Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Wacha inyeshe tuone panapovuja! Truly kama Taifa tulipita kwenye kipindi kigumu mnoo!! NB; kusema ukweli sio dhambi ingawa wanadamu hawataki kusikia ukweli!
==
"Ninachokiona kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu Hassan kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi kwa jinsi mambo yanavyokwenda. Kwa halali kabisa achana na hii 'Michezo Michezo' na vyama vingine vikaamua tu kwamba watasimamisha wagombea ubunge tu. Naiona hiyo" Habib Mchange
"Kuna mtu alinunua kituo cha mafuta na nyumba Dola Laki Nane na Elfu Arobaini 'cash'. Hiyo ni zaidi ya Bili. Moja. Wakati tunazungumza naye alilipwa Dola Laki Moja Sitini. Akakimbia kwenda kuitoa hela benki kwa sababu alikuwa haamini mfumo uliokuwepo wakati huo.
"Kwahiyo unapokuwa na Rais kama Samia Suluhu Hassan anatufanya sasa hivi ukiwa na Elfu Ishirini unatamani ikakae benki" Habib Mchange, Mwanaharakati wa Mazingira.