Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Hata kama hujaomba ushauri mimi nakushaurii

TUMIA AKILI USITUMIE HISIA NENDA OA MTU WA DINI YAKO ACHA KUPUMBAZWA NA UPENDO MWANAMKE KUKUGEUKA NI SEKUNDE 1

HALAFU UNAKUBALI KUFARAKANA NA NDUGU ZAKO KWA SABABU YA MTU ULIEKUTANA NAE UKUBWANI UMEFIKIRIA SIKU HUYO MWANAMKE AKAKULETEA MATATIZO NDUGU ZAKO SI WATAKUSHUSHUA SANA

MWISHO

HIZI DINI NI DINI ZENYE IMANI TOFAUTI KAMWE HAZIWEZI KUKUBALIANA KIVYOVYOTE VILE KIUFUPI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI NA HAZITOKUJA KUENDANA KABISA KABISA KABISA KABISA

TAFUTA WA IMANI YAKO OA
UPENDO HUISHAA[emoji41][emoji41]
Mkitoka kwenye udini mtaenda kwenye ukabila..

Binadam wanajipenda sana.

Dunia ya leo kushikria udini ni moja ya matatizo ya uelewa na ulimbukeni.

Mtu uliye elimika huwezi kuzuia watoto wasioane kisa udini..
 
yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;

Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.

Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?

Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.

Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?
Nipo hapa hata mie nimechokaga .
Kipindi ya nyuma sijaelewaga ila now nimeelewa achana na huyo mwanadada ukweli ni mmoja tu .
Wao wanatumia majini mazuri wewe unatumia malaika .

Biblia na kurahan ni vitu tofauti .

Kiufupi dini ya mtu baina ya mtu inachangia sana watu kupoteza dira ya life.
Ila kwa sasa na shukuru sijaolewa na waislam.
Sio kwa ubaya ila nashukuru nipo kwenye dini yangu sana .
I love this idea yakuwa mkristo hadi na leo.

Kingine oa mkristo tena dhehebu lako maana siokila familia itakubali dhehebu la mtu .
 
Mkitoka kwenye udini mtaenda kwenye ukabila..

Binadam wanajipenda sana.

Dunia ya leo kushikria udini ni moja ya matatizo ya uelewa na ulimbukeni.

Mtu uliye elimika huwezi kuzuia watoto wasioane kisa udini..

Kama haupo kwenye dini yoyote tunakuchukulia kama una matatizo

Dini ni pamoja na imani Wanaweza vipi watu kushirikiana pasipo mapatano

Dini hizi ndizo zinafundisha vitu vyote

Upendo, utii, nidhamu na uchaji Mungu Sasa kama wewe haupo kwenye dini utajifunzia wapi matendo mazuri

Kama hujijali wewe basi jali kuhusu watoto wako watengenezee misingi mizuri imani
 
Mmoja Kati ya kitu ambacho siwezi kukifanya ni hicho labda mwanamke abadili kunifuata mimi lakini sio mimi kumfuata yeye
Wala sikuhitaji kujua kipi unaweza au huwezi kufanya sababu ni binafsi yako na hainihusu,,nilishauri tu ikiwa unahitaji kupata raha ya maisha uishi ndani ya kile kinachokufurahisha,
 
Utofauti wa Yesu na Issa ni huo hapo. View attachment 2209040
Wakristo ngoja niwaambie ukweli, na hapa si watukani, yaani nyiny hamsomi na wala hamfanyi utafiti kadhalika hamuhoji.

1. Mfano huo utofauti wa kwanza, nitakuuliza. Andiko leno limetaja mji, andiko letu limetaja sehemu husika kabisa chini ya mtende. Sasa mlivyo vilaza, mkashindwa kuulizwa huo mtende ulikuwa sehemu gani na ni mji gani. Ukisoma Tafsiri ya Ibn Kathir amethibitisha ni BaytLahm (Bethelehem/The house of meat). Ndiyo maana nikasema hivi hakuna anae weza kuthibitisha hili kwa hoja na ushahidi ya kuwa Yesu siyo Issa.

2. Nukta ya pili,ukianza kuchambua andiko lenu kuanzia kwa Matayo, tuanakuja kuona kabisa Matayo hakimdiriki Yesu, tunauliza habari za Yesu alizipata wapi toka kwa nani ? Qur'aan imeeleza wazi kwamba Allah alimtoa mja wake na akawawekea mfano wa mja wake. Hapa mmoja ni muongo, yaani Nyinyi Wakristo ndiyo waongo. Kwa sababu nyingi sana, kwanza Allah hamuachi ja wake ateseke na kudhalilika na ndiyo maana akamuokoa hapo.

3. Hapa pia kuna uongo mwingi. Marko hakuwahi kumuona Yesu habari za Yesu amezitoa wapi ? Na nani ameandika Injili ya Marko ? Hapa kuna hitilafu kubwa. Kisha tunakuja kwenye mstini yenyewe.

4. Hii nukta nyingine ambayo haithibitishi ya kuwa yesu ni mwana wa Mungu. Wai Yesu alisema yeye ni mwana wa mungu ? Lakini je katika Biblia yenu tamko "mwana" limetumika kwa yesu peke yake ? Kama siyo kwanini iwe mnashadadia kwa Yesu tu ?

Kingine ili mtoto awe mtoto baba akiwepo sharti lazima awepo mama, mama wa Issa mnataka kusema alipataje ujauzito wa Yesu ?

Kingine kilugha ukisema "Mwanafulani" si lazima kuwe na mafungamano ya uzao au damu. Mfano leo hii kuna "Mwanamichezo" siyo kwamba "Michezo imemzaa fulani" bali mtu huyo ni mtu wa michezo au "Mwana masumbwi" hii ina maana mtu husika ni mtu wa masumbwi. Leo sisi binadamu tunaitwa "Wana wa Adamu" haimaanishi tumezaliwa sote na Adamu. Kwahiyo tukiwapa miaka yote mpaka mnakufa hakuna yeyote atakaye thibitisha ya kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu, bali ni mtu wa Mungu kama ulivyo wewe yaani mtu anajishughulisha na mambo ya mungu katika ujumbe na mfano wake.

5. Hakuna sehemu yoyote ambayo Yesu alisema yeye ni Mungu, bali nyie ndiyo mnasema yeye ni Mungu, na hayo maandiko mliyoyaweka hayathibitishi ya kuwa Yesu alisema hayo. Hao wote kina John hawakumuona Yesu na waandishi wake hawajulikani. Vipi habari zao zifanyiwe kazi, tena hasa zinapingana na uhalisia ?

Nukta zilizo baki nakuja kuzimalizia...
 
Ujinga wa mwanaume ni kudhania kuwa mwanamke akikulilia ndo anakupenda au kukujali kumbe ana ku set uingie kwenye 18 zake halafu ndo utajua hujui.
😄😄😄😄
 
Kukusaidia tu..Babu yako hakuijua dini hiyo unayoipa kipaumbele
Unavyo kuwa mjinga, mimi najua mpaka babu yake babu yangu mimi alikuwa Muislamu. Kama nyinyi kwenu hamna elimu za nasabab zeni ni nyinyi, sisi tuko tofauti na nyinyi.

Kuna muda huwa napata uzito kujadiliana na mtu kama wewe sababu unaandika ujinga mpaka nacheka.
Pengine wazazi wako wangekulea kiganga ungekuwa mganga wa kienyeji unatibu watu.

Matendo mema kwako na kuwatendea mema wengine hiyo ndiyo dini kiongozi.

Hayo mengine ya mtume, manabibi n.k hadithi kibao, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.

Usisahau kulea wanao vyema
Wazazi wangu ni Waislamu, namshuukuru Allah kwa neema hii ya Uislamu.

Hakuna dini ya kutenda mema bila kutakasa nia kijana, wala hakuna dini ya hivyo, inaonekana hujui maana ya tamko DINI.

Mpuuzi ni wewe ambaye unashindwa kuonyesha upuuzi wa manabii na mitume.
 
Hata kama hujaomba ushauri mimi nakushaurii

TUMIA AKILI USITUMIE HISIA NENDA OA MTU WA DINI YAKO ACHA KUPUMBAZWA NA UPENDO MWANAMKE KUKUGEUKA NI SEKUNDE 1

HALAFU UNAKUBALI KUFARAKANA NA NDUGU ZAKO KWA SABABU YA MTU ULIEKUTANA NAE UKUBWANI UMEFIKIRIA SIKU HUYO MWANAMKE AKAKULETEA MATATIZO NDUGU ZAKO SI WATAKUSHUSHUA SANA

MWISHO

HIZI DINI NI DINI ZENYE IMANI TOFAUTI KAMWE HAZIWEZI KUKUBALIANA KIVYOVYOTE VILE KIUFUPI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI HAZIENDANI NA HAZITOKUJA KUENDANA KABISA KABISA KABISA KABISA

TAFUTA WA IMANI YAKO OA
UPENDO HUISHAA[emoji41][emoji41]
Tulisha achana muda sana na uyo ustadhat, kwa sasa nimejiweka kwa wadini yangu.
 
Weeehhh!! Sasa si ubadili dini tu kaka, Wote tunamwabudu Mwenyezi Mungu na kikubwa amani ya moyo

Kama unampenda badili wewe dini.

Dunia imejaa UMIMI sanaaa ...
Mnamwambia abadili dini kwasababu hiyo dini inayotakiwa kubadili na kufwata ipo upande wenu.

Laiti ingekuwa kubadili dini kwa jamaa kunahusu kuachana na Imani yenu basi MSINGEMSHAURI ABADILI.

#YNWA
 
Wakristo ngoja niwaambie ukweli, na hapa si watukani, yaani nyiny hamsomi na wala hamfanyi utafiti kadhalika hamuhoji.

1. Mfano huo utofauti wa kwanza, nitakuuliza. Andiko leno limetaja mji, andiko letu limetaja sehemu husika kabisa chini ya mtende. Sasa mlivyo vilaza, mkashindwa kuulizwa huo mtende ulikuwa sehemu gani na ni mji gani. Ukisoma Tafsiri ya Ibn Kathir amethibitisha ni BaytLahm (Bethelehem/The house of meat). Ndiyo maana nikasema hivi hakuna anae weza kuthibitisha hili kwa hoja na ushahidi ya kuwa Yesu siyo Issa.

2. Nukta ya pili,ukianza kuchambua andiko lenu kuanzia kwa Matayo, tuanakuja kuona kabisa Matayo hakimdiriki Yesu, tunauliza habari za Yesu alizipata wapi toka kwa nani ? Qur'aan imeeleza wazi kwamba Allah alimtoa mja wake na akawawekea mfano wa mja wake. Hapa mmoja ni muongo, yaani Nyinyi Wakristo ndiyo waongo. Kwa sababu nyingi sana, kwanza Allah hamuachi ja wake ateseke na kudhalilika na ndiyo maana akamuokoa hapo.

3. Hapa pia kuna uongo mwingi. Marko hakuwahi kumuona Yesu habari za Yesu amezitoa wapi ? Na nani ameandika Injili ya Marko ? Hapa kuna hitilafu kubwa. Kisha tunakuja kwenye mstini yenyewe.

4. Hii nukta nyingine ambayo haithibitishi ya kuwa yesu ni mwana wa Mungu. Wai Yesu alisema yeye ni mwana wa mungu ? Lakini je katika Biblia yenu tamko "mwana" limetumika kwa yesu peke yake ? Kama siyo kwanini iwe mnashadadia kwa Yesu tu ?

Kingine ili mtoto awe mtoto baba akiwepo sharti lazima awepo mama, mama wa Issa mnataka kusema alipataje ujauzito wa Yesu ?

Kingine kilugha ukisema "Mwanafulani" si lazima kuwe na mafungamano ya uzao au damu. Mfano leo hii kuna "Mwanamichezo" siyo kwamba "Michezo imemzaa fulani" bali mtu huyo ni mtu wa michezo au "Mwana masumbwi" hii ina maana mtu husika ni mtu wa masumbwi. Leo sisi binadamu tunaitwa "Wana wa Adamu" haimaanishi tumezaliwa sote na Adamu. Kwahiyo tukiwapa miaka yote mpaka mnakufa hakuna yeyote atakaye thibitisha ya kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu, bali ni mtu wa Mungu kama ulivyo wewe yaani mtu anajishughulisha na mambo ya mungu katika ujumbe na mfano wake.

5. Hakuna sehemu yoyote ambayo Yesu alisema yeye ni Mungu, bali nyie ndiyo mnasema yeye ni Mungu, na hayo maandiko mliyoyaweka hayathibitishi ya kuwa Yesu alisema hayo. Hao wote kina John hawakumuona Yesu na waandishi wake hawajulikani. Vipi habari zao zifanyiwe kazi, tena hasa zinapingana na uhalisia ?

Nukta zilizo baki nakuja kuzimalizia...
Wewe naona una matatizo binafsi, toka peji ya pili kazi yako ni kushambulia tu wakristo mkuu nini tatizo? hauwezi kuchangia kiwepesi bila kutukana kama ivi?

wewe ni gaidi au? kwanini unatumia maneno makali kuishambulia dini ya watu wengine pasipo ulazima wa wewe kufanya ivyo? Kuuchukia kwako ukristo kunabadilisha nini sasa katika hii dunia?

Stay on ur lane, hauna haja ya kutumia nguvu kubwa kama hivi kuwashambulia watu wadini tofauti na yako.
 
We jamaa ni mfia dini sanaa..

Hivi unajua ungezaliwa na Mchungaji basi muda huu ungekuwa madhabahuni unahubiri habari za wokovu?

Umekua muislamu kwasababu ulizaliwa na waislamu.

Nimecheka sana, sifa yenu kuu siyo uadilifu. Kwahiyo anayesema Yesu siyo Issa haushambulii sisi ? Au anae sema uongo aschwe ? Mbona hila ya kwapa kijana ?

Ulitakiwa uanze na hao wanaosambaza huo uongo, kama huwezi kaa kimya.

Umeona ulichokiandika ? Nikiandika mimi utasemaje ?

Hakuna sehemu nimetumia lugha kali wala maneno makali.

Mimi siyo gaidi sababu dini yangu haifundishi jambo hilo.

Siuchukii ukristo nawachukia watu waongo na wajinga wajinga kama nyinyi, watu wenye kupeleka mambo kwa hisia na ushabiki na wasio kuwa waadilifu.

Ushawahi kuwamea Wakristo wanao washambulia waislamu humu ndani tena dhulma na uadui ? Kama jibu hapana sasa rekebisha kiti chako kwanza kisha ukipambe.

Kingine mkikosolewa na kuambiwa ukweli mnaanza kutuzulia uongo kwamba tuna washambulia, hii halli nitaendelea nayo mpaka nitakapo kufa wachukie watakao chukia, na sipo hapa kwa ajili ya kumridhisha mtu.

Hili ninalo lifanya lwangu mimi ni jambo dogo wala situmii nguvu, mimi ninashusha tu yale ambayo yapo kinchwani mwangu.
 
We jamaa ni mfia dini sanaa..
Huku ndipo ilipo salama vijana. Naona hampendi kukosolewa.
Hivi unajua ungezaliwa na Mchungaji basi muda huu ungekuwa madhabahuni unahubiri habari za wokovu?
Hili huwezi kulithibitisha. Umejuaje na mimi muda huu ni muislamu ?
Umekua muislamu kwasababu ulizaliwa na waislamu.
Kisha nikausoma uislamu wangu na nina endelea kuusoma mpaka pale nitakapo kufa ndiyo itakuwa mwisho wa kuisoma Dini yangu.
 
Huku ndipo ilipo salama vijana. Naona hampendi kukosolewa.

Hili huwezi kulithibitisha. Umejuaje na mimi muda huu ni muislamu ?

Kisha nikausoma uislamu wangu na nina endelea kuusoma mpaka pale nitakapo kufa ndiyo itakuwa mwisho wa kuisoma Dini yangu.

Kwenye uchumi tunasema "Every human dip down is a mean"

I rest my case.

Kila mduscuss dini HUVUTIA pa kwake.

Hakuna anayesemaga "Yake sio sahihi" because we are mean.

#YNWA
 
Nimecheka sana, sifa yenu kuu siyo uadilifu. Kwahiyo anayesema Yesu siyo Issa haushambulii sisi ? Au anae sema uongo aschwe ? Mbona hila ya kwapa kijana ?

Ulitakiwa uanze na hao wanaosambaza huo uongo, kama huwezi kaa kimya.

Umeona ulichokiandika ? Nikiandika mimi utasemaje ?

Hakuna sehemu nimetumia lugha kali wala maneno makali.

Mimi siyo gaidi sababu dini yangu haifundishi jambo hilo.

Siuchukii ukristo nawachukia watu waongo na wajinga wajinga kama nyinyi, watu wenye kupeleka mambo kwa hisia na ushabiki na wasio kuwa waadilifu.

Ushawahi kuwamea Wakristo wanao washambulia waislamu humu ndani tena dhulma na uadui ? Kama jibu hapana sasa rekebisha kiti chako kwanza kisha ukipambe.

Kingine mkikosolewa na kuambiwa ukweli mnaanza kutuzulia uongo kwamba tuna washambulia, hii halli nitaendelea nayo mpaka nitakapo kufa wachukie watakao chukia, na sipo hapa kwa ajili ya kumridhisha mtu.

Hili ninalo lifanya lwangu mimi ni jambo dogo wala situmii nguvu, mimi ninashusha tu yale ambayo yapo kinchwani mwangu.
Unashusha wehu

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom