Nilisema wakati unakuja kila kitu kitaanikwa hadharani

Pac the Don

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
6,170
Reaction score
7,710
Wacha inyeshe tuone panapovuja! Truly kama Taifa tulipita kwenye kipindi kigumu mnoo!! NB; kusema ukweli sio dhambi ingawa wanadamu hawataki kusikia ukweli!
==
"Ninachokiona kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu Hassan kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi kwa jinsi mambo yanavyokwenda. Kwa halali kabisa achana na hii 'Michezo Michezo' na vyama vingine vikaamua tu kwamba watasimamisha wagombea ubunge tu. Naiona hiyo" Habib Mchange

"Kuna mtu alinunua kituo cha mafuta na nyumba Dola Laki Nane na Elfu Arobaini 'cash'. Hiyo ni zaidi ya Bili. Moja. Wakati tunazungumza naye alilipwa Dola Laki Moja Sitini. Akakimbia kwenda kuitoa hela benki kwa sababu alikuwa haamini mfumo uliokuwepo wakati huo.

"Kwahiyo unapokuwa na Rais kama Samia Suluhu Hassan anatufanya sasa hivi ukiwa na Elfu Ishirini unatamani ikakae benki" Habib Mchange, Mwanaharakati wa Mazingira.

Image
 
Naona haya mambo wakati mwingine yana uzuri na ubaya wake, uzuri ni pale ambapo mtu analipwa kile anachostahili kilicho haki yake bila kudhulumiwa.

Lakini ubaya ni pale tunapoona kuna ukwepaji mkubwa wa kodi halali ya serikali, kwasababu tu mtawala aliyepo sasa ni "mama mpole na msikivu".

Bahati mbaya sioni watu wakikemea hili, bado naona wengi wamejibanza kwenye kivuli cha kumsema vibaya marehemu, hawa wanaweza kuwa ndio wakwepaji wa kodi wanaotuzubaisha na hizi nyimbo za ubaya wa marehemu, ili waendelee na michezo yao michafu.

Sasa naona vyema tujitazame kwa makini tusiwe wajinga, tunaoibiwa huku tunashangilia kwa mapambio pamoja na wezi, wapo wanaofaidi isivyo halali kwa sasa, waliowekeza kwenye kutuzubaisha kunsema vibaya marehemu ili wapate mwanya wa kuendelea kufanya mambo yao.
 
Mzee tunaposema haki ni pamoja na kulipa kodi!! Kama mtu kakwepa kodi mbona kipind kile TRA wanafika kwa muhusika anafanyiwa calculation za kodi yote anayodaiwa, then anatakiwa alipe na haikua yote kwa mara moja unless otherwise muhusika awe na uwezo wa kulipa!!! Kodi ni lazima kulipwa!!
 
Lakini ubaya ni pale tunapoona kuna ukwepaji mkubwa wa kodi halali ya serikali, kwasababu tu mtawala aliyepo sasa ni "mama mpole na msikivu".
Ndio msingi mkubwa wa kudhani waliteswa.

Bahati mbaya sioni watu wakikemea hili, bado naona wengi wamejibanza kwenye kivuli cha kumsema vibaya marehemu, hawa wanaweza kuwa ndio wakwepaji wa kodi wanaotuzubaisha na hizi nyimbo za ubaya wa marehemu, ili waendelee na michezo yao michafu.
Ukweli wasio upenda walamba asali.
 
Mtupumzisha tumechoka km alkua mbaya kiasi icho mbona hamkumpindua
Momba mlitaka kumfanya awe raisi wa milele
Mbona mlikua mnahama vyama nmaenda kuunga juudi
Mbona mlikua mkipewa teuzi mlikua hamzukatai
Watanzania tulo wengni wanafiki sana
Kuna mengne yamepewa ubunge na udiwani wa bure mbona hamkuukataa
Tuacheni unafiki kaenda ndo kla sku tunamsema vibaya ujinga huo
 
Naona haya mambo wakati mwingine yana uzuri na ubaya wake, uzuri ni pale ambapo mtu analipwa kile anachostahili kilicho haki yake bila kudhulumiwa.

