S
Sio kwamba mtu asipokubaliana na hoja Yako ana chuki na wew...nani awachukie wachaga mkuu...
But ukwelin useme huko Moshi hakuna tofauti na mahali pengi tu nchi hii...na Wala hakuna maendeleo ya kusema Kuna unafuu....ni utalii wa mlima ndo unawaokoa lakin nothing special...
Tazama huu mji wa Moshi ulivyochoka na mibajaji, bodaboda, nyumba chakavu na maghorofa kibao yasiyoisha...utakuwa kichaa kumuaminisha mtu kuwa moshi inamaendeleo...unless mtu hujui maana ya maendeleo
View: https://youtu.be/bSOFMSVHizY?si=gMIFreWDar1w7F0H