Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Men! Siyo siri Bongo ni kuchafu! Harufu mbaya manoise kibao, majungu na kufuatilia mambo yasiyowahusu.

Men! siku moja nimeenda bush kumuona babu, kukawa namsiba kwa jirani. Tumeenda kwenye msiba tukakuta wanachimba kaburi.
Naona watu wananyang'anyana tools za kuchimbia, nikadhani wamelipwa kuchimba kumbe ni kazi ya kijamii.

Kumbe wameninote, jioni baada ya kuzika nikawekewa kikao kwamba nimedharau wazee sikuchimba kaburi, na hata kuzika maana hata kwenye mazishi bado watu walikuwa wananyang'anyana tools kuzika.

Wakanilipisha gallon 10 za pombe na kilo 10 za sukari, nikaleta gallon 20 za pombe na sukari kilo 20, bado wakawaka tena eti nimewadharau.
 
mida hii hapa nimefinya zangu Ugali na king fish wa mchuzi akiwa amewekwa bamia na ngogwe mambo murua kabisa hata 30k haijaisha.

Last week nilipita Tanga pale maeneo ya Tanga beach nikapata toto moja la kidigo kwa price ndogo kabisa, nanyonywa pipe, massage, maromance mpaka mwisho..

Hakafu eti uniambie nikaishi NYC, K zenyewe zakutafuta nahakuna burudani, unaishi unajifungia ndani na starehe artificials.
Hizi ndio mentality za watu maskini
 
Hiyo hali ndiyo anayopitia Godbless Lema kwa sasa.

Hii hali nilianza kuipitia mapema mno mpaka kuna muda nikaona ndo mtindo wa maisha tulio jichagulia wa kila mtu na lake bila kuangalia faida za kijamii , miradi yetu kuanzia hata usafi wa mazingira yetu, mipango miji, usafiri yamejikita ktk kulipua lipua kwa faida binafsi na wachache ni kama hatuna dira yoyote ya wapi tunataka kupita na kwenda

Kutoka kukulia kwenye mji mdogo na kuanza taratibu kuja miji yetu mikubwa ya hapa nchini na baadae kupata nafasi ya kutembea baadhi ya maeneo nje ya nchi kuanzia mashariki ya kati, mashariki ya mbali na ulaya , nilicho hitimisha ni sie kama jamii tuna mifumo ya siasa,elimu na uchumi ambayo bado inahitaji marekebisho makubwa ili kubadili fikra zetu (ujamaa ulichangia pia hapa kwa kiasi fulani)


Nikiwa sehemu ya jamii hii nacho weza sema sie bado tupo nyuma kwa nyanja nyingi tunatakiwa kuanza ku tengeneza tena mifumo yetu, sasa sijui lini na nani atakuwa ‘torch bearer’???
 
hasa daressalaam ni ovyo sana makelele muuza maji ya kunywa anatumia kipaaza sauti, mwenye stationary anatumia kipaaza sauti , muuza mitumba anatumia kipaza sauti bado bodaboda kupiga mziki kwa kelele bado daladala miziki yao kelele bado waimbaji wa nyimbo za kwaya maspika makubwa NEMC wako wapi? ukiwa unasafiri kuelekea mikoani ukianza kufika kibaha tu unaanza kusikia raha na hali ya hewa tofauti kabisa, hivi mbona wahindi biashara zao hawatumii kipaza sauti na wanapata wateja
Kweli mkuu, jijini uchafu mwingi msongamano watu,fukuto hewa nzito joto kali sana, kidogo ukisogea kibaha unaanza hisi haueni hewa inanza kuwa nyepesi
 
Cheki hii takataka. Em acha ushamba brotheru
Tuanzie Soko la kilombero ni chafu, Soko la samunge ni chafu, Soko la mbauda ni chafu,.

Soko la tengeru ni chafu na kuna wageni watilii kutoka hapo Serena hotel wanalitembelea na kupiga picha unafikiri wakirudi kwao wanatuelezeajea kwenye swala la usafi?.

Mitaro mingi katikati ya mji wa Arusha inatiririsha maji yenye harufu ya kinyesi.
Pita Maeneo mbalimbali ya uone takataka zilivyorundikwa pembezoni mwa barabara.
 
Kuna mshkaji alizamia South Africa. Aliporydishwa 2010 kwa ajili ya maandilizi ya World Cup maana wazamiaji wengi walirudishwa. Jamaa alivyofika kwao akaa siku kama mbili hivi akawa analia machozi kabisaaaa...kuwa kapamiss Bondeni...alikuwa analalamika sana kuhusu uchafu kuwa huku kwetu ni kuchafu sana.

Tunatakiwa tupapende kwetu lakini pia tuboreshe mazingira yetu ktk kila nyanja.
 
Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
  • Yawezekana ndio tabia halisi za 'mswahili'.
  • Huku kitaa ukiyakazia maisha, raia wanaanza kudadisi uraia wako
 
Back
Top Bottom