Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Hapana nimemaliza na niko na biashara yangu ila bado nilikuwa naishi nyumbani
Ni jambo zuri kwa mwanamke kuishi nyumbani hata kama ana shughuli ya kumuingizia kipato mpaka pale atakapopata mume
 
Pole. Hata mimi yalinikuta
Ni kati ya falme mbili tofauti
Ufalme wa Saudia na ufalme wa Mungu
Elewa uislam ni ufame (Ufalme wa uajemi) Arab kingdom. Umeletwa na Muhammad

Na Kuna ufalme wa Mungu ...ambao umeletwa na Yesu Kristo

Hivi ni vita vya kiroho. Wewe angalia tu kabla hujatangaza kumuoa muislam shida hamna ni marafiki kabisa ila siku ukitaka kuoa huko ndio utaona hiyo vita yake
 
Mambo ya Dini yasikukoseshe mke mnaependana wengine tulikumbana na hizo pingamizi za familia lakini tukawaonyesha upendo wa kweli hauna dini na sasa tunaishi kwa furaha kwenye ndoa yetu 10 yrs now ndugu pande zote mbili wamekubaliana na hali halisi.
 
We ni Kafiri full stop
 
Ni kweli kabisa hata wanaume wa kiislamu wanajua mahaba,wanajua mwanamke anataka nini,yaani sijui wanaume wa kikristo mnakwama wapi,
 
Mambo ya Dini yasikukoseshe mke mnaependana wengine tulikumbana na hizo pingamizi za familia lakini tukawaonyesha upendo wa kweli hauna dini na sasa tunaishi kwa furaha kwenye ndoa yetu 10 yrs now ndugu pande zote mbili wamekubaliana na hali halisi.
Ilikuwaje mkuu ukafanikisha hili.

Nipo naye kwenye mahusiano lakini anapata wakati mgumu sana kuingia katika ndoa akihofia kutengwa..
 
Ndiyo ujue sasa kuna sehemu ulikosea.

Huwa nashangaa sana kuona binti wa Kiislamu ana mahusiano na kijana wa Kikristo, maana yake huyo binti hana DINI.
Linapokuja swala la Dini waislamu akili zenu Huwa zinaenda matakoni
 
Tafuta mtu wa dini yako uishi kwa amani...
 
Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.

Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Leo ikitokea nikatoa ushauri.. Strongly nitawashauri watu waoane wa imani moja.. I learned a hard way.. (Personal experience)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…