mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.
Binadamu uwa tunachagua dhambi za kutenda. Oh kuzaa nje ya ndoa dhambi la kuzini sawa tu.yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?
Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.
Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?
Kuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.NDIO MAANA MTU AKINIAMBIA ET DINI ZOTE ZINAMUABUDU MUNGU MMOJA HUWA NAKATAA NAPINGA SANA KWA SABABU KAMA HIZI
SASA HUONI KAMA TUNAAMINI TOFAUTI YAANI WEWE UNAAMINI IBRAHIM ALIKUWA MUISLAM WAKATI HUO MIMI NAAMINI KIPINDI CHA IBRAHIM HAKUKUWA NA DINI YOYOTE ILE SIO UKRISTO SIO UISLAMU
IBRAHIM ALIKUWA ANAONGEA NA MUNGU WAZIWAZI
Mama yake Yesu ni nani ? Yesu alizaliwa mji gani ?
Unahoji kitoto sana, kuna mambo ya msingi ambayo katika habari hayaepukiki na ndiyo yanabeba habari nzima. Kutofautiana mahali au mfano wake ni katika sehemu ndogo sana ya habari.
Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa kwa hoja za kielimu.
Kuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.
Ukristo ni Ushirikina na ukafiri, sababu umepinga na kukataa mafundisho ya Yesu (Nabii Issa). Ila wanapo abudu au kimtaja wanamkusudia Mola muumba, hii ipo hivyo na kwa wengine mfano wa hao.
Mimi naomba uthibitishe ya kuwa kipindi cha nabii Ibrahiim hapakuwa na dini yoyote. Swali nitakuuliza alikuwa anafanya kazi gani kipndi hicho na alikuwa anawaambia nini watu ?
Ibrahiim hakuwahi kuongea na Mungu wazi wazi, hili naomba uthibitishe, aliye ongea na Mola ni nabii Musa peke yake.
Hayo ni maneno yakujifariji tu niwaambieni kitu ukweli siku zote haukimbiwi suala la mahaba na utiifu kwa mwanaume mmezidiwa Sana na wanawake wakislamu nyinyi mchowazidi uchakarikaji na usomi kwenye sifa zao lazima muwape na nyie kwenye sifa Zenu tutawapa bahati mbaya kwenu wamewazidi kwenye sehemu ambayo ndio Wanaume akili zetu zipo hapo yaani tunaiita sensitive area.Kwasababu ya wengi wenu kukosa sifa hizo kuu za wanawake wakislamu ndio maana mnatufanya tuwakimbilie lakini mngekuwa na hizi sifa wala tusiangaika na wanawake wakislamu kabisaNa sie wanawake wa Kikristo tuna mahaba mno na wanaume wa Kiislam sasa sijui tufanyaje???
Nimekuuliza swali unatakiwa ujibu swali, usiruke ruke. Hivi ndivyo nilivyo mimi.Sasa si ushushe historia ya huyo nabii Issa kuanzia kuzaliwa kwake nataka na nchi aliyozaliwa usiniletee blabla kwamba alizaliwa na Mariam kwani Mariam yupo mmoja duniani
Sasa nakupaje historia yake na wewe unadai hawafanani ? Maana yake unawajua vizuri. Ndiyo maana naenda kea mtindo wa mswali. Sasa kama huwajui unatakiwa useme mapema usije ukakimbia kivuli chako.Nipe historia ya huyo nabii Issa kuanzia kuzaliwa kwake mpk kufa kwake na mimi nikushushie historia ya YESU KRISTO
Sasa ndiyo ujibu maswali ya msingi ninayo kuuliza. Wala huyo Yesu Kristo mpaka anakufa hajaacha huo UKRISTO. Yesu Kristo mnamuita nyinyi wapotoshaji wa mfandisho ya nabii Issa.Msitake kuwadanganya watu kwa habari za Uongo YESU SIO NABII ISSA NA HUYO NABII ISSA HAJAWAI KUWA YESU KRISTO KAMA MNAVYOAMINISHWA
Hakuna anaye sema zinafungamana ndiyo maana huko juu kuna mtu nilimkosoa pale aliposema "Abrahamic" sijui nini, sababu Ukristo na Uyahudi ni mazao ya uzushi wa wanadamu na si toka kwa Mola. Ila unapomzungumzia Yesu ambaye ni nabii Issa hapa ndiyo nakuweka sawa.KIUFUPI UKRISTO NA UISLAMU NI DINI ZISIZO FUNGAMANA WALA KUINGILIANA POPOTE PALE
ACHENI KUWADANGANYA WATU BURE
Si mwanaume wala si mwanamke muislamu anayeruhusiwa kufunga ndoa na hasiye muislam labda wafunge ndoa ya aina nyingine lakini itakuwa si ya kiislamu na haihesabiki kama ndoa halali hata muishi miaka 100 kwenye hiyo ndoa yenu hadi pale mtakapoamua kuwa waislamu wote wawili na mkifanya hivyo hamtakuwa na haja ya kufunga ndoa upya.Tupo kwenye boti moja chief, hata mimi nataka kuoa muislam kindaki ndaki tatizo dini yao hairuhusu kuolewa na mtu wa dini nyingine. Japo mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo na kiyahudi.
Ulichokosea ni kutomtia mimba huyo mrembo,, ilitakiwa ucheze faulo tu kibabe basi upinzani ungekosa nguvu. Wangu is a doctor hata kufunga offside goal ya mimba ni ngumu.
Maajabu ni kwamba mtu akiongezewa damu hospitali haulizi kama hii ni ya mkristo au muislam. Hizi dini za kigeni zina tutenganisha kijamii badala ya kutuunganisha.
Sasa dini gani inafundisha kumtetea Mungu ? Mola anajielezea mwenyewe katika maumbile ya mwanadamu, ulimwengu na mazingira kwa ujumla. Kadhalika alituma mitume na manabii na akaweka warithi wa manabii na mitume.Raha ya dini ya KIKRISTO HATUFUNDISHWI KUMTETEA MUNGU TUNAMUACHA MUNGU AJITETE MWENYEWE
Shukrani. Unatakiwa usome sasa, usiwe unakurupuka namna hii bibie.KWA KUSEMA HIVO NIMEMALIZA SINA HAJA YA KUKUELEZEA MAANA HATA NIKIKUELEZEA HATUTOMALIZA MAANA HOJA YA DINI HAIJAWAHI KUMALIZWA MAANA UKWELI HUWAGA MNAUJUA ILA MNAPENDA KUBISHANA SANA
Siyo "MUADHARA" sahihi ni "MUHADHARA".HAPANA SIPO KWENYE MUADHARA MIMI NILITAKA NIKUJIBU TU
Haya ni madai tu yasiyo kuwa uthibitisho kama yalivyo madai ya Wakanamungu(Mulhid/Atheists) ambayo hayabadilishi chochote katika uwepo wa Allah mtukufu.YESU KRISTO SIO NABII ISSA NA HAJAWAHI KUWA NA HATOKUJA KUWA MILELE NA MILELE KAMA NENO LA MUNGU LIISHIVYO
AMEN [emoji39][emoji39]
Mambo yakufikilika tu haya,kilichopo ni kwamba Islam Wana wajibu wa Kuongeza idadi yao kwa kuzaa,au kuoa mabinti WA dini nyingine na kuwa badilisha dini,binyi wa kikristo akiolewa na Islam,ataza waislam na atabadilishwa dini awe Islam hapo ndugu zetu hufurahi sana wanapoweza kumbadilisha dini binyi wa dini nyingine.Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.
Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Unaweza ukaongea hivyo ila wengine tupo kwenye field tunajionea ndio maana kuna siku nilimuuliza muislamu mmoja wakike jirani yangu akanipa majibu kwanini wao wanakuwa watiifu na mahaba kwa Wanaume kwa majibu aliyonipa unaona kabisa dini inamchango wake mkubwa tuDini haina mahusiano na kupenda, kujali kwene mahusiano.
Sasa dini gani inafundisha kumtetea Mungu ? Mola anajielezea mwenyewe katika maumbile ya mwanadamu, ulimwengu na mazingira kwa ujumla. Kadhalika alituma mitume na manabii na akaweka warithi wa manabii na mitume.
Shukrani. Unatakiwa usome sasa, usiwe unakurupuka namna hii bibie.
Siyo "MUADHARA" sahihi ni "MUHADHARA".
Haya ni madai tu yasiyo kuwa uthibitisho kama yalivyo madai ya Wakanamungu(Mulhid/Atheists) ambayo hayabadilishi chochote katika uwepo wa Allah mtukufu.
Poa mkuu inaonekana ulikuwepo kabisaKuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.
Ukristo ni Ushirikina na ukafiri, sababu umepinga na kukataa mafundisho ya Yesu (Nabii Issa). Ila wanapo abudu au kimtaja wanamkusudia Mola muumba, hii ipo hivyo na kwa wengine mfano wa hao.
Mimi naomba uthibitishe ya kuwa kipindi cha nabii Ibrahiim hapakuwa na dini yoyote. Swali nitakuuliza alikuwa anafanya kazi gani kipndi hicho na alikuwa anawaambia nini watu ?
Ibrahiim hakuwahi kuongea na Mungu wazi wazi, hili naomba uthibitishe, aliye ongea na Mola ni nabii Musa peke yake.
Utofauti wa Yesu na Issa ni huo hapo.Kuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.
Ukristo ni Ushirikina na ukafiri, sababu umepinga na kukataa mafundisho ya Yesu (Nabii Issa). Ila wanapo abudu au kimtaja wanamkusudia Mola muumba, hii ipo hivyo na kwa wengine mfano wa hao.
Mimi naomba uthibitishe ya kuwa kipindi cha nabii Ibrahiim hapakuwa na dini yoyote. Swali nitakuuliza alikuwa anafanya kazi gani kipndi hicho na alikuwa anawaambia nini watu ?
Ibrahiim hakuwahi kuongea na Mungu wazi wazi, hili naomba uthibitishe, aliye ongea na Mola ni nabii Musa peke yake.
Mmoja Kati ya kitu ambacho siwezi kukifanya ni hicho labda mwanamke abadili kunifuata mimi lakini sio mimi kumfuata yeyeSasa ili uenjoy vizuri inatakiwa uwe mwislamu
Utofauti wa Yesu na Issa ni huo hapo. View attachment 2209040
I will helipi yuuNi mvivu kuandika mkuu na kujibu comment
yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?
Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.
Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?
Kukusaidia tu..Babu yako hakuijua dini hiyo unayoipa kipaumbele..Nimejinukuu mwenyewe.