Mbona unanifokea 😅🤣🤣🤣Muone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unanifokea 😅🤣🤣🤣Muone
Mlipo kutana na Dr H mlirudiana?. Baada ya kujua kama ilikuwa umbeya wa mwanaume wa mtaani?.Umeisha Ilikuwa story fupi tu hatukuwa na muda mrefu tuliachana hivo
Ok pole sana maisha yana mapito mengi sana. Nilicho jifunza maishani mpenzi wa utotoni,shuleni hatokuwa mwenza wa maishani.Hapana hatukurudiana Tena had now Kila mtu anamaisha yake sijui hata anaishi wapi ila ameshaoa nilipewa taarifa na dadayake
Ni kweli kabisa Huwa ni kupunguzia maji mwilini Kwa vilio hamna chochoteOk pole sana maisha yana mapito mengi sana. Nilicho jifunza maishani mpenzi wa utotoni,shuleni hatokuwa mwenza wa maishani.
Yeah ni kweli alaf siku zote inakuwa true love 😀😀😀First love Huwa inatuumiza sana ujue yaani unahis kama umepigwa konzi kwenye jipu😂😂
na tuliojichanganya kuvuka nao, ah cha moto tulikipataOk pole sana maisha yana mapito mengi sana. Nilicho jifunza maishani mpenzi wa utotoni,shuleni hatokuwa mwenza wa maishani.
Pole sister maswali yangu ya logarithms hadi leo bado tuHii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo.
Rafik yangu alikuwa ni wale watoto kwenye zile familia maarufu mtaani tumuite Irene
Siku moja tukiwa tunapiga story akanambia ana ujumbe kutoka Kwa H tumpe Hilo jina
nikamwambia anipe akaingia ndani akaja na barua 😃akasema Itabid nirudishe majibu kunamtu apewe aende nayo maana hayupo Kwa Sasa
Nikaichukua nikasema hebu nikaifungue nikiwa home bhana nafungua nakutana na ujumbe maridadi kweli kweli.
Barua ya mapenz iliyoshiba kweli kweli maneno matamu mwanzo Hadi mwisho nakupenda nying sana huku mwisho na dedication za kutosha nlisoma Ile barua huku natabasamu vibaya mno 😃😃
Kuhusu H
Ni mkaka fulani mpole sana ni binamu wa rafikiyangu hivo nilikuwa namuona maranyingi akija kutembea kwa shangazi yake huku mtaani kwetu.
Alikuwa anasoma shule moja ya kubwa ya seminary hapo mkoani babayake alisoma pamoja na mama yangu enzi hizo hivo namfahamu japo hatukuwa na ukaribu
Ile barua nilifurahia mno H alikuwa kijana smart sana,na hii ndo Ilikuwa mara ya kwanza kwangu kuvutiwa na mvulana nikamwambia akamwambie anipe muda nifikirie nitampa majibu wakat huo H alikuwa likizo Dar Kwa nduguzake wengine so barua alimpa rafikiyake wakiwa shule Ili inifikie Kwa urahisi na sikuwa natumia simu kipindi hiko.
Bas bhana feeling Kwa H zikaanza japo sikuwa naelewa Kwamba mapenzi ndio yalivo nikawa naona ni busara kuisoma Ile barua Kila mara Kwa kuirudia rudia😃😃😃
Baada ya wiki 2 nikaenda kwao na Irene Ile nafika sebuleni namkuta H kajaa tele nikaona aibu sana akanisalimia nikakaa kwenye kochi kiroho kinadunda sana nikaona hapa siwezi nikaaga nikaondoka muda huo H akanikata jicho la wizi wizi 😃
Wazazi wao hawakuwepo mda huo mara Irene akaniita niende kuongea na H
Akatoka nje nikamfuata tukakaa sehemu nyuma ya nyumba ya shangazi yake
Akauliza kuhusu jibu lake nikaanza kujizungusha zungusha nikakataa H alilalamika sana nikaona machozi yanaanza kumtoka ðŸ˜
Akabembeleza sana mwisho nikakubali wakat huo tumekaa mbali kidogo hivo hatukushikana hata mkono H akaaga akaondoka.
Safari ya mapenzi ikaanza
Kimbele mbele kikazidi 😃😃
Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka
Inaendelea sio ndefu
Sasa log tu zinakushinda, tukikupa calculus utaweza kweli? Au complex numbers and imaginary numbers, hiyo ni pure mathematics ya advance.Magumu bhana nimeshindwa 😃
Zinasaidia mainjinia kujenga madaraja na mabarabara.Sasa zitanisaidiiaje wakat wa kusonga ugali hizo imaginatory sijui nn numbers jamn 😄
We kweli kilaza 🤣🤣Magumu bhana nimeshindwa 😃
Mie vidudu namkumbuka mtu mmoja tu, nilimpenda yule mtoto kwa siku ya kwanza naanza pale Mabatini chekechea Ilala Shauri Moyo. Nakumbuka kabisa alivaa gauni jeupe kama la harusi kudadeki zake.Sababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yote
Hahaha ikaishiaje!Mie vidudu namkumbuka mtu mmoja tu, nilimpenda yule mtoto kwa siku ya kwanza naanza pale Mabatini chekechea Ilala Shauri Moyo. Nakumbuka kabisa alivaa gauni jeupe kama la harusi kudadeki zake.