Lakini ubaya ni pale tunapoona kuna ukwepaji mkubwa wa kodi halali ya serikali, kwasababu tu mtawala aliyepo sasa ni "mama mpole na msikivu".

Bahati mbaya sioni watu wakikemea hili, bado naona wengi wamejibanza kwenye kivuli cha kumsema vibaya marehemu, hawa wanaweza kuwa ndio wakwepaji wa kodi wanaotuzubaisha na hizi nyimbo za ubaya wa marehemu, ili waendelee na michezo yao michafu.

Sasa naona vyema tujitazame kwa makini tusiwe wajinga, tunaoibiwa huku tunashangilia kwa mapambio pamoja na wezi, wapo wanaofaidi isivyo halali kwa sasa, waliowekeza kwenye kutuzubaisha kunsema vibaya marehemu ili wapate mwanya wa kuendelea kufanya mambo yao.
Humu jamvini kuna post inaonesha katika miaka miwili makusanyo ya Kodi yamefikia trillion 2 au 3? Kutoka 1.5 Sina hakika kwamba kodi hailipwi au mimi sikuelewa? Wakati mwingine tusisahau hata kama tunachukia, kwani takwimu zinaweza zikatusuta!
 
Mtupumzisha tumechoka km alkua mbaya kiasi icho mbona hamkumpindua
Momba mlitaka kumfanya awe raisi wa milele
Mbona mlikua mnahama vyama nmaenda kuunga juudi
Mbona mlikua mkipewa teuzi mlikua hamzukatai
Watanzania tulo wengni wanafiki sana
Kuna mengne yamepewa ubunge na udiwani wa bure mbona hamkuukataa
Tuacheni unafiki kaenda ndo kla sku tunamsema vibaya ujinga huo
Rushwa ni adui wa haki magufuri alitu,ia rushwa kukiimarisha chama chake.
 
Naona haya mambo wakati mwingine yana uzuri na ubaya wake, uzuri ni pale ambapo mtu analipwa kile anachostahili kilicho haki yake bila kudhulumiwa.

Lakini ubaya ni pale tunapoona kuna ukwepaji mkubwa wa kodi halali ya serikali, kwasababu tu mtawala aliyepo sasa ni "mama mpole na msikivu".

Bahati mbaya sioni watu wakikemea hili, bado naona wengi wamejibanza kwenye kivuli cha kumsema vibaya marehemu, hawa wanaweza kuwa ndio wakwepaji wa kodi wanaotuzubaisha na hizi nyimbo za ubaya wa marehemu, ili waendelee na michezo yao michafu.

Sasa naona vyema tujitazame kwa makini tusiwe wajinga, tunaoibiwa huku tunashangilia kwa mapambio pamoja na wezi, wapo wanaofaidi isivyo halali kwa sasa, waliowekeza kwenye kutuzubaisha kunsema vibaya marehemu ili wapate mwanya wa kuendelea kufanya mambo yao.
Majangili yote yapo kazinin sahivi
 
Samia anakusanya kodi ya wastani wa Trilioni 2 kwa mwezi, Magufuli alikuwa akikusanya trilioni 1.2 kwa mwezi
Kudhibiti Ukwepaji kodi ni akili sio mabavu
 
Wanaondika huu ujinga ni wale wanalipwa na hao wakwepa kodi bila kuwaza kwamba ugumu utawajia pia kwa kukosa mahitaji muhimu kama Maji,hosiptal na Umeme wa uhakika.
 
