Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa hapo kwenye kiroho kinadunda ulivomuona kumbe inatukuta wengiHii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivoachwa na mpenz wangu wa kwanzaππ
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri,alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi Cha likizo
Rafik yangu alikuwa ni wale watoto kwenye zile familia maarufu mtaani tumuite Irene
Siku moja tukiwa tunapiga story akanambia ana ujumbe kutoka Kwa H tumpe Hilo jina
nikamwambia anipe akaingia ndani akaja na barua πakasema Itabid nirudishe majibu kunamtu apewe aende nayo maana hayupo Kwa Sasa
Nikaichukua nikasema hebu nikaifungue nikiwa home bhana nafungua nakutana na ujumbe maridadi kweli kweli
Barua ya mapenz iliyoshiba kweli kweli maneno matamu mwanzo Hadi mwisho nakupenda nying sana huku mwisho na dedication za kutosha nlisoma Ile barua huku natabasamu vibaya mno ππ
Kuhusu H
Ni mkaka flan mpole sana ni binamu wa rafikiyangu hivo nilikuwa namuona maranyingi akija kutembea Kwa shangaziyake huku mtaani kwetu,alikuwa anasoma shule moja ya kubwa ya seminary hapo mkoani babayake alisoma pamoja na mama yangu enzi hizo hivo namfahamu japo hatukuwa na ukaribu
Ile barua nilifurahia mno H alikuwa kijana smart sana,na hii ndo Ilikuwa mara ya kwanza kwangu kuvutiwa na mvulana nikamwambia akamwambie anipe muda nifikirie nitampa majibu wakat huo H alikuwa likizo Dar Kwa nduguzake wengine so barua alimpa rafikiyake wakiwa shule Ili inifikie Kwa urahisi na sikuwa natumia simu kipindi hiko
Bas bhana feeling Kwa H zikaanza japo sikuwa naelewa Kwamba mapenzi ndio yalivo nikawa naona ni busara kuisoma Ile barua Kila mara Kwa kuirudia rudiaπππ
Baada ya wiki 2 nikaenda kwao na Irene Ile nafika sebuleni namkuta H kajaa tele nikaona aibu sana akanisalimia nikakaa kwenye kochi kiroho kinadunda sana nikaona hapa siwezi nikaaga nikaondoka muda huo H akanikata jicho la wizi wizi π
Wazazi wao hawakuwepo mda huo mara Irene akaniita niende kuongea na H
Akatoka nje nikamfuata tukakaa sehemu nyuma ya nyumba ya shangazi yake
Akauliza kuhusu jibu lake nikaanza kujizungusha zungusha nikakataa H alilalamika sana nikaona machozi yanaanza kumtoka π
Akabembeleza sana mwisho nikakubali wakat huo tumekaa mbali kidogo hivo hatukushikana hata mkono H akaaga akaondoka
Safari ya mapenzi ikaanza
Kimbele mbele kikazidi ππ
Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka
Inaendelea sio ndefu
Hivi Mimi na uongo wapi na wapi shoga angu..??πUmeanza lini kusema uongoπ
Nilisoma Toka asubuhi ilivyowekwaMara hii ushamaliza kusoma?π
Aaaah madam na unaonekana we pis kali sana.Niko single mwaka wa Tatu hata mpenz Sinaπ€£π€£π€£π€£
Kuna vijanawenzio wako single hawana hata mmoja π€£π€£π€£π€£Aaaah madam na unaonekana we pis kali sana.
Maana majina ya Aaliyah wee si mchuzi.
Kama Mpaji Mungu anazingua tuje tutie maguu tuoe mathnaa huko ama thulatha.
Nina wake wawili nataka niongeze wa tatu.
Wewe uwe shemeji hata sitakiiusiniite huku nitazimia hapa sasahivi nimejiloweka kwenye maji acha tu huyu mrembo sijui anakanini..
Sheikh we endelea mshindi atasaini chetiAaaah madam na unaonekana we pis kali sana.
Maana majina ya Aaliyah wee si mchuzi.
Kama Mpaji Mungu anazingua tuje tutie maguu tuoe mathnaa huko ama thulatha.
Nina wake wawili nataka niongeze wa tatu.
Iliwekwa saa2 Mimi ndio mtu wa kwanza kuisomaAnasoma kama anafukua π€£π€£
Wewe uwe shemeji hata sitakii
Nipo upande wakoSheikh we endelea mshindi atasaini cheti
Tena mimi sina baya hata ukiwa mshangazi baridi tuh!Kuna vijanawenzio wako single hawana hata mmoja π€£π€£π€£π€£
Kwenye hii story mama ndiye main character hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila African mama wamepinda jamani yaani hajataka kujichosha kukuuliza kajua tu foolish age inamsumbua huyu
Typing........ deleteNipo upande wako