Abdool son of Mutah,Safi kabisa, swali langu rahisi sana tunajua wote Luka hakumuona Yesu. Katika andiko hapo juu halijawaainisha hao walio shuhudia na kuwahadithia kwa maana ya kuwa walihadithiwa na nani na kina nani waliwashuhudia. Sababu andilo la Luka la kwanza linaonyesha kabla yake wapo walio andika maandiko kinyume na wale walio wa shuhudia. Je walio shuhudia ni kina nani ? Wanafunzi wa Yesu au kina nani ?
Pili, hujajibu hoja yangu ya kunyesha ya kuwa matini inatakiwa isomeke hivi "Nimemsikia Yesu akisema kadha wa kadha" au "Nimemuona Yesu akisema kadha wa kadha" au "Ametuhadithia mwanafunzi wa Yesu kadha wa kadha"
Mungu inakuwaje afe na alifufuka au alifufuliwa na kama alifufuliwa nani alimfufua ?
Wapi Yesu anasema ya kuwa naondoka nawaachia Roho mtakatifu kwa ajili ya kuwafunulia mambo ?
Tutajuaje kama hayo ni maono na si maoni ya waja ?
Unakubali kwamba Yesu ameondoka hakuacha kitu kinachoitwa BIBLIA ?
Nisaidie maswali yafuatayo :
1. Nipe ushahidi ya kuwa Marko alifunuliwa hayo aliyo yaandika.
2. Nipe ushahidi wa kuwa ni kweli Marko ni yeye aliandika hayo aliyo yaandika.
3. Sitaki kujua aliandika lini, ila nataka ushahidi unao onyesha ya kuwa ni kweli aliandika.
1. Nipe ushahidi ya kuwa Muhamma alifunuliwa hayo aliyoyaandika kuhusu Musa au yakub
2.nipe ushahidi Alie andika Koran no hafs waislamu maika 200 baada ya mtume Alie kufa kwa sumu?
3. Sitaki kujua mambo ya hafs ila kwa nini ilitoka kwake miaka 200 baada ya Muhammad?
?