Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Watu wale wana Mungu wao na wale wana Allah wao, na wale wana Yesu wao na Wale wana Nabii wao...
 
Dah umenikumbusha kaka yangu alipomfata ex wangu eti niachane nae kisa ni dini tofauti tena alimfata na panga hiki kisa natamani niazishie uzi yale mahusiano nilipigwa mikanda sana home[emoji51]
Ukianzisha uzi wake nitag
 
Na kuapa una apa tena bibie ?

Kama mtoto mjinga mjinga unamfanyaje ? Kwani alilazimishwa kufanya hayo aliyo yafanya ? Wazazi wako sahihi na Mola awalipe kheri kwa msimamo wao.

Watoto wa kike wana upendo wa kijinga wa Tamthiliya, hapo huenda wazazi walimpa sana nasaha lakini kwa kupenda kwa watoto wa kike akakaidi na huenda aliwajibu mbovu sana wazazi wake.

Wengi wanahisi hakuna maisha baada ya kupenda na kuzaa, bali kuna maisha baada ya kifo na mengineyo unaandaa nini huko unakoenda.

Allah awaepushe mtihani huu mabinti zangu na awahifadhi pia.
Sipati picha ungekuwa mzazi wa binti yako amekuja kumtambulisha mchumba wake wa kikristo nazani mngemkatakata na mapanga na damu kuinywa supu si kwa chuki hizi ulizonazo kwa dini ya kikristo as if inakusaidia kuondoa matatizo ya maisha yako
The lastborn9319
Tychob
TZ-1
 
Sipati picha ungekuwa mzazi wa binti yako amekuja kumtambulisha mchumba wake wa kikristo nazani mngemkatakata na mapanga na damu kuinywa supu si kwa chuki hizi ulizonazo kwa dini ya kikristo as if inakusaidia kuondoa matatizo ya maisha yako
Shida hamjaelewa. Siyo kwamba tuna chuki, maisha hayaishii katika kuzaa au kupendana tu. Kuna maisha baada ya hapo.

Hatakatwa mtu mapanga wala haluna haja hiyo. Sini yetu hairuhusu Mkristo kumuoa Muislamu ila sisi tunaruhusiwa kuwaoa walio pewa kitabu, japo hili lina maelezo marefu.
 
Shida hamjaelewa. Siyo kwamba tuna chuki, maisha hayaishii katika kuzaa au kupendana tu. Kuna maisha baada ya hapo.

Hatakatwa mtu mapanga wala haluna haja hiyo. Sini yetu hairuhusu Mkristo kumuoa Muislamu ila sisi tunaruhusiwa kuwaoa walio pewa kitabu, japo hili lina maelezo marefu.
Mbona tunauona wakristo wanaona waislamu?
 
Sasa wewe unamuamini Allah!.???..Allah mwenyewe ni muongo muongo tu,Allah si ndiye aliyesema ameumba aeroplane kwenye quran!!!..je ni kweli Allah aliumba aeroplane!?..lini!?.wakati tunajua aeroplane zinaumbwa Japan,China na America!
Ukiamini hii midini yenu hii mnakuwa wajinga wa kutupwa
allah is already dead.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini dada zangu wakikristo tukiwazifia wenzetu roho Zenu zinaumia wakati ndio uhalisia wenyewe ukweli siku zote haukimbiwi
Sijaumia nimesema ni kweli
 
Miafrika haitaki kuoa/olewa nje ya dini zao wala familia zao hazisapoti kabisa kama tu huna hela na wewe ni Mmatumbi mwenzao.

Ukiwa na hela au a different race wanasahau Kila kitu.
 
Ni rahisi sana mwanaume wa kikristo kumpenda binti wa kiislam kuliko mwanaume wa kiislam kumpenda binti wa kikristo.

Pia hata ikitokea ya mwaume wa kiislam kumpenda binti wa kikrito. Dini ya kiislam inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa binti wa dini ya kikristo. Ila hairuhusu binti wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo ama dini nyingine tofaut na ya kiislam.

Wanawake wa kiislam wanavutia sana wanaume wa kikristo sababu ya usafi na mavazi yao ya heshima ya kujisitiri. Ndio maana wanapendwa sana na wanaume wa kikristo shida kuwaoa ndiyo dini ya kiislam inakataa binti yao asiolewe na dini ingine
Kwenye mavazi na usafi naweza kukubaliana na wewe, na ni kweli wengi huvutiwa nao ila linapokuja swala la maadili, mabinti wa kiislamu wengi wanafeli pakubwa. Sio kwamba uislamu una mafundisho mabaya, ila ni kwasababu umewatenga wanawake kwenye baadhi ya mambo.

Mfano swala la kufanywa kinyume na maumbile limechipukia sana kwenye nchi za kiarabu kuliko kwingine, ikumbukwe huko ndiko uislamu ulikoshamiri. Ikiwa hutaki kufikiria uarabuni (ni mbali sana na pengine huwezi kufika) basi fikiria kuhusu Zanzibar tu.

