makabila mengine ndio mna matatizo sana yasiyoisha
Wachaga wamewekeza kwao[emoji23][emoji23]....

Mji wa moshi unazidi kuwa mchakavu kila kukicha wako wanabishana kuhusu stendi na mibajaji mjini...

Kimsingi hii tz bado sana..
 
Kuna jamaa wa Dar alikuwa anaogopa kwenda kumtembelea ndugu yake wilaya fulani huko Kagera. Alikuwa anadai wamemwambia kuna vumbi sana!!!
Mbona hapa Dar tu barabara za upanga baadhi zinavumbi?...

Barabara za mbezi beach na kimara ukiacha main road ni mavumbi tupu...

Huyo alikuwa mjinga tu
 
Wachaga wamewekeza kwao[emoji23][emoji23]....

Mji wa moshi unazidi kuwa mchakavu kila kukicha wako wanabishana kuhusu stendi na mibajaji mjini...

Kimsingi hii tz bado sana..
Tz bado sana ila kwa Tz wachaga wana unafuu ukilinganisha na wengine,tuache chuki tuwe wakweli
 
S
Tz bado sana ila kwa Tz wachaga wana unafuu ukilinganisha na wengine,tuache chuki tuwe wakweli
Sio kwamba mtu asipokubaliana na hoja Yako ana chuki na wew...nani awachukie wachaga mkuu...

But ukwelin useme huko Moshi hakuna tofauti na mahali pengi tu nchi hii...na Wala hakuna maendeleo ya kusema Kuna unafuu....ni utalii wa mlima ndo unawaokoa lakin nothing special...

Tazama huu mji wa Moshi ulivyochoka na mibajaji, bodaboda, nyumba chakavu na maghorofa kibao yasiyoisha...utakuwa kichaa kumuaminisha mtu kuwa moshi inamaendeleo...unless mtu hujui maana ya maendeleo

View: https://youtu.be/bSOFMSVHizY?si=gMIFreWDar1w7F0H
 
Acha chuki kwa wenzio
Maendeleo yapo na yanaonekana.
Ukizidiwa kubali na ujifunze
 
Mimi leo na PhD yangu kichwani lakini Dar nakuja kikazi tu na kurudi Mkoani kwa sababu Mkoani ndio kila kitu, kumbuka Ajira nilianzia Dar hapo na nina uwekezaji wa nyumba kadhaa lakini leo ukiniambia nirudi Dar kuishi ni mbinde.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Jiji lina wenyewe hiloo...
 
Kwa mikoa ya Tanzania ni kweli Dar ndio kila kitu usibishe, kwani huoni hata wabunge wenu mkisha wachagua wanakuja kuishi Dar.
Alafu ni mijinga hii mibunge bunge linaendelea unakutana nao ware house masaki wako na mademu sio wake zao, kwanini wasikae majimboni watatue kero za wananchi, Tukileta katiba mpya ni kuwapiga pini washinde majimboni…
 
Niambie eneo la mwanza lenye hadhi ya masaki
Sehemu kama goba yenyewe mwanza haipo, masaki umeenda mbali mastaa, tuseme ukweli tu, The late Magufuli kwao chato ila nyumba yake kali ipo maeneo ya ada estate, juz mke wake kapewa nyumba sijui itakuwa dar au dodoma ila nadhani ni dar, sina uhakika
 
Back
Top Bottom