PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Bado unaogopa wanaume wa JF? 😅😅Chekechea mkuu 😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unaogopa wanaume wa JF? 😅😅Chekechea mkuu 😄😄
Ulisema unaogopa kuliwa na kuachwa au kudhalilishwa na wanaume wa humu na chupi yako kama ushahidi ndo maana hutaki kufunguka humu!Kwann niwaogope Sasa
Hamna bhana kunawatu wanajiheshimu sana humu but na mm binadamu ujue nikimpenda mtu kwann niogope Sasa😄Ulisema unaogopa kuliwa na kuachwa au kudhalilishwa na wanaume wa humu na chupi yako kama ushahidi ndo maana hutaki kufunguka humu!
Acha woga dada
MSIMU wa sikukuu ni mzur sanaa sanaaaHii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo.
Rafik yangu alikuwa ni wale watoto kwenye zile familia maarufu mtaani tumuite Irene
Siku moja tukiwa tunapiga story akanambia ana ujumbe kutoka Kwa H tumpe Hilo jina
nikamwambia anipe akaingia ndani akaja na barua 😃akasema Itabid nirudishe majibu kunamtu apewe aende nayo maana hayupo Kwa Sasa
Nikaichukua nikasema hebu nikaifungue nikiwa home bhana nafungua nakutana na ujumbe maridadi kweli kweli.
Barua ya mapenz iliyoshiba kweli kweli maneno matamu mwanzo Hadi mwisho nakupenda nying sana huku mwisho na dedication za kutosha nlisoma Ile barua huku natabasamu vibaya mno 😃😃
Kuhusu H
Ni mkaka fulani mpole sana ni binamu wa rafikiyangu hivo nilikuwa namuona maranyingi akija kutembea kwa shangazi yake huku mtaani kwetu.
Alikuwa anasoma shule moja ya kubwa ya seminary hapo mkoani babayake alisoma pamoja na mama yangu enzi hizo hivo namfahamu japo hatukuwa na ukaribu
Ile barua nilifurahia mno H alikuwa kijana smart sana,na hii ndo Ilikuwa mara ya kwanza kwangu kuvutiwa na mvulana nikamwambia akamwambie anipe muda nifikirie nitampa majibu wakat huo H alikuwa likizo Dar Kwa nduguzake wengine so barua alimpa rafikiyake wakiwa shule Ili inifikie Kwa urahisi na sikuwa natumia simu kipindi hiko.
Bas bhana feeling Kwa H zikaanza japo sikuwa naelewa Kwamba mapenzi ndio yalivo nikawa naona ni busara kuisoma Ile barua Kila mara Kwa kuirudia rudia😃😃😃
Baada ya wiki 2 nikaenda kwao na Irene Ile nafika sebuleni namkuta H kajaa tele nikaona aibu sana akanisalimia nikakaa kwenye kochi kiroho kinadunda sana nikaona hapa siwezi nikaaga nikaondoka muda huo H akanikata jicho la wizi wizi 😃
Wazazi wao hawakuwepo mda huo mara Irene akaniita niende kuongea na H
Akatoka nje nikamfuata tukakaa sehemu nyuma ya nyumba ya shangazi yake
Akauliza kuhusu jibu lake nikaanza kujizungusha zungusha nikakataa H alilalamika sana nikaona machozi yanaanza kumtoka 😭
Akabembeleza sana mwisho nikakubali wakat huo tumekaa mbali kidogo hivo hatukushikana hata mkono H akaaga akaondoka.
Safari ya mapenzi ikaanza
Kimbele mbele kikazidi 😃😃
Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka
Inaendelea sio ndefu
Kwann usimpende sasa huyo mtu unaishia kuwa single tuHamna bhana kunawatu wanajiheshimu sana humu but na mm binadamu ujue nikimpenda mtu kwann niogope Sasa😄
Nimefurahi kusoma kisa na mkasa cha mdogo wangu kipenzi kabisa. 🤣makaveli10 kaka naona unapita unafurahi tu😂
Hivi inakuwaje kuwaje mpaka uteseke kisa mapenzi!! 🤔😂😂😂Mm mwenyew hiki kisa kinanichekeshaga sana kwakweli nilijua kuteseka haki 😂😂
Nakujua wewe, huwezi kujishikilia🤣Ulikuwa utoto na ugeni lkn had now yakinifika naliaga 😂😂
Mmh unawajua wanyonge wwAah wapi mnyonge sana tu
Ntasema baadae..😊☺️😂😂😂Kwann