Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Share the story of that hard way. TafadhaliLeo ikitokea nikatoa ushauri.. Strongly nitawashauri watu waoane wa imani moja.. I learned a hard way.. (Personal experience)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Share the story of that hard way. TafadhaliLeo ikitokea nikatoa ushauri.. Strongly nitawashauri watu waoane wa imani moja.. I learned a hard way.. (Personal experience)
Hajasema Allah sio Mungu bali Allah sio Yehovah.Ulivopakazania hapo pakusema Allah sio Mungu sasa,
Mi mnyakyusa yesu namwita Kyala.......!!! napo utakataa utasema huyo Yesu na kyala ni watu wawili tofauti.
Yani wakristo na waislamu imefika point nawaonaga wapuuzi tu,.....wana haribu image ya Mungu, wameharibu na kuvuruga ovyo maandiko ya Mungu kwenye vitabu vyake, mfano wew mleta mada hapa......umejawa chuki uliolishwa na wachungaji zako....
Atakuja muislamu nae atashusha chuki juu ya ukristo aliolishwa na mashekhe wake na maustadh.
Kwa kifupi kuna wakati nawaona nyie wote mafala tu.
Mmejitoa kabisa katika ibada na misingi sahihi ya Mungu.
Utafiti uliofanyika mwaka 2013 unaonesha utofauti wa dini na mafundisho yake unachangia 30% ya chuki baina ya binadamu na binadamu duniani.
Ndo zinafata tofauti kama "Rangi za ngozi, Mali, Ukabila, etc
Usinambie hujawahi onja kitimoto wewe?Wewe kafiri hebu muache Binti wa ki-islamu huyo, unataka kumlisha nguruwe ama??
Sio wakristo wote wanakula kitimoto,, wasabato, JW hawali nguruwe.damu ya mkristo ina kitimoto... na vibudu, nyamafu
MI dini kwangu sio kipaumbele watoto wenyewe walikua watachagua wenyewe .Hapa ndipo vijana wengi tunapokwama.
Unajua fika wewe ni dini tofauti na mpenzi wako. Unajua fika ukifosi kuna sehem pande zote mbili kwa wazazi na ndugu mtatengwa. Tena hata mkifosi mkaoana kuna uwezekano watoto wakakosa direction na kujua wafate mafundisho ya dini gani maana wazazi mpo dini tofauti. Mmoja anasali msikitini mwngne kanisani. Wapo mtakaosema ikitokea tumezaa mtoto akikua ataamua afate dini ipi! Jamani mafunzo mazuri ya dini siku zote huanzia utotoni, hapo ndipo mtoto anapopata good narration to see the right and wrong.
Hali hii itazidi kuwatafuna kadri vizazi vyenu vitakavyoendelea na hakutakua na amani ndani. Trust me hakutakua na amani. Najua wapo watakaonipinga na kusema mapenzi hayaangalii dini. Ni kweli mapenzi hayaangalii dini, lakini kuishi na mtu kama mke na mume dini lazima ipewe kipaumbele chake. Tena ni kigezo muhimu sana hiko wala tusidanganyane.
Tusitake kuishi kizungu wakati bado tamaduni zetu hazijafika huko. Na sidhani kama tutafika huko maana kila dini ina mafundisho yake na tunarithishana vizazi na vizazi. Kuepuka usumbufu wowote ule na mpasuko ktk familia ni bora uwe na mahusiano na mtu wa dini yako. Itakuweka huru sana.
Ifike hatua tusiishi kwa kuendeshwa na hisia bali akili. I REST MY CASE.
Mbona mkiwa mnahitaji kuogezewa damu,hamchagui ya mla nguruwe na asiyekula nguruwe?
Mkuu ila kitimoto ni kitamu asee...[emoji1]Sio wakristo wote wanakula kitimoto,, wasabato, JW hawali nguruwe.
Unawezaje kumuamini Mungu bila yeye kukupa muongozo ? Alikuwa anamuamini vipi Mungu ?Ibrahimu hakuwa na dini.
Alimwamini Mungu tu.
Dini zilikuja baadae sana.
Kwani uislamu si umeletwa na Muhammed? Sasa Ibrahim alikuja kuishi baadae?
Shukrani.Linapokuja swala la Dini waislamu akili zenu Huwa zinaenda matakoni
Naona umemnukuu mjinga mwenzako. Kazi nzuri.Huna unachokijua weweView attachment 2208836
Sorry for now let it be personal at least for now..!Share the story of that hard way. Tafadhali
Okay, SirSorry for now let it be personal at least for now..!
True.Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.
Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
✅🙏🏿True.
Ukweli upi mkuu?Ukitaka kuharibu jamii basi ruhusu mahusiano ya kimapenzi baina ya imani mbili tofauti.
Ukiona mtu ana uhusiano wa kimapenzi na mtu wa imani nyingine huyo hajitambui au anajiendekeza. Huu ukweli mchungu.
Dah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hiv kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi Wana mahaba ukilinganisha na wakristo wakristo wanakwama wapi"? kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye Hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu kuna jambo la kujifunza kwao
Ukweli ni kinyume chake.Ukweli upi mkuu?
Achana na kitu sijui mahaba , ni mambo ya kujiendekeza tuu..Na sie wanawake wa Kikristo tuna mahaba mno na wanaume wa Kiislam sasa sijui tufanyaje???