NB: Huo ujunga hufanywa pia na wakristo, ila nimeutumia hapo kwakua umekithiri sana upande ule.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kwa wanawake kumpenda mwanaume wa kislamu inatokea Mara chache lakini case ya Wanaume kupenda wanawake wa kislamu ni Mara nyingi sana inatokea na hii ni kwasababu wanawake wakislamu wanajua mahaba sana na wanajua kumtreat vizuri mwanaume na hiki kinavutia sana Wanaume
Unakosea sana unapo generalize hivyo, kuna watu humu tunakuona ni limbukeni wa mapenzi na kwamba unaamini hivyo ili kutafuta uhalali wa kinachoendelea kati yako na huyo binti wa kiislamu.

Linapokuja swala la mahaba, dini haiwezi kuwa kigezo kwakua wapo waliooa mabinti wa kiislamu na wengine tumewachezea sana tu ila hatukuwa/ hawaoni cha ajabu. Na kuna watu wamekolezwa na mabinti wa kikristo kiasi kwamba hawana cha kufanya.

For your case, nauona ulimbukeni wa mapenzi zaidi kuliko facts.
 
Tusitake kuishi kizungu uko sahihi lakini kwanini watu hutolea mifano kwa wazungu tu vipi jamii zingine tulizoiga tamaduni zao na kudharau mpaka lugha zetu za asili tukihusisha kila kilicho chao na imani?huu upofu unaletwa na nguvu gani?!
Waafrica (hasa africa ya mashariki na kusini) ni wajinga sana.
 
Mimi ilitokea tu demu mlokole akataka kunihamishia kwao mm Protestant tukaamua kuachana mana si vyema mwanaume ukubali kuburuzwa
 
Unaweza ukaongea hivyo ila wengine tupo kwenye field tunajionea ndio maana kuna siku nilimuuliza muislamu mmoja wakike jirani yangu akanipa majibu kwanini wao wanakuwa watiifu na mahaba kwa Wanaume kwa majibu aliyonipa unaona kabisa dini inamchango wake mkubwa tu
Daaah wewe mpaka upigwe tukio zito ndio utakaa level na kuamini kwamba swala la mapenzi na mahaba halihusiani na dini.

Wewe upo field ila kuna raia humu tumecheza sana na hao mabinti unaowasifia na mwisho wa siku hatukuona la maana ambalo litatufanya tuombe na kusifu kwenye kila comment. Mimi ni mkristo lakini utaniambia nini ambacho sijui kuhusu hao mabinti?

NB:Sifia uliye nae hakuna atakae kukataza lakini isiwe kama umemaliza mabinti wote wa kikristo na kuona kama hawafai, au uwe kama vile umetembea na wanawake wote wakiislamu ukaona wote wapo vizuri. Jisemee wewe mkuu, hakuna aliyekutuma kusemea wanaume wakikristo humu Jf, binafsi naaenjoy penzi langu kwa binti wa kikirsto kuliko hata nilivyowahi kwa hao waislamu.

Kwahiyo na mimi nianze kuwaponda mabinti wa kiislamu kwakua nimezama kwa mkristu?
 
Hata kama hujaomba ushauri mimi nakushaurii


TUMIA AKILI USITUMIE HISIA NENDA OA MTU WA DINI YAKO ACHA KUPUMBAZWA NA UPENDO MWANAMKE KUKUGEUKA NI SEKUNDE 1

HALAFU UNAKUBALI KUFARAKANA NA NDUGU ZAKO KWA SABABU YA MTU ULIEKUTANA NAE UKUBWANI UMEFIKIRIA SIKU HUYO MWANAMKE AKAKULETEA MATATIZO NDUGU ZAKO SI WATAKUSHUSHUA SANA

MWISHO

HIZI DINI NI DINI ZENYE IMANI TOFAUTI KAMWE HAZIWEZI KUKUBALIANA KIVYOVYOTE VILE KIUFUPI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI NA HAZITOKUJA KUENDANA KABISA KABISA KABISA KABISA

TAFUTA WA IMANI YAKO OA
UPENDO HUISHAA[emoji41][emoji41]
Ni kweli upendo huisha ila kwakua sasa bado haujaisha acha andelee, huko mbeleni ukija kuisha atatafuta mwingine.

Au unataka kumaanisha kwamba akio wa dini yake, ndio upendo hautakuja kuisha?

NB: Sio kwamba siiungi mkono hoja yako, ila jinsi ulivyoiwasilisha inazua maswali mengi. Huwezi kutumia kigezo cha "upendo huisha" kuonyesha ubaya wa mtu kuhusiana na mtu asiyekuwa wa dini yake. Kwakua hata kwa wale wa dini moja, bado upendo unaweza kuisha.
 
Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.
Uislam ni dini ya mwisho , Sasa ilikuwaje ikawa kabla ya uyahudi na ukristo? Hujui kuwa hujui. Ibrahim alikuwa myahudi na mitume wote kumtoa Mohamed walikuwa wayahudi by default.
 
Back
Top Bottom