Wasukuma tumekuwa offended!Lema amezidi.
Anashambulia mpaka ugali. Ugali!? [emoji15]
Kwa hili sitamsamehe kwa kweli.
Anataka Wasukuma tule nini? Burger ama? [emoji51][emoji51]
View attachment 2543587
Nilidhani na kelele zote, ubunge sijui utajiri jamaa kasafiri kumbe ukimbizi ndio umemfikisha first world.Anachokifanya Lema ni ulimbukeni wa kuishi nje ya nchi. Anaonekana hakuwahi kuvuka boda kwenda ng'ambo before.
Tangu arudi kutoka Canada anaona Bongo Kama tupo motoni/jehanamu. Kila kitu kwake ni uchafu na umasikini.
Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Kuna siku nilikua kwenye mgahawa nikamsikia mdada wa kizungu pembeni anasema kuishi Tanzania na kuzoea haya maisha mnaishi you must add it on your CV coz ni achievement [emoji1]
Wanaosema watu wa chuga ni washamba Unadhani wanakosea? Hawa Jamaa udhaifu wao umejificha katika tabia zao za ununda na usela sana Ila ni washamba kuliko wanaoitwa washamba wasukuma kina Shimba ya Buyenze .Nilidhani na kelele zote, ubunge sijui utajiri jamaa kasafiri kumbe ukimbizi ndio umemfikisha first world.
Acha tu unaona kama unaingia kijijini, hasa mda wa kutua dar nikama kakitongoji kachafukachafu hivii, nlitamani nipande ndege nirudi nlikotokaNilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea tena maisha yetu.
Dsm na Tz kwa ujumla pachafu Sana watu wamechoka Mimi Zanzibar naona wapo vzr katika usafi
ChatoMkuu uko nchi gani sasa?
Wafala sana.Men! Siyo siri Bongo ni kuchafu! Harufu mbaya manoise kibao, majungu na kufuatilia mambo yasiyowahusu.
Men! siku moja nimeenda bush kumuona babu, kukawa namsiba kwa jirani. Tumeenda kwenye msiba tukakuta wanachimba kaburi.
Naona watu wananyang'anyana tools za kuchimbia, nikadhani wamelipwa kuchimba kumbe ni kazi ya kijamii.
Kumbe wameninote, jioni baada ya kuzika nikawekewa kikao kwamba nimedharau wazee sikuchimba kaburi, na hata kuzika maana hata kwenye mazishi bado watu walikuwa wananyang'anyana tools kuzika.
Wakanilipisha gallon 10 za pombe na kilo 10 za sukari, nikaleta gallon 20 za pombe na sukari kilo 20, bado wakawaka tena eti nimewadharau.
Ungesindikiza na kapicha ka zurich na Bern tujionee huko ulaya kulivyoNilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea tena maisha yetu.
Nenda Moshi,the city is amazingly clean,sijaweza kufananisha na miji mingine ya Tanzania,nimepita kama mara mbili,Moshi ni pasafi sana pale mjini...
Tatizo moshi wasambaa wanaaribu moshi. Sio wasafi.
Mji wa viwanda lazima iwe hivyoUlaya mbona mbali Sana, Ishi Arusha miezi sita halafu nenda Dar, unaona mji mzima una fukuto la uchafu na vumbi.
Hewa ni nzito sana. Asubuhi ya saa 12 ukiwa unaenda posta maeneo ya magomeni, kuelekea jangwani, kwa juu kuna kitu kama moshi mzito unaofanya hewa iwe nzito sana
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Lema mwenyewe kafunguka akili baada yakwenda ulayaWatanzania wakiambiwa Ukweli wa kuwatoa matongotongo wanakuwa wakali. Ushamba ni mzigo. Nadhani lile jamaa lililokufa liliharibu akili zenu