Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

ni kweli kabisa maneno yako mtoa mada mimi naishi abudhabi kila nikija tanzania nikifika airport tu naanza kuona watu wamechooka sana nikiingia mjini ni uchafu fujo kelele usiku nashindwa kutembea kwenda mtaa wa pili kusali naona giza nene mpaka nitumie tochi nikikaa wiki nazoea kabisa na situmii tochi
 
hasa daressalaam ni ovyo sana makelele muuza maji ya kunywa anatumia kipaaza sauti, mwenye stationary anatumia kipaaza sauti , muuza mitumba anatumia kipaza sauti bado bodaboda kupiga mziki kwa kelele bado daladala miziki yao kelele bado waimbaji wa nyimbo za kwaya maspika makubwa NEMC wako wapi? ukiwa unasafiri kuelekea mikoani ukianza kufika kibaha tu unaanza kusikia raha na hali ya hewa tofauti kabisa, hivi mbona wahindi biashara zao hawatumii kipaza sauti na wanapata wateja
 
Men! Siyo siri Bongo ni kuchafu! Harufu mbaya manoise kibao, majungu na kufuatilia mambo yasiyowahusu.

Men! siku moja nimeenda bush kumuona babu, kukawa namsiba kwa jirani. Tumeenda kwenye msiba tukakuta wanachimba kaburi.
Naona watu wananyang'anyana tools za kuchimbia, nikadhani wamelipwa kuchimba kumbe ni kazi ya kijamii.

Kumbe wameninote, jioni baada ya kuzika nikawekewa kikao kwamba nimedharau wazee sikuchimba kaburi, na hata kuzika maana hata kwenye mazishi bado watu walikuwa wananyang'anyana tools kuzika.

Wakanilipisha gallon 10 za pombe na kilo 10 za sukari, nikaleta gallon 20 za pombe na sukari kilo 20, bado wakawaka tena eti nimewadharau.

tanzania ni jela isiokuwa na fensi
 
Unajua Mkuu, kama watanzania wangekuwa watu wa kusafiri nje ya nchi kwa wingi tungepata mabadiliko ya kifikra zaidi kuliko kutegenea TV picha mgando na video. Uhamiaji nao wanachangia kuweka vikwazo watu wapate pasi wakajifunze ilmu Dunia 😁 !.
Wanaotoka sana ni viongozi ambao licha ya kupata fursa ya kujifunza mazuri ya nje, wanaishia kujenga mahekalu na kuboresha makazi yao tu. Ubinafsi ufisadi na uroho wa madaraka ndio sala.
Lema yuko sahihi kwenye angalizo lake ingependeza sana viongozi wote wenye uzoefu na safari za nje wakafunguka pia.
Kabisa mkuu,kusafiri ni elimu tosha kabisa,wenzetu kenya na west africa wabasafiri sana ndio maana wananchi wao akili zimeamka,uhamiaji wanafanya kusudi ili tusiamke,na hao viongozi wanafanya ujinga wakijua tumelala,
Kuna mtu kazaliwa wilayani hata mkoani kwake hajawahi kufika mpaka anakufa,sasa mtu kama huyo unamuweka kundi gani???
Wenzetu wako mbali sana kimiundombinu na huduma za jamii,
 
hasa daressalaam ni ovyo sana makelele muuza maji ya kunywa anatumia kipaaza sauti, mwenye stationary anatumia kipaaza sauti , muuza mitumba anatumia kipaza sauti bado bodaboda kupiga mziki kwa kelele bado daladala miziki yao kelele bado waimbaji wa nyimbo za kwaya maspika makubwa NEMC wako wapi? ukiwa unasafiri kuelekea mikoani ukianza kufika kibaha tu unaanza kusikia raha na hali ya hewa tofauti kabisa, hivi mbona wahindi biashara zao hawatumii kipaza sauti na wanapata wateja
Kwa upande fulani ji jelele kwa upande mwingine ndio amsha amsha ya jiji tofauto na mikoa mingine nilishangaa mwanza ukienda makoroboi na lango lango machinga wanauza vitu kimya kimya kama wamelowa na mvua.wakija karume hawatoamini masikio na macho yao
 
Usafi ni utamaduni unaoanza kufundishwa katika ngazi ya chini kabisa. Imagine tunawafundisha nini watoto wetu pale mtu unapomenya ndizi halafu ganda lake unalitupa chini (tena kwenye lami kutoka garini)...inasikitisha. Mtu umemaliza kunywa maji unatupa chupa. Hivi kila mtu angefanya hivyo, mazingira yetu yangekuwaje? Unakuta mitaani tunapoishi mtu na akili zake ndogo anachukua kiroba chake cha uchafu anakirushia kwa jirani. Bado tuna safari NDEFU sana.
 
Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!

Kuna jamaa mmoja alinambia Africa tunakosa mpangilio kwenye kila jambo…… umeongea yotw hapo, sometime bora vijijini kwenye mikoa yenye baridi kuliko mijini.
 
Men! Siyo siri Bongo ni kuchafu! Harufu mbaya manoise kibao, majungu na kufuatilia mambo yasiyowahusu.

Men! siku moja nimeenda bush kumuona babu, kukawa namsiba kwa jirani. Tumeenda kwenye msiba tukakuta wanachimba kaburi.
Naona watu wananyang'anyana tools za kuchimbia, nikadhani wamelipwa kuchimba kumbe ni kazi ya kijamii.

Kumbe wameninote, jioni baada ya kuzika nikawekewa kikao kwamba nimedharau wazee sikuchimba kaburi, na hata kuzika maana hata kwenye mazishi bado watu walikuwa wananyang'anyana tools kuzika.

Wakanilipisha gallon 10 za pombe na kilo 10 za sukari, nikaleta gallon 20 za pombe na sukari kilo 20, bado wakawaka tena eti nimewadharau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee pole mkuu

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
tunatofautiana sana, mimi bwana hata niende wapi huwa napamiss sana Bongo..

Kwangu hata iwe wapi, bora niwe naenda narudi zangu bongo kwingine najioneaga shida tu..
 
Wewe umefanya juhudi ipi ili kwako kuwe kama uswis? Acha matusi kwenu ni kwenu.
Juhidi zilitakiwa zifanywe na serikali ya Nyerere baada ya kupata uhuru,alishindwa hata kuwakodisha wazungu watupangie miji yetu,
 
mida hii hapa nimefinya zangu Ugali na king fish wa mchuzi akiwa amewekwa bamia na ngogwe mambo murua kabisa hata 30k haijaisha.

Last week nilipita Tanga pale maeneo ya Tanga beach nikapata toto moja la kidigo kwa price ndogo kabisa, nanyonywa pipe, massage, maromance mpaka mwisho..

Hakafu eti uniambie nikaishi NYC, K zenyewe zakutafuta nahakuna burudani, unaishi unajifungia ndani na starehe artificials.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuishi Africa ukiwa na furaha nacho ni kipaji.
Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
 
Ukiwa unasafiri stendi ni vurugu tupu, wengi wanagombania abiria, wengine wanatapeli abira, wengine wanabishana na kufokeana na vishoka kuhusu nauli, wengine wanakimbizana na kucheza, magari yanapiga honi mfululizo, yani shida tupu.
 
Back
Top Bottom