Utofauti wa Yesu na Issa ni huo hapo.
View attachment 2209040
Wakristo ngoja niwaambie ukweli, na hapa si watukani, yaani nyiny hamsomi na wala hamfanyi utafiti kadhalika hamuhoji.
1. Mfano huo utofauti wa kwanza, nitakuuliza. Andiko leno limetaja mji, andiko letu limetaja sehemu husika kabisa chini ya mtende. Sasa mlivyo vilaza, mkashindwa kuulizwa huo mtende ulikuwa sehemu gani na ni mji gani. Ukisoma Tafsiri ya Ibn Kathir amethibitisha ni BaytLahm (Bethelehem/The house of meat). Ndiyo maana nikasema hivi hakuna anae weza kuthibitisha hili kwa hoja na ushahidi ya kuwa Yesu siyo Issa.
2. Nukta ya pili,ukianza kuchambua andiko lenu kuanzia kwa Matayo, tuanakuja kuona kabisa Matayo hakimdiriki Yesu, tunauliza habari za Yesu alizipata wapi toka kwa nani ? Qur'aan imeeleza wazi kwamba Allah alimtoa mja wake na akawawekea mfano wa mja wake. Hapa mmoja ni muongo, yaani Nyinyi Wakristo ndiyo waongo. Kwa sababu nyingi sana, kwanza Allah hamuachi ja wake ateseke na kudhalilika na ndiyo maana akamuokoa hapo.
3. Hapa pia kuna uongo mwingi. Marko hakuwahi kumuona Yesu habari za Yesu amezitoa wapi ? Na nani ameandika Injili ya Marko ? Hapa kuna hitilafu kubwa. Kisha tunakuja kwenye mstini yenyewe.
4. Hii nukta nyingine ambayo haithibitishi ya kuwa yesu ni mwana wa Mungu. Wai Yesu alisema yeye ni mwana wa mungu ? Lakini je katika Biblia yenu tamko "mwana" limetumika kwa yesu peke yake ? Kama siyo kwanini iwe mnashadadia kwa Yesu tu ?
Kingine ili mtoto awe mtoto baba akiwepo sharti lazima awepo mama, mama wa Issa mnataka kusema alipataje ujauzito wa Yesu ?
Kingine kilugha ukisema "Mwanafulani" si lazima kuwe na mafungamano ya uzao au damu. Mfano leo hii kuna "Mwanamichezo" siyo kwamba "Michezo imemzaa fulani" bali mtu huyo ni mtu wa michezo au "Mwana masumbwi" hii ina maana mtu husika ni mtu wa masumbwi. Leo sisi binadamu tunaitwa "Wana wa Adamu" haimaanishi tumezaliwa sote na Adamu. Kwahiyo tukiwapa miaka yote mpaka mnakufa hakuna yeyote atakaye thibitisha ya kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu, bali ni mtu wa Mungu kama ulivyo wewe yaani mtu anajishughulisha na mambo ya mungu katika ujumbe na mfano wake.
5. Hakuna sehemu yoyote ambayo Yesu alisema yeye ni Mungu, bali nyie ndiyo mnasema yeye ni Mungu, na hayo maandiko mliyoyaweka hayathibitishi ya kuwa Yesu alisema hayo. Hao wote kina John hawakumuona Yesu na waandishi wake hawajulikani. Vipi habari zao zifanyiwe kazi, tena hasa zinapingana na uhalisia ?
Nukta zilizo baki nakuja kuzimalizia...