uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea tena maisha yetu.
Hata ukienda Hotel nyota 5 hapa Dar ukarudi kwenye Pagala lako sijui unamudu vipi