Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Chai..
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ badilisha hiyo title, maana wewe ndo ulimuacha kikatili. Fanya ukatili woote ila siyo kuchomoa battery dakika za mwisho mtu ameshabook room, kichwa kikubwa hakifanyi kazi. kichwa kidogo tu ndo kina fanya kazi.
 
Nilisafiri toka Dodoma kuelekea Kanda ya ziwa nikapanda bus moja limejaa hao jamaa, aiseeee ni wanakula ndani ya bus sijawahi ona
Ndio maana nasema hili kabila liwe maalum tu hakuna namna maana ustaarabu hakuna kwa waliowengi wao๐Ÿฅธ๐Ÿฅธ
 
Umevuka mto?๐Ÿ˜‚
 
Siwataki radhi ngโ€™ooo๐Ÿ˜๐Ÿ˜wawaambie ndugu zao huko kijijini wawe na ustaarabu wakiwa ndani ya bus
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila Jamaa zangu wanakuwaga miyeyusho sana. Nilikuwa naonaga noma unaenda na Mshua sehemu anakicharaza