Ukianzisha uzi wake nitagDah umenikumbusha kaka yangu alipomfata ex wangu eti niachane nae kisa ni dini tofauti tena alimfata na panga hiki kisa natamani niazishie uzi yale mahusiano nilipigwa mikanda sana home[emoji51]
Sipati picha ungekuwa mzazi wa binti yako amekuja kumtambulisha mchumba wake wa kikristo nazani mngemkatakata na mapanga na damu kuinywa supu si kwa chuki hizi ulizonazo kwa dini ya kikristo as if inakusaidia kuondoa matatizo ya maisha yakoNa kuapa una apa tena bibie ?
Kama mtoto mjinga mjinga unamfanyaje ? Kwani alilazimishwa kufanya hayo aliyo yafanya ? Wazazi wako sahihi na Mola awalipe kheri kwa msimamo wao.
Watoto wa kike wana upendo wa kijinga wa Tamthiliya, hapo huenda wazazi walimpa sana nasaha lakini kwa kupenda kwa watoto wa kike akakaidi na huenda aliwajibu mbovu sana wazazi wake.
Wengi wanahisi hakuna maisha baada ya kupenda na kuzaa, bali kuna maisha baada ya kifo na mengineyo unaandaa nini huko unakoenda.
Allah awaepushe mtihani huu mabinti zangu na awahifadhi pia.
Shida hamjaelewa. Siyo kwamba tuna chuki, maisha hayaishii katika kuzaa au kupendana tu. Kuna maisha baada ya hapo.Sipati picha ungekuwa mzazi wa binti yako amekuja kumtambulisha mchumba wake wa kikristo nazani mngemkatakata na mapanga na damu kuinywa supu si kwa chuki hizi ulizonazo kwa dini ya kikristo as if inakusaidia kuondoa matatizo ya maisha yako
Mbona tunauona wakristo wanaona waislamu?Shida hamjaelewa. Siyo kwamba tuna chuki, maisha hayaishii katika kuzaa au kupendana tu. Kuna maisha baada ya hapo.
Hatakatwa mtu mapanga wala haluna haja hiyo. Sini yetu hairuhusu Mkristo kumuoa Muislamu ila sisi tunaruhusiwa kuwaoa walio pewa kitabu, japo hili lina maelezo marefu.
allah is already dead.Sasa wewe unamuamini Allah!.???..Allah mwenyewe ni muongo muongo tu,Allah si ndiye aliyesema ameumba aeroplane kwenye quran!!!..je ni kweli Allah aliumba aeroplane!?..lini!?.wakati tunajua aeroplane zinaumbwa Japan,China na America!
Ukiamini hii midini yenu hii mnakuwa wajinga wa kutupwa
Sijaumia nimesema ni kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini dada zangu wakikristo tukiwazifia wenzetu roho Zenu zinaumia wakati ndio uhalisia wenyewe ukweli siku zote haukimbiwi
Kwenye mavazi na usafi naweza kukubaliana na wewe, na ni kweli wengi huvutiwa nao ila linapokuja swala la maadili, mabinti wa kiislamu wengi wanafeli pakubwa. Sio kwamba uislamu una mafundisho mabaya, ila ni kwasababu umewatenga wanawake kwenye baadhi ya mambo.Ni rahisi sana mwanaume wa kikristo kumpenda binti wa kiislam kuliko mwanaume wa kiislam kumpenda binti wa kikristo.
Pia hata ikitokea ya mwaume wa kiislam kumpenda binti wa kikrito. Dini ya kiislam inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa binti wa dini ya kikristo. Ila hairuhusu binti wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo ama dini nyingine tofaut na ya kiislam.
Wanawake wa kiislam wanavutia sana wanaume wa kikristo sababu ya usafi na mavazi yao ya heshima ya kujisitiri. Ndio maana wanapendwa sana na wanaume wa kikristo shida kuwaoa ndiyo dini ya kiislam inakataa binti yao asiolewe na dini ingine
Tunaendana kabisa [emoji3526]
Unakosea sana unapo generalize hivyo, kuna watu humu tunakuona ni limbukeni wa mapenzi na kwamba unaamini hivyo ili kutafuta uhalali wa kinachoendelea kati yako na huyo binti wa kiislamu.🤣🤣🤣🤣🤣 kwa wanawake kumpenda mwanaume wa kislamu inatokea Mara chache lakini case ya Wanaume kupenda wanawake wa kislamu ni Mara nyingi sana inatokea na hii ni kwasababu wanawake wakislamu wanajua mahaba sana na wanajua kumtreat vizuri mwanaume na hiki kinavutia sana Wanaume
Taqabbalallahu Minna Wa minkum
Waafrica (hasa africa ya mashariki na kusini) ni wajinga sana.Tusitake kuishi kizungu uko sahihi lakini kwanini watu hutolea mifano kwa wazungu tu vipi jamii zingine tulizoiga tamaduni zao na kudharau mpaka lugha zetu za asili tukihusisha kila kilicho chao na imani?huu upofu unaletwa na nguvu gani?!
Hapana si kweli mojaLakini zote zinatambulika kama Ibrahimism, zina vinasaba vya pamoja na ndio maana mitume karibu wote wanatajwa na vitabu vya dini hizi mbili kwa pamoja na matendo yale yale.
Unabadili dini kisanii halafu kesho unaendelea na dini yako ya awali. Mjomba wangu alislim na hakurudi ukristoni Tena.Kubadili dini iko nikipengele kigumu sana
Daaah wewe mpaka upigwe tukio zito ndio utakaa level na kuamini kwamba swala la mapenzi na mahaba halihusiani na dini.Unaweza ukaongea hivyo ila wengine tupo kwenye field tunajionea ndio maana kuna siku nilimuuliza muislamu mmoja wakike jirani yangu akanipa majibu kwanini wao wanakuwa watiifu na mahaba kwa Wanaume kwa majibu aliyonipa unaona kabisa dini inamchango wake mkubwa tu
Ulizama moja kwa moja au ulirudi kundini baadae?Hata sijui, nilijikuta tu nimezama kwenye huba.
Ni kweli upendo huisha ila kwakua sasa bado haujaisha acha andelee, huko mbeleni ukija kuisha atatafuta mwingine.Hata kama hujaomba ushauri mimi nakushaurii
TUMIA AKILI USITUMIE HISIA NENDA OA MTU WA DINI YAKO ACHA KUPUMBAZWA NA UPENDO MWANAMKE KUKUGEUKA NI SEKUNDE 1
HALAFU UNAKUBALI KUFARAKANA NA NDUGU ZAKO KWA SABABU YA MTU ULIEKUTANA NAE UKUBWANI UMEFIKIRIA SIKU HUYO MWANAMKE AKAKULETEA MATATIZO NDUGU ZAKO SI WATAKUSHUSHUA SANA
MWISHO
HIZI DINI NI DINI ZENYE IMANI TOFAUTI KAMWE HAZIWEZI KUKUBALIANA KIVYOVYOTE VILE KIUFUPI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI NA HAZITOKUJA KUENDANA KABISA KABISA KABISA KABISA
TAFUTA WA IMANI YAKO OA
UPENDO HUISHAA[emoji41][emoji41]
Uislam ni dini ya mwisho , Sasa ilikuwaje ikawa kabla ya uyahudi na ukristo? Hujui kuwa hujui. Ibrahim alikuwa myahudi na mitume wote kumtoa Mohamed walikuwa wayahudi by default.Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.