mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 512
Asante umenitoa woga, kesho naanza kwa kutoka Iringa hadi Tosamaganga, safari yangu ndefu ya kwanzaNa sio hapo kumbuka hata ule muda ambao nilifika Tabora nilifika sawa na mabasi yanayotoka Dar lengo halikuwa kushindana na muda mwenyewe katika safari yangu nilikuwa na target zangu hasa kwenye mwendo na usalama wangu mwenyewe ukizingatia usafiri niliokuwa nautumia , halafu kuna hali ya bara bara dar to dom magari ni mengi barabarani kuliko ukitoka pale dom kuelekea singida kidogo kule gari zinapungua barabarani
Sent using Jamii Forums mobile app