Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Sana mpendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mpendwa
Hapana nimemaliza na niko na biashara yangu ila bado nilikuwa naishi nyumbaniHiv hiko kipindi mpo kwenye mahusiano na huyo Jamaa ilikuwa ni kipindi mpo shule?
Kwani wewe uwezi kukubaliana nae kwenye hilo?
Mbona mkiwa mnahitaji kuogezewa damu,hamchagui ya mla nguruwe na asiyekula nguruwe?Wewe kafiri hebu muache Binti wa ki-islamu huyo, unataka kumlisha nguruwe ama??
Ni jambo zuri kwa mwanamke kuishi nyumbani hata kama ana shughuli ya kumuingizia kipato mpaka pale atakapopata mumeHapana nimemaliza na niko na biashara yangu ila bado nilikuwa naishi nyumbani
🤣🤣🤣 Duh! Mwamba mbona umempa dozi kubwa Sana mwenzakoMbona mkiwa mnahitaji kuogezewa damu,hamchagui ya mla nguruwe na asiyekula nguruwe?
Huna unachokijua weweUkitaka kuharibu jamii basi ruhusu mahusiano ya kimapenzi baina ya imani mbili tofauti.
Ukiona mtu ana uhusiano wa kimapenzi na mtu wa imani nyingine huyo hajitambui au anajiendekeza. Huu ukweli mchungu.
Kwani hivyo visomo vinaizidi Damu ya Yesu?Wasije wakanisomea visomo vya kichawi
Mambo ya Dini yasikukoseshe mke mnaependana wengine tulikumbana na hizo pingamizi za familia lakini tukawaonyesha upendo wa kweli hauna dini na sasa tunaishi kwa furaha kwenye ndoa yetu 10 yrs now ndugu pande zote mbili wamekubaliana na hali halisi.yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?
Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.
Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?
We ni Kafiri full stopyeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;

Ni kweli kabisa hata wanaume wa kiislamu wanajua mahaba,wanajua mwanamke anataka nini,yaani sijui wanaume wa kikristo mnakwama wapi,Dah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hiv kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi Wana mahaba ukilinganisha na wakristo wakristo wanakwama wapi"? kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye Hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu kuna jambo la kujifunza kwao
Ilikuwaje mkuu ukafanikisha hili.Mambo ya Dini yasikukoseshe mke mnaependana wengine tulikumbana na hizo pingamizi za familia lakini tukawaonyesha upendo wa kweli hauna dini na sasa tunaishi kwa furaha kwenye ndoa yetu 10 yrs now ndugu pande zote mbili wamekubaliana na hali halisi.
Mahabs gani unayazungumzia mama..wengine tujifunzeNi kweli kabisa hata wanaume wa kiislamu wanajua mahaba,wanajua mwanamke anataka nini,yaani sijui wanaume wa kikristo mnakwama wapi,
Linapokuja swala la Dini waislamu akili zenu Huwa zinaenda matakoniNdiyo ujue sasa kuna sehemu ulikosea.
Huwa nashangaa sana kuona binti wa Kiislamu ana mahusiano na kijana wa Kikristo, maana yake huyo binti hana DINI.
Leo ikitokea nikatoa ushauri.. Strongly nitawashauri watu waoane wa imani moja.. I learned a hard way.. (Personal experience)Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.
Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Kweli kabisa mkuu.Leo ikitokea nikatoa ushauri.. Strongly nitawashauri watu waoane wa imani moja.. I learned a hard way.. (Personal experience)