Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

Alikwambia nani kwenda shule ni kujua kiingereza wewe!!! Hata mtoto wa miaka mitano aliyezaliwa katika nchi ambayo kiingereza ni lugha ya kwanza au kifaransa hajaenda shule lakini anaweza kuzungumza kwa ufasaha lugha hizo.
Ungekuwa umeenda shule usingrandika huu ujinga uliouandika hapa kuunga mkono udikteta na udhalimu unaoendelea kushamiri nchini ili tu kuendelea kung’ang’ania madarakani.

 
Wewe nae ni wale mnaotuharibia taifa letu, huna lolote,ila unafiki ule was viwango vya kitanzania
 
Mkuu wangu GENTAMYCINE amini usiamini, njia yeyote atakayopitia Ndg Aikaeli atafikia ukomo wa KUINULIWA Sana ktk nchi hii.

Mungu hapokei hongo!!
 
Hutaki kuulizwa huku ukileta uzi jf , huo ubabe wa kibwege unataka kumfanyia nani ? nani asiyekujua wewe kuwa ni mamluki wa ccm ambaye unyama unaotendwa unaufurahia ?
 
Nilitukanwa sana hapa na Wafuasi wake wakati GENTAMYCINE nilikuwa na nia njema nae tu ili asaidiwe Kiushauri na Kimawazo na Wadau mpaka Wataalam wa Kisheria.

Sasa kuanzia leo tutaheshimiana vizuri.
Heshima wanayokupa wanaokuheshimu kwani haikutoshi!? Maana naona unalilia sana kuheshimiwa.
 
Kesi yake imeisha kwa hiyo na tayari kashanyoa!?
 
Duuuh masikini kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulijuaje mkuu?
 
Wanajaribu kuzuia hii kesi isiendelee ife kwa kuzua technicalities. Utawala wa haki lazime u prevail. Sio ushahidi upo wa ugaidi halafu mtu aachiwe kiujanjaujanja.
 
Tusiwachanganye watu. Jaji wa kwanza kujiondoa ni kutokana na Mbowe kutokuwa na imani naye hovyo kulazimika kuondoka si vinginevyo. Huyu amejiunga kwa sababu ya nafasi aliyonayo sasa ambayo haimwezeshi kuwa na muda wa kutosha kusikiliza kesi hii. Hili lazima liwekwe wazi hata kama watalaumu wajue sababu za majaji hao wawili kujitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…