MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Ukweli ndio huo.... Mbowe atakuwa mshindi either way.Yaani uende Kuozea Jela halafu uwe Mshindi? Sishangai kwani hata Mawakili wenu nao wana Uwezo huu huu mdogo wa kufanya Logical and Critical Arguments ndani ya Courtroom aliko 'Mwamba' wenu na hatimaye sasa dalili zote za Yeye kuyaanza Maisha mapya Segerea zimeanza Kujitokeza na ni Suala la muda tu ila sioni kama kwa Kesi ilivyo na 'Mkakati' uliopo atachomoka.
Makosa anayoshitakiwa nayo kama akitiwa hatiani atakwenda jela sio chini ya miaka 15. Jamhuri haina huo ubavu wa kumuweka Mbowe gerezani kwa miaka 15. Na kama wakijaribu, hawataweza ku-sustain hiyo state.