Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Abdool son of Mutah,
1. Nipe ushahidi ya kuwa Muhamma alifunuliwa hayo aliyoyaandika kuhusu Musa au yakub

2.nipe ushahidi Alie andika Koran no hafs waislamu maika 200 baada ya mtume Alie kufa kwa sumu?

3. Sitaki kujua mambo ya hafs ila kwa nini ilitoka kwake miaka 200 baada ya Muhammad?













?
 
Alie andika Koran kaleta habari za miaka zaidi ya elfu , ametoa wapi?
 
Abdool son of MUTAH nimekwambia acha unafiki , chain ya Isa unakubali , ila chain ya Yesu hutaki kukubali, acha upumbavu kwanza NDio tu debate

Chain ya Isa - Allah-jibril-muhammad unakubali
Chain ya Yesu - Jehovah- Gabriel - watu - unakataa

Acha ushenge kwanza
 
Nimecheka sana. Ngoja nikufundishe kijana. Sababu wewe siyo msomaji.

Kwanza mimi naamini Injili ya Yesu, ambayo chain yake ni "Allah kwenda kwa Jibril kwenda kwa Yesu kwenda kwa Wanafunzi wa Yesu" kizaa zaa kinaanzia hapa tokea kwa wanafunzi wa Yesu, kama unao ushahidi unao onyesha ya kuwa Wanafunzi wa Yesu walikuwa wanaandika mafundisho ya Yesu tuwekee hapa.

Sasa mimi nakupa kazi kijana, tuwekee chain za kina Marko, Luka, Yohana na Matayo zifike mpaka kwa Yesu ukiweza mimi nakuwa Mkristo.

Nikipata muda kuna siku nitaanzisha mada niwaonyeshe maajabu yaliyomo katika elimu ya Hadithi, ili mkizisikia Hadithi mkae mbali na mjue zimehifadhiwa kwa namna gani na kwa umakini wa hali ya juu kwa namna gani.
 
Usije ukajichanganya, yaani wewe ni mgalatia ukataka kuoa binti ambaye wazazi wake ni wafuasi wa bwana mudi utakuja kukwaaaama...!!!?..Mimi Sina hamu kabisa,yaani ni rahisi kwa waislamu kuoa binti wa kikristo,lakini si mkristo aoe binti wa kiislamu..yaani jamaa hawapendi kabisa fair play,yaani kukubali matokeo,hawapendi kabisa nakwambia..tena ukiforce yan mtoto awe amekuzimia sanaaa hapo jamaa watakutupia hata kajini maimuna katakuzingua kichizi..mi nna xpiriensi nao hao jamaa ni wabinafsi kama mtume wao mudinho...yan usijaribu bora uoe mgalatia mwenzako
 

Mkuu i can't fill your cup its already full yani kama umesoma hapo na hujaelewa kwaheri napoteza nguvu zangu bure[emoji23][emoji119]
 
Nakukumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili kuna kidem cha form six kilinielewa nilikutana nacho kwnye harusi ya braza.
Braza yy ni muslim Kutakona Mzazi mmoja muislim mwngine mkristo so braza kafata upande mmoja ambao ni Muslim na mm upande mwingine , sasa akajua na mm ni muislim kwa sababu hata jina langu ni la kislam .

Sasa kipindi cha likizo akanipanga twende tukatembee koko beach asubuhi asubuhi tukaanza safarii tumefika kwny mapango chezea sana mtoto twende lodge ile sehem sio Salama lakn kabla hatujaenda lodge tupitie kwny mihogo ndo tule twende tumeshiba.
Tumefika kweny mihogo tumeagiza kabla hatujala si nikapiga ishara ya msalaba Mtt alivyooniona hvyoo alinibadilikia na nyegee alizokuwa nazo zote zikaisha shughuli ikaishia pale pale bembeleza sana wapi basi kila mtu akachukua njia yake tunda sikula
 
We nae umezidi mikwara, bora alivyokunyima tu.
 
Sasa wewe unamuamini Allah!.???..Allah mwenyewe ni muongo muongo tu,Allah si ndiye aliyesema ameumba aeroplane kwenye quran!!!..je ni kweli Allah aliumba aeroplane!?..lini!?.wakati tunajua aeroplane zinaumbwa Japan,China na America!
Ukiamini hii midini yenu hii mnakuwa wajinga wa kutupwa
 
Hiyo ni roho mbaya wallah,looh mtoto wao wa kumzaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ostazat alikwambia kuzaa nje ya ndoa mtume hataki

Vp kuhus kudinyana mtume anaruhusu

Nisawa kukubali ukimw na kukataa mimbaaa
 
Mkuu i can't fill your cup its already full yani kama umesoma hapo na hujaelewa kwaheri napoteza nguvu zangu bure[emoji23][emoji119]
Shida siyo kwamba ni kusoma shida maelezo yenu hayajibu maswali yangu.

Shukrani.
 
Naomba unionyeshe kwenye Qur'aan amesema hivyo wapi ? Ukinionyesha nakuwa Mkristo.

Shida yenu mnakuwa wajinga mpaka ujinga unawashangaa, hamsomi mnapenda kusikia na kusambaza maneno.
 
Hiyo ni roho mbaya wallah,looh mtoto wao wa kumzaa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kuapa una apa tena bibie ?

Kama mtoto mjinga mjinga unamfanyaje ? Kwani alilazimishwa kufanya hayo aliyo yafanya ? Wazazi wako sahihi na Mola awalipe kheri kwa msimamo wao.

Watoto wa kike wana upendo wa kijinga wa Tamthiliya, hapo huenda wazazi walimpa sana nasaha lakini kwa kupenda kwa watoto wa kike akakaidi na huenda aliwajibu mbovu sana wazazi wake.

Wengi wanahisi hakuna maisha baada ya kupenda na kuzaa, bali kuna maisha baada ya kifo na mengineyo unaandaa nini huko unakoenda.

Allah awaepushe mtihani huu mabinti zangu na awahifadhi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…