BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Alikwambia nani kwenda shule ni kujua kiingereza wewe!!! Hata mtoto wa miaka mitano aliyezaliwa katika nchi ambayo kiingereza ni lugha ya kwanza au kifaransa hajaenda shule lakini anaweza kuzungumza kwa ufasaha lugha hizo.
Ungekuwa umeenda shule usingrandika huu ujinga uliouandika hapa kuunga mkono udikteta na udhalimu unaoendelea kushamiri nchini ili tu kuendelea kung’ang’ania madarakani.
Ungekuwa umeenda shule usingrandika huu ujinga uliouandika hapa kuunga mkono udikteta na udhalimu unaoendelea kushamiri nchini ili tu kuendelea kung’ang’ania madarakani.
Eti nini? Mimi nimeenda shule boss! Ndo maana English inapanda than any of your interpreted dream. French pia niliipata mikononi mwa waalimu Pas proche de votre compréhension. Naijua Sayansi na laws of universe. Nawakumbuka akina De broglie.
Twende polepole. Wewe unakumbuka nini kuonesha umekwenda shule?