Bahati mbaya sioni watu wakikemea hili, bado naona wengi wamejibanza kwenye kivuli cha kumsema vibaya marehemu, hawa wanaweza kuwa ndio wakwepaji wa kodi wanaotuzubaisha na hizi nyimbo za ubaya wa marehemu, ili waendelee na michezo yao michafu.
na hivyo ndivyo ilivyo kwa sasa walamba asali wamekazana kuichafua awamu ya 5 kwa sababu tu mambo yao yanaenda na huku wananchi kwa ujumla wao wanateseka kwenye mambo mengi kuanzia kula mlo mmoja kwa siku.

nimemsikia nnape akisisitiza kulinenea mema Taifa kwa sababu yeye yuko kwenye neema kwa sasa ila alipopigwa na dhiki wakati ule yeye na genge lake ndio walikuwa wa kwanza kuikosoa serikali ya awamu ya tano mitandaoni
 
Samia anakusanya kodi ya wastani wa Trilioni 2 kwa mwezi, Magufuli alikuwa akikusanya trilioni 1.2 kwa mwezi
Kudhibiti Ukwepaji kodi ni akili sio mabavu
Bro makusanyo kuongezeka pia hutokana na gharama za uzalishaji kuongezeka. Pamoja na makusanyo hayo bado matumizi yatakua makubwa.

Mfano rahisi. Nondo kwa sasa inauzwa sh 27000 kwa mikoani. Kabla ilikua sh 17000. Unategemea hapo makusanyo ya serikali hayataongezeka?

Kila raisi atayekuja makusaanyo yataongezeka sababu gharama za uzalishaji pia zinaongezeka. Makusanyo ya mkapa yalikua chini ya kikwete, ga kikwete yalikua chini ya Magufuli, ya Magufuli yapo chini ya Samia na atayekuja ya Samia yatakua chini.

Hivyohivyo na matumizi, enzi za mkapa darasa moja tulijenga kwa mil 3, sasa hivi darasa moja mil 20, atayekuja mbeleni huko darasa moja litajengwa kwa mil 40
 
asante kwa ufafanuzi huu sijui hata kama atakuelewa maana mazuzu yamejaa humu ndani maisha ya mwaka 1900 anafanisha ya mwaka 2000
 
Naona haya mambo wakati mwingine yana uzuri na ubaya wake, uzuri ni pale ambapo mtu analipwa kile anachostahili kilicho haki yake bila kudhulumiwa.

Lakini ubaya ni pale tunapoona kuna ukwepaji mkubwa wa kodi halali ya serikali, kwasababu tu mtawala aliyepo sasa ni "mama mpole na msikivu".

Bahati mbaya sioni watu wakikemea hili, bado naona wengi wamejibanza kwenye kivuli cha kumsema vibaya marehemu, hawa wanaweza kuwa ndio wakwepaji wa kodi wanaotuzubaisha na hizi nyimbo za ubaya wa marehemu, ili waendelee na michezo yao michafu.

Sasa naona vyema tujitazame kwa makini tusiwe wajinga, tunaoibiwa huku tunashangilia kwa mapambio pamoja na wezi, wapo wanaofaidi isivyo halali kwa sasa, waliowekeza kwenye kutuzubaisha kunsema vibaya marehemu ili wapate mwanya wa kuendelea kufanya mambo yao.
Kama kalipwa banks obvious makato yakikuwepo na huko walikouziana bila shaka Kuna Kodi.

Sheria ziko wazi kuhusu miamala mikubwa
 
na hivyo ndivyo ilivyo kwa sasa walamba asali wamekazana kuichafua awamu ya 5 kwa sababu tu mambo yao yanaenda na huku wananchi kwa ujumla wao wanateseka kwenye mambo mengi kuanzia kula mlo mmoja kwa siku.

nimemsikia nnape akisisitiza kulinenea mema Taifa kwa sababu yeye yuko kwenye neema kwa sasa ila alipopigwa na dhiki wakati ule yeye na genge lake ndio walikuwa wa kwanza kuikosoa serikali ya awamu ya tano mitandaoni
Tafuta historia ya ukoo wa NAPE ndo utajua nape ni mtu wa Aina gani.
Aliwai tembea kwa miguu kutoka Magogoni stand mpaka ikulu kwenda kuomba msamaha yule wala hasikutishe.
 
Back
Top Bottom