kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
-
- #101
😂😂😄😂Akiwa na kikoti cha suti utasema utajiri huu hapa, gusa unase sasaPole mkuu.
Kipindi nasoma alikuja room mate mmoja mjanja mjanja sana, kiswahili kingi na yuko sharp mdomoni. Kaa za kuleta habari za kujiunga sijui na manini huko, eti upeleke mtu tu na huyo mtu alete mtu. Kadri chain inavyoongezeka ndio unavyozidi kuwa na ukwasi wa kutosha. Kaleta na tumifano twa kuwithdraw pesa ili atuingize kingi
Kuna jamaa wakataka kuingia kwenye mfumo, ila mie nilimchana live, awaokote haohao WAMANG'ATI.
“Ukiona unaitwa Kwenye Fursa basi jua wewe ndio Fursa yenyewe”Nakumbuka aliponipigia simu akanambia ananionea sana huruma kwa jinsi navoteseka na mapambano yangu ya ukwaju ili hali kuna fursa ambazo naweza fanikiwa kwa kutumia nguvu kidogo tu.
Sikupingi katika hili“Ukiona unaitwa Kwenye Fursa basi jua wewe ndio Fursa yenyewe”
Wapuuzi sana hawa jamaa. Kama ufahamu wa mambo ni mdogo lazima wakukamatishe, haswa uwe na tamaa za maisha mazuri😂😂😄😂Akiwa na kikoti cha suti utasema utajiri huu hapa, gusa unase sasa
Wanajua sana kushawishi jamaaWapuuzi sana hawa jamaa. Kama ufahamu wa mambo ni mdogo lazima wakukamatishe, haswa uwe na tamaa za maisha mazuri
Yani mpaka Leo najiuliza shida ni Nini watu wa huko? Kwanza Imani yao ni ndogo muda wote wanahisi wanatapeliwa..Umeonge
Umeongea kwa hisia sana mkuu na sikupingi katika hili Dar wajanja wajanja ni wengi sana si kwa vijana hadi wazee...
Kiufupi watu waaminifu wapo mikoani, Dar uaminifu ni nadra sana wengi wana tamaa hasa wazawa wa pale
Ni nature ya jiji lilivo uwongo uwongo mwingi ndio maana hata mpenzi wako akihamia dar ni vema umsahau tuYani mpaka Leo najiuliza shida ni Nini watu wa huko? Kwanza Imani yao ni ndogo muda wote wanahisi wanatapeliwa..
Ubaya Ubwela HiyoKwakweli nimekutana na hizi mbanga za uuzaji wa products hizo lkn sijawahi jiunga nawaambia ntarud nikitoka block na kufuta namba kabisa
Hela yangu kidg walio faidi ni mtu atakwambia naa shida nikopeshe ukimpa kamtimkia mitini
Saa hz nimekula buyu sitoi hata hamsini kauli ni moja sina Niko vibaya kiuchumi
wingine toka 2020 ananisumbua akila block anakuja na new number juz kanichek Tena nikamwambia ok....Ubaya Ubwela Hiyo
Wewe ni kauzu kweli kweliKuna m
wingine toka 2020 ananisumbua akila block anakuja na new number juz kanichek Tena nikamwambia ok....
Tukutane next week hapo mikocheni Mayfair akileta kiswahili cha hela namwambia tumia yako.,...... Unisimamie niwe chini yako nikitoka hapo kuniona labda paradiso.....
Hajui mm mtoto wa mjini eeh
Ni utapeli kama utapeli mwingine tu kama una kijana au ndugu yako huko mwambie akimbie upesiJamani hv hawa wanaojiita Global Alliance wanatoa mafunzo ya Afya,uchumi na ujasiriamali nao vip wapo salama? unakuta watoto wanatoka mikoa mbalimbali kuja kupata mafunzo hayo ya kimtandao kiingilia sh35,000 ada 600,000 ukishalipia ada tu unaambiwa wewe ndo msimamizi mkuu kuanzia leo hvo unatakiwa umtafute mwingine, ukimpata akilipia utapata mgao wako hapo..hawajamaa wanakodi sehem ya ukumbi wanageuza ndo chuo unakuta wanafunzi wapo kama wanachuo vile.Mliopata ujuzi wa hv vyuo vya uchochoroni mtujuze kabla wazazi hatujamalima mifugo yetu.
Yani ww ni mpambanaji unahitaji mzigo unaogopa ku risk hata 50elfu uzalishe,, yani wanaishia kulialia mara huna ndugu huku umtumie nitachukua kwake... Hata ukisema umsikilize maelekezo yake mzigo utatuma kwa huyo ndugu sim zako hatopokea na ndio imeisha hiyo🤣Ni nature ya jiji lilivo uwongo uwongo mwingi ndio maana hata mpenzi wako akihamia dar ni vema umsahau tu
😂😂😂😂ila dar🙌Yani ww ni mpambanaji unahitaji mzigo unaogopa ku risk hata 50elfu uzalishe,, yani wanaishia kulialia mara huna ndugu huku umtumie nitachukua kwake... Hata ukisema umsikilize maelekezo yake mzigo utatuma kwa huyo ndugu sim zako hatopokea na ndio imeisha hiyo🤣
Kuna hawa wa kujiita NeoLife, walimpiga mtoto wa sista angu 700k hanaga hamu kila akikumbuka analia peke yake 😂Kuna classmate wangu aliingia akaanza na kutamba mwisho wa mwaka ananunua gari, kilichomtokea hasahau maishani mwake.
Kuna wa hawa wanaojiita LBL nae naona kasi yake si nzuri.
ila visa vingi vya kutapeliwa vipo dar, Arusha labda ujambaziDar kila mtu kontawa ila Arusha ndo kiboko yao, unatapeliwa/ kuibiwa hadi akiba
asee hawezi rudia makosa tenaKuna hawa wa kujiita NeoLife, walimpiga mtoto wa sista angu 700k hanaga hamu kila akikumbuka analia peke yake 😂