At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Litakuwa kumshape Magufuli ila sio kuwa raisi.Dhamana ya kukwea Ikulu yatoka kwa Mungu, akikupa na ukitenda kinyume basi atakuondoa kama Saul au Nebukadneza au Nicolaus Cheusesco wa Romania au Samwel Doe.
Ishara za kumponya Lissu sisi tunazi tabiri kuwa kapona kwa kusudio maalum. Jee ni lipi hilo?
Labda mungu wako wa chato.Sie Mungu wetu wa Ibrahim na YakoboMungu hatoi vyeo kwa huruma.
Anagawa kwa huruma,?Labda mungu wako wa chato.Sie Mungu wetu wa Ibrahim na Yakobo
Nakwambia hutaamini wewe sio sisi watanzania tunayemuamini MunguAnagawa kwa huruma,?
Subiri hutaamini kitakachotokea October 28.
Wewe ndio jiandae kwa shock ya karne. Safari hii hakuna janjajanja ya kuiba kura.Subiri October 28, muwe disappointed.
Mtafurahi na roho zenu.
Mwambie wale wenzie akina Umber Luth wamehukumiwa jana kifungo cha miaka mitatu gerezani au kulipa faini ya milioni kumi na tanoA living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Nani katenda kinyume na kwa Nani?Dhamana ya kukwea Ikulu yatoka kwa Mungu, akikupa na ukitenda kinyume basi atakuondoa kama Saul au Nebukadneza au Nicolaus Cheusesco wa Romania au Samwel Doe.
Ishara za kumponya Lissu sisi tunazi tabiri kuwa kapona kwa kusudio maalum. Jee ni lipi hilo?
Lissu ni MUUJIZA unaotembea, hakuna namna ya kuelezea uponyaji wake nje ya Mungu.A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Mimi pia ninamwamini Mungu na kumuabudu.Nakwambia hutaamini wewe sio sisi watanzania tunayemuamini Mungu
Lissu akishinda,Wewe ndio jiandae kwa shock ya karne. Safari hii hakuna janjajanja ya kuiba kura.
Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kumshabikia magufuli aliyefukuza watu kazi kwa vyeti feki na kumuacha makonda akisema hata kama ana vyeti feki hawezi kumfukuza kazi kwa sababu mchapa kazi!Mimi pia ninamwamini Mungu na kumuabudu.
Subirini October 28.
Muwe surprised na huyo pandikizi la mabeberu.
Kama alimuokoa kwenye mauti KIMUUJIZA, atashindwa kumpa cheo?Mungu hatoi vyeo kwa huruma.
Vice versa is true.Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kumshabikia magufuli aliyefukuza watu kazi kwa vyeti feki na kumuacha makonda akisema hata kama ana vyeti feki hawezi kumfukuza kazi kwa sababu mchapa kazi!
Kama unamuamini Mungu kweli huwezi mshabikia magufuli aliyemtesa kijana wa watu kabendera aliyekuwa akikosoa tu Sera zake hadi kusababisha kifo cha mama yake!
Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kumshabikia magufuli ambayo amesema hawezi peleka maendeleo kwa wapinzani wakati kila mtanzania analipa kodi
Anaemshabikia magufuli ni wakala wa shetani. Nothing more
Majibu yako ni hitimisho tosha kuwa hauko kwa Mungu. Kwaheri shetaniVice versa is true.
Wewe kwa sababu uko upande wa pili huwezi kuliona hilo.
Utahisi unaonewa. Ila JPM is right hayo mengine ni mapungufu ya kibinadamu.
Lengo la kupona sio kupewa cheo.Kama alimuokoa kwenye mauti KIMUUJIZA, atashindwa kumpa cheo?
Kweli kabisa Ila Mungu anawaona kwa walichomfanyia lissuUkuu wa Mungu tuliouona kwake ni kielelezo tosha kuwa ni Yeye anayefaa kuwekwa ikulu!
Muuwaji tu na wewe Ila muosha uoshwaLengo la kupona sio kupewa cheo.
Itakuwa liko lingine ila sio uraisi.
Cha zaidi labda asubirie kuteuliwa na JPM.
Lol,Majibu yako ni hitimisho tosha kuwa hauko kwa Mungu. Kwaheri shetani