Nilitangaza ndoa ila mwisho wa siku akazalishwa na mume wa mtu. Anaomba turudiane wakati nina mke sasa

Huyo ananyota ya kuzaa na waume za watu,mtie mimba tena
 
Yaani wanaume tukipenda aisee huwa tupo tayar kutoa kila kitu , alaf umpende binti na yeye akupende , hata Mungu huwez msikiliza 😁😁😁😁 Mzee Adam alidhibitsha hili Kwa Eva , akatuuza mazima.... sema hii kutokea ni 20% , wengi tunaoana tuu sababu umri umeenda na unahtaji familia sasa , unaangalia tuu anayeeleweka eleweka ndaniii..
 
Kufurahia masaibu ya mtu ili aone umuhimu wako ni tabia za ajabu, mzee. Mwanaume unasonga na yako, mengine waachie wao na ulimwengu. You need to heal, brother.

Pia hiyo avi uliyoweka inasema mengi sana kukuhusu.
 
Sikutegemea wewe Kaka yake shetani uje kulialia vitu vidogo kama hivyo hapo mdogo wako Shetani angemkubalia alafu amfumue marinda basi
 
mkuu huyo alikuwa anakuchiti siku nyingi (kipindi cha uchumba)
na atakuwa alishtuka ulivyo tangaza ndoa....kwani alikuwa na mtu wake na hakuwa tyari kumuacha...
 
Hao wanawake ambao kila siku wakiachwa wanachoka alf wanarudi tena kubembeleza kurudiana mnawapatia wapi jamani
Mnatudharau sana wanawake
 
Anakimbia mume wa mtu kisha anataka mume wa mtu tena
 
Sio kwamba wanaume uwa hatuchakai, ila ni vigumu sana mwanaume aliyechakaa kumtafuta demu kuanza kuomba msamaha. Inatokea mara chache sana.
 
Ofisa mwanaume Hana Expiry date kamata hii,
 
Afu kwanini wanawake wenzenu wakiharibu mnawatetea? Acha wachakae
Huyo kaka yake shetani bado anampenda sana huyo binti basi tu roho inamuuma kuzalishwa na mume wa mtu,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…