Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Hakuna asitoa hela ila anachozungumzia mtoa mada ni mazingira ya uombwaji hakuna demu anayejielewa na mwenye heshima akakuomba siku ya Kwanza tu huyo ni Malaya jaribu kutofautisha manzi wa kawaida yule wa kuoa na Malaya
kuna demu mtaani nilipewa namba yake kumcheck nikamtongoza akaniambia atanipa jibu na kizinga juu cha vocha baada ya kutuma nikaanza kuitwa kipenzi ata siku za jibu kufika na vizinga vya 5,000 5,000 mwisho wa siku anataka simu ya mkopo nimpe kianzio cha 20k sikulaza damu wala kuleta uboya nilimvuta ghetto nikaipiga ndio nikampa 20k ,na nimsumbufu yaani amenigeuza wakala wa mitandao na muuza chips maana kila muda anataka vocha na nimpelekee chips au hela ya kula na uku anaishi kwao,yaani mademu wa sikuhizi wanajiuza ata 90% sema kuna wanaouza direct na indirect ,sema mi mwenyewe mhuni najua jinsi ya kuishi nao
 
Humu wanawake wana njaa mbaya na ni wabovu ndo maana wamekimbilia ID feki. Nikiona mtu ana date na mwanamke wa jf Namwona mshamba kabisa, yaani demu limeona lije humu kwasababu halina uzuri huo kwenye maisha halisi
Comment hii imenisukuma niview profile yako kumbe umejiunga humu juzijuzi ndio maana unakashifu watu usiowajuwa kilejaleja.
Hao unaowaona mitaani ndio haohao wapo humu, tena ukiona demu JF ujuwe yupo kwenye level za juu za understanding.

Acha huu upumbavu wa kukashifu watu usiowajuwa.
 
Ukipiga mahesabu ilikuwa ikafika shingapi? Alikuwa kasha pata sehemu ya geresha kwako kila siku lazima ale kiyepe
 
Hahahaaaaaa ushasema hujui pa kuwapata hao sio gold diggers.. you might as well die alone!
Hahahaha mimi mwanaume siwezi kosa kitumbua wewe, hata kama ningelikuwa domo zege
 
Labda enzi za miaka hiyo hawa wa siku hizi hakuna kitu, na hao wa siku zenu walikuwa wa kishua walishazeeka na hawa o tena humu
 
Humu wanawake wana njaa mbaya na ni wabovu ndo maana wamekimbilia ID feki. Nikiona mtu ana date na mwanamke wa jf Namwona mshamba kabisa, yaani demu limeona lije humu kwasababu halina uzuri huo kwenye maisha halisi
Ayseee
 
Walipieni si mnataka nyapu zao 😹
 
Walipieni si mnataka nyapu zao 😹
Ni nyie dada zao mliowa wa hakikisha kuwa miili yao ni kama mtaji. Ndio nyie mliowaharibu hawa wadogo zenu, na nyie likuwa mnafanya kwa wastani ila wao wameichukua to the next level
 
Mimi kauli yangu huwa ni moja "NIPE NIKUPE" tukishamalizana usiniombe hela. Ukininyima K yako na mimi usiniombe hela yangu Kila MTU abaki na chake .
 
Cha msingi tafuta demu utakayewezana nae ili usiumie.Wanawake wapo wengi sana
Ndicho ninacho fanya huku nikiendelea kuwa tumia hawa wanao weka price tags kwenye miili yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…