Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.

NDIO MAANA MTU AKINIAMBIA ET DINI ZOTE ZINAMUABUDU MUNGU MMOJA HUWA NAKATAA NAPINGA SANA KWA SABABU KAMA HIZI

SASA HUONI KAMA TUNAAMINI TOFAUTI YAANI WEWE UNAAMINI IBRAHIM ALIKUWA MUISLAM WAKATI HUO MIMI NAAMINI KIPINDI CHA IBRAHIM HAKUKUWA NA DINI YOYOTE ILE SIO UKRISTO SIO UISLAMU
IBRAHIM ALIKUWA ANAONGEA NA MUNGU WAZIWAZI
 
yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;

Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.

Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?

Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.

Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?
Binadamu uwa tunachagua dhambi za kutenda. Oh kuzaa nje ya ndoa dhambi la kuzini sawa tu.
 
NDIO MAANA MTU AKINIAMBIA ET DINI ZOTE ZINAMUABUDU MUNGU MMOJA HUWA NAKATAA NAPINGA SANA KWA SABABU KAMA HIZI

SASA HUONI KAMA TUNAAMINI TOFAUTI YAANI WEWE UNAAMINI IBRAHIM ALIKUWA MUISLAM WAKATI HUO MIMI NAAMINI KIPINDI CHA IBRAHIM HAKUKUWA NA DINI YOYOTE ILE SIO UKRISTO SIO UISLAMU
IBRAHIM ALIKUWA ANAONGEA NA MUNGU WAZIWAZI
Kuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.

Ukristo ni Ushirikina na ukafiri, sababu umepinga na kukataa mafundisho ya Yesu (Nabii Issa). Ila wanapo abudu au kimtaja wanamkusudia Mola muumba, hii ipo hivyo na kwa wengine mfano wa hao.

Mimi naomba uthibitishe ya kuwa kipindi cha nabii Ibrahiim hapakuwa na dini yoyote. Swali nitakuuliza alikuwa anafanya kazi gani kipndi hicho na alikuwa anawaambia nini watu ?

Ibrahiim hakuwahi kuongea na Mungu wazi wazi, hili naomba uthibitishe, aliye ongea na Mola ni nabii Musa peke yake.
 
Mama yake Yesu ni nani ? Yesu alizaliwa mji gani ?

Unahoji kitoto sana, kuna mambo ya msingi ambayo katika habari hayaepukiki na ndiyo yanabeba habari nzima. Kutofautiana mahali au mfano wake ni katika sehemu ndogo sana ya habari.

Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa kwa hoja za kielimu.

Sasa si ushushe historia ya huyo nabii Issa kuanzia kuzaliwa kwake nataka na nchi aliyozaliwa usiniletee blabla kwamba alizaliwa na Mariam kwani Mariam yupo mmoja duniani

Nipe historia ya huyo nabii Issa kuanzia kuzaliwa kwake mpk kufa kwake na mimi nikushushie historia ya YESU KRISTO

Msitake kuwadanganya watu kwa habari za Uongo YESU SIO NABII ISSA NA HUYO NABII ISSA HAJAWAI KUWA YESU KRISTO KAMA MNAVYOAMINISHWA

KIUFUPI UKRISTO NA UISLAMU NI DINI ZISIZO FUNGAMANA WALA KUINGILIANA POPOTE PALE
ACHENI KUWADANGANYA WATU BURE
 
Tatizo la kujali hisia zetu kuliko Future za watoto wetu ni kubwaa sanaaa... umependa pisi ya Kiislamu na weww mkristo mwanamke anasema atabadili dini mwisho wa siku Habadili watoto wa Kizaliwa wanakuwa sio Wakristo wala waislamu yani wapo wapo tuuu...!! Wengine leo wanasali kanisani week ijayo wapo msikitinii balaa tupuu... mwisho wa siku watoto wanakua hawana Dini wapo wapo tuuu nina mshkaji wangu ni mfano hai kabisaaa japo wanasema Dini tuliletewa ila kama Uchawi upo bhasi na Mungu yupo lazima watoto wawe na njia ya kumtukuzaa..
 
Kuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.

Ukristo ni Ushirikina na ukafiri, sababu umepinga na kukataa mafundisho ya Yesu (Nabii Issa). Ila wanapo abudu au kimtaja wanamkusudia Mola muumba, hii ipo hivyo na kwa wengine mfano wa hao.

Mimi naomba uthibitishe ya kuwa kipindi cha nabii Ibrahiim hapakuwa na dini yoyote. Swali nitakuuliza alikuwa anafanya kazi gani kipndi hicho na alikuwa anawaambia nini watu ?

Ibrahiim hakuwahi kuongea na Mungu wazi wazi, hili naomba uthibitishe, aliye ongea na Mola ni nabii Musa peke yake.

Raha ya dini ya KIKRISTO HATUFUNDISHWI KUMTETEA MUNGU TUNAMUACHA MUNGU AJITETE MWENYEWE

KWA KUSEMA HIVO NIMEMALIZA SINA HAJA YA KUKUELEZEA MAANA HATA NIKIKUELEZEA HATUTOMALIZA MAANA HOJA YA DINI HAIJAWAHI KUMALIZWA MAANA UKWELI HUWAGA MNAUJUA ILA MNAPENDA KUBISHANA SANA

HAPANA SIPO KWENYE MUADHARA MIMI NILITAKA NIKUJIBU TU KWAMBA

YESU KRISTO SIO NABII ISSA NA HAJAWAHI KUWA NA HATOKUJA KUWA MILELE NA MILELE KAMA NENO LA MUNGU LIISHIVYO

AMEN [emoji39][emoji39]
 
Na sie wanawake wa Kikristo tuna mahaba mno na wanaume wa Kiislam sasa sijui tufanyaje???
Hayo ni maneno yakujifariji tu niwaambieni kitu ukweli siku zote haukimbiwi suala la mahaba na utiifu kwa mwanaume mmezidiwa Sana na wanawake wakislamu nyinyi mchowazidi uchakarikaji na usomi kwenye sifa zao lazima muwape na nyie kwenye sifa Zenu tutawapa bahati mbaya kwenu wamewazidi kwenye sehemu ambayo ndio Wanaume akili zetu zipo hapo yaani tunaiita sensitive area.Kwasababu ya wengi wenu kukosa sifa hizo kuu za wanawake wakislamu ndio maana mnatufanya tuwakimbilie lakini mngekuwa na hizi sifa wala tusiangaika na wanawake wakislamu kabisa
 
Sasa si ushushe historia ya huyo nabii Issa kuanzia kuzaliwa kwake nataka na nchi aliyozaliwa usiniletee blabla kwamba alizaliwa na Mariam kwani Mariam yupo mmoja duniani
Nimekuuliza swali unatakiwa ujibu swali, usiruke ruke. Hivi ndivyo nilivyo mimi.

Sasa ulivyosema wakk tofauti maana yake hujui historia ya nabii Issa ? Inaonekana unajua historia ndiyo maana ukahitimisha hivyo, sasa napo kuuliza swali ujue najua kwamba wewe unamjua nabii Issa, sasa ili nikubane vizuri nakuuliza maswali ya msingi.
Nipe historia ya huyo nabii Issa kuanzia kuzaliwa kwake mpk kufa kwake na mimi nikushushie historia ya YESU KRISTO
Sasa nakupaje historia yake na wewe unadai hawafanani ? Maana yake unawajua vizuri. Ndiyo maana naenda kea mtindo wa mswali. Sasa kama huwajui unatakiwa useme mapema usije ukakimbia kivuli chako.
Msitake kuwadanganya watu kwa habari za Uongo YESU SIO NABII ISSA NA HUYO NABII ISSA HAJAWAI KUWA YESU KRISTO KAMA MNAVYOAMINISHWA
Sasa ndiyo ujibu maswali ya msingi ninayo kuuliza. Wala huyo Yesu Kristo mpaka anakufa hajaacha huo UKRISTO. Yesu Kristo mnamuita nyinyi wapotoshaji wa mfandisho ya nabii Issa.
KIUFUPI UKRISTO NA UISLAMU NI DINI ZISIZO FUNGAMANA WALA KUINGILIANA POPOTE PALE
ACHENI KUWADANGANYA WATU BURE
Hakuna anaye sema zinafungamana ndiyo maana huko juu kuna mtu nilimkosoa pale aliposema "Abrahamic" sijui nini, sababu Ukristo na Uyahudi ni mazao ya uzushi wa wanadamu na si toka kwa Mola. Ila unapomzungumzia Yesu ambaye ni nabii Issa hapa ndiyo nakuweka sawa.

Wewe kumbe ni mwanamke ? Ndiyo maana mjadala umekuwa mgumu kwako huweki hoja wala ithibati, unalalama.
 
Tupo kwenye boti moja chief, hata mimi nataka kuoa muislam kindaki ndaki tatizo dini yao hairuhusu kuolewa na mtu wa dini nyingine. Japo mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo na kiyahudi.

Ulichokosea ni kutomtia mimba huyo mrembo,, ilitakiwa ucheze faulo tu kibabe basi upinzani ungekosa nguvu. Wangu is a doctor hata kufunga offside goal ya mimba ni ngumu.

Maajabu ni kwamba mtu akiongezewa damu hospitali haulizi kama hii ni ya mkristo au muislam. Hizi dini za kigeni zina tutenganisha kijamii badala ya kutuunganisha.
Si mwanaume wala si mwanamke muislamu anayeruhusiwa kufunga ndoa na hasiye muislam labda wafunge ndoa ya aina nyingine lakini itakuwa si ya kiislamu na haihesabiki kama ndoa halali hata muishi miaka 100 kwenye hiyo ndoa yenu hadi pale mtakapoamua kuwa waislamu wote wawili na mkifanya hivyo hamtakuwa na haja ya kufunga ndoa upya.
 
Raha ya dini ya KIKRISTO HATUFUNDISHWI KUMTETEA MUNGU TUNAMUACHA MUNGU AJITETE MWENYEWE
Sasa dini gani inafundisha kumtetea Mungu ? Mola anajielezea mwenyewe katika maumbile ya mwanadamu, ulimwengu na mazingira kwa ujumla. Kadhalika alituma mitume na manabii na akaweka warithi wa manabii na mitume.
KWA KUSEMA HIVO NIMEMALIZA SINA HAJA YA KUKUELEZEA MAANA HATA NIKIKUELEZEA HATUTOMALIZA MAANA HOJA YA DINI HAIJAWAHI KUMALIZWA MAANA UKWELI HUWAGA MNAUJUA ILA MNAPENDA KUBISHANA SANA
Shukrani. Unatakiwa usome sasa, usiwe unakurupuka namna hii bibie.
HAPANA SIPO KWENYE MUADHARA MIMI NILITAKA NIKUJIBU TU
Siyo "MUADHARA" sahihi ni "MUHADHARA".
YESU KRISTO SIO NABII ISSA NA HAJAWAHI KUWA NA HATOKUJA KUWA MILELE NA MILELE KAMA NENO LA MUNGU LIISHIVYO

AMEN [emoji39][emoji39]
Haya ni madai tu yasiyo kuwa uthibitisho kama yalivyo madai ya Wakanamungu(Mulhid/Atheists) ambayo hayabadilishi chochote katika uwepo wa Allah mtukufu.
 
Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.

Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Mambo yakufikilika tu haya,kilichopo ni kwamba Islam Wana wajibu wa Kuongeza idadi yao kwa kuzaa,au kuoa mabinti WA dini nyingine na kuwa badilisha dini,binyi wa kikristo akiolewa na Islam,ataza waislam na atabadilishwa dini awe Islam hapo ndugu zetu hufurahi sana wanapoweza kumbadilisha dini binyi wa dini nyingine.
Ila ugumu wa kuoana dini tofauti haupo kati ya ukristo na uislam,kuoa bintibwa kilokole au msabato na wewe ni mkatoriki ni balaa zaidi Bora uoe Binti wa Swala tano.
Wazazi wakileta mambo yao,torosha Binti piga mimba,watajileta tu,mie kska Ako waliniletea hizo wakati mie nishapenda,nikachukua Binti,nikahama mkoa,nikapiga vitu,alipojifungua,wenyewe walinitsfuta,na ndoa ikafungwa kanisani,sasa hv mambo shwaali,mtoto anapika futari,nakula
 
Dini haina mahusiano na kupenda, kujali kwene mahusiano.
Unaweza ukaongea hivyo ila wengine tupo kwenye field tunajionea ndio maana kuna siku nilimuuliza muislamu mmoja wakike jirani yangu akanipa majibu kwanini wao wanakuwa watiifu na mahaba kwa Wanaume kwa majibu aliyonipa unaona kabisa dini inamchango wake mkubwa tu
 
Sasa dini gani inafundisha kumtetea Mungu ? Mola anajielezea mwenyewe katika maumbile ya mwanadamu, ulimwengu na mazingira kwa ujumla. Kadhalika alituma mitume na manabii na akaweka warithi wa manabii na mitume.

Shukrani. Unatakiwa usome sasa, usiwe unakurupuka namna hii bibie.

Siyo "MUADHARA" sahihi ni "MUHADHARA".

Haya ni madai tu yasiyo kuwa uthibitisho kama yalivyo madai ya Wakanamungu(Mulhid/Atheists) ambayo hayabadilishi chochote katika uwepo wa Allah mtukufu.

SAWA MFIA DINI
 
Kuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.

Ukristo ni Ushirikina na ukafiri, sababu umepinga na kukataa mafundisho ya Yesu (Nabii Issa). Ila wanapo abudu au kimtaja wanamkusudia Mola muumba, hii ipo hivyo na kwa wengine mfano wa hao.

Mimi naomba uthibitishe ya kuwa kipindi cha nabii Ibrahiim hapakuwa na dini yoyote. Swali nitakuuliza alikuwa anafanya kazi gani kipndi hicho na alikuwa anawaambia nini watu ?

Ibrahiim hakuwahi kuongea na Mungu wazi wazi, hili naomba uthibitishe, aliye ongea na Mola ni nabii Musa peke yake.
Poa mkuu inaonekana ulikuwepo kabisa

Bahati mbaya ukasahaulika kunyakuliwa

Bladifakin
 
Kuamini tofauti siyo hoja, hoja ni nani mkweli juu ya kile anachokiamini.

Ukristo ni Ushirikina na ukafiri, sababu umepinga na kukataa mafundisho ya Yesu (Nabii Issa). Ila wanapo abudu au kimtaja wanamkusudia Mola muumba, hii ipo hivyo na kwa wengine mfano wa hao.

Mimi naomba uthibitishe ya kuwa kipindi cha nabii Ibrahiim hapakuwa na dini yoyote. Swali nitakuuliza alikuwa anafanya kazi gani kipndi hicho na alikuwa anawaambia nini watu ?

Ibrahiim hakuwahi kuongea na Mungu wazi wazi, hili naomba uthibitishe, aliye ongea na Mola ni nabii Musa peke yake.
Utofauti wa Yesu na Issa ni huo hapo.
Screenshot_20220502_214738.jpg
 
Utofauti wa Yesu na Issa ni huo hapo. View attachment 2209040

HAYO NI MACHACHE KATIKA MENGI JAMANI MIMI NAWASHANGAA SANA YANI MTU KAKAZANA KUSEMA YESU NDIO NABII ISSA
BIBLIA IMEANDIKWA KWA KISWAHILI NUNUA UISOMEE UACHE KUPOTOSHWA NA KAMA HUWEZI KUNUNUA SIKU HIZI IMEWEKWA KATIKA APPLICATION UNAINGIA PLAYSTORE UNAIKUTA HUKU TENA IPO NA YA KIINGEREZA NI NZURI ZAIDI

USIKUBALI KUWA KIPOFU KUMEZESHWA VITU VYA UONGO
 
yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;

Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.

Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?

Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.

Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?

Hata kama hujaomba ushauri mimi nakushaurii

TUMIA AKILI USITUMIE HISIA NENDA OA MTU WA DINI YAKO ACHA KUPUMBAZWA NA UPENDO MWANAMKE KUKUGEUKA NI SEKUNDE 1

HALAFU UNAKUBALI KUFARAKANA NA NDUGU ZAKO KWA SABABU YA MTU ULIEKUTANA NAE UKUBWANI UMEFIKIRIA SIKU HUYO MWANAMKE AKAKULETEA MATATIZO NDUGU ZAKO SI WATAKUSHUSHUA SANA

MWISHO

HIZI DINI NI DINI ZENYE IMANI TOFAUTI KAMWE HAZIWEZI KUKUBALIANA KIVYOVYOTE VILE KIUFUPI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI NA HAZITOKUJA KUENDANA KABISA KABISA KABISA KABISA

TAFUTA WA IMANI YAKO OA
UPENDO HUISHAA[emoji41][emoji41]
 
Nimejinukuu mwenyewe.
Kukusaidia tu..Babu yako hakuijua dini hiyo unayoipa kipaumbele..

Pengine wazazi wako wangekulea kiganga ungekuwa mganga wa kienyeji unatibu watu.

Matendo mema kwako na kuwatendea mema wengine hiyo ndiyo dini kiongozi.

Hayo mengine ya mtume, manabibi n.k hadithi kibao, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.

Usisahau kulea wanao vyema
 
Back
Top Bottom