Mkuu huku honi zinapigwa hata kwenye maeneo ya Mahakama, bar ndio balaa - ziko kwenye makazi ya watu, kila baada ya nyumba kumi - bar, na mdundo wa music sauti ya juu. JAMANI TUJIREKEBISHEMkuu hii ya kelele ni dhahiri sana, yaani tz kuna kelele sana. Raia hawawezi kufahamu mpaka siku wakisafiri.
Pia kule Uswisi thamani ya maisha ya mtu ni kubwa sana. Kuna siku niko zangu ule mtaa wa zytglogge nimejisahau kumbe natembea kwenye njia ya tram halafu imekuja ipo nyuma yangu na hairuhusiwi kupiga honi hivyo dereva akanisubiria mpaka nishtuke mwenyewe.
That's how Tanzanians do survive.Mkuu huku honi zinapigwa hata kwenye maeneo ya Mahakama, bar ndio balaa - ziko kwenye makazi ya watu, kila baada ya nyumba kumi - bar, na mdundo wa music sauti ya juu. JAMANI TUJIREKEBISHE
Mwanangu nilienda KwaZulu-Natal nikakaa kama mwaka kurud bongo naona kama mademu wana vichwa vikubwa wamekaaa ovyo ovyo wamepigwa pasi yan sielew ni mambo vagarant... AiseeNilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Mwanangu nilienda KwaZulu-Natal nikakaa kama mwaka kurud bongo naona kama mademu wana vichwa vikubwa wamekaaa ovyo ovyo wamepigwa pasi yan sielew ni mambo vagarant... Aisee
🤣🤣Lema amezidi.
Anashambulia mpaka ugali. Ugali!? [emoji15]
Kwa hili sitamsamehe kwa kweli.
Anataka Wasukuma tule nini? Burger ama? [emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2543587
Mkuu acha kabisaaa acha kabisaa manHalafu south ni kama ngozi zao zinateleza aseee hawajafubaa kabisa
Hukukosea hata, hii miji yetu huku basi tu...Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea tena maisha yetu.
Haikuwa story ya kweliWakojaco alitua airport ya dar akasema airport inanuka, akapanda ndege akarudi marekani. Nlikuwa bado chali mdogo sijui kama hii sgori ya kweli ama tulidanganyana mtaan
Arusha hii hii ya mianzini sio 😆Ulaya mbona mbali Sana, Ishi Arusha miezi sita halafu nenda Dar, unaona mji mzima una fukuto la uchafu na vumbi.
Hewa ni nzito sana. Asubuhi ya saa 12 ukiwa unaenda posta maeneo ya magomeni, kuelekea jangwani, kwa juu kuna kitu kama moshi mzito unaofanya hewa iwe nzito sana
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
We ulikuwa unaotaNilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea tena maisha yetu.
Mianzini na wapi tena? Hata hiyo mianzini yenyewe ni kwa sehemu ndogo sana pale karibu na high way.Arusha hii hii ya mianzini sio [emoji38]
Yale maeneo ya viwanda mbona sijawahi kuona watu wengi wakitembea? Buguruni kwenda kariakoo pale ndio hapaishi watu.Kutoka airport hapo Dar kwenda town, wale watu watembeao kwenye service road ni wengi mno! Tena ni wakati wa kazi! Lazima nywele zisimame na mwili kutetemeka!
Kamanda kuna siku nilishuka hapo airport, nakwenda mjini ndio niliona utitiri huo wa watu...Yale maeneo ya viwanda mbona sijawahi kuona watu wengi wakitembea? Buguruni kwenda kariakoo pale ndio hapaishi watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba pesa badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Mkuu hayo ndio mabadiliko, tumebadilisha technology. Zamani Pugu Road kulikuwa na watu (wafanyakazi) wengi sana kwa sababu kulikuwa na utitiri wa viwanda vikubwa, wakati Kariako haikuwa na watu wengi zaidi ya wahudumu na wanunuzi kiasi ambao walikuwa wakipishana kwenye korido za Msajili Wamajumba. Leo mambo yamebalika Kariako kuna viwanda vingi vya mtu mmoja mmoja kwenye korido za Msajili Majumba, barabara za mwendokasi, na vile nyingine. Haya mageuzi ya technogia yamekikumba Kiwanda cha Rafiki, kiwanda kilichokuwa kinaajiriwa mamia ya watanzania leo nadhani ni ofisi za mabasi;Yale maeneo ya viwanda mbona sijawahi kuona watu wengi wakitembea? Buguruni kwenda kariakoo pale ndio hapaishi watu.