Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
H na Irene wazima?πππ
Naijua vizuri sana ile guest ni pale pale Bariadi town π€£π€£π€£Hahahaha!!Unaijua hiyo Guest ya NZAGAMBA YA MIGATO?π
Nipandishe hivyo vyeo mkuu
Hii ukiweka nistueAmeoa mwayaπππ
Nikitulia nitawaletea story mpenzwangu alivokoswa ngumi na x wangu ππ
Ngono ndio taaluma tunayoijua wabongo!Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanzaππ
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo.
Rafik yangu alikuwa ni wale watoto kwenye zile familia maarufu mtaani tumuite Irene
Siku moja tukiwa tunapiga story akanambia ana ujumbe kutoka Kwa H tumpe Hilo jina
nikamwambia anipe akaingia ndani akaja na barua πakasema Itabid nirudishe majibu kunamtu apewe aende nayo maana hayupo Kwa Sasa
Nikaichukua nikasema hebu nikaifungue nikiwa home bhana nafungua nakutana na ujumbe maridadi kweli kweli.
Barua ya mapenz iliyoshiba kweli kweli maneno matamu mwanzo Hadi mwisho nakupenda nying sana huku mwisho na dedication za kutosha nlisoma Ile barua huku natabasamu vibaya mno ππ
Kuhusu H
Ni mkaka fulani mpole sana ni binamu wa rafikiyangu hivo nilikuwa namuona maranyingi akija kutembea kwa shangazi yake huku mtaani kwetu.
Alikuwa anasoma shule moja ya kubwa ya seminary hapo mkoani babayake alisoma pamoja na mama yangu enzi hizo hivo namfahamu japo hatukuwa na ukaribu
Ile barua nilifurahia mno H alikuwa kijana smart sana,na hii ndo Ilikuwa mara ya kwanza kwangu kuvutiwa na mvulana nikamwambia akamwambie anipe muda nifikirie nitampa majibu wakat huo H alikuwa likizo Dar Kwa nduguzake wengine so barua alimpa rafikiyake wakiwa shule Ili inifikie Kwa urahisi na sikuwa natumia simu kipindi hiko.
Bas bhana feeling Kwa H zikaanza japo sikuwa naelewa Kwamba mapenzi ndio yalivo nikawa naona ni busara kuisoma Ile barua Kila mara Kwa kuirudia rudiaπππ
Baada ya wiki 2 nikaenda kwao na Irene Ile nafika sebuleni namkuta H kajaa tele nikaona aibu sana akanisalimia nikakaa kwenye kochi kiroho kinadunda sana nikaona hapa siwezi nikaaga nikaondoka muda huo H akanikata jicho la wizi wizi π
Wazazi wao hawakuwepo mda huo mara Irene akaniita niende kuongea na H
Akatoka nje nikamfuata tukakaa sehemu nyuma ya nyumba ya shangazi yake
Akauliza kuhusu jibu lake nikaanza kujizungusha zungusha nikakataa H alilalamika sana nikaona machozi yanaanza kumtoka π
Akabembeleza sana mwisho nikakubali wakat huo tumekaa mbali kidogo hivo hatukushikana hata mkono H akaaga akaondoka.
Safari ya mapenzi ikaanza
Kimbele mbele kikazidi ππ
Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka
Inaendelea sio ndefu
Hahaha!!sawa mkuuUnayumba sana Kijana fanya kazi kwa uaminifu ili upande vyeo πππ
Fanya hivyo Kijana wangu πππHahaha!!sawa mkuu
Tegemea mambo mema na mazuri mkuu sitakuangusha
Wacha niweke dalili nyemelezi sehemu na eneo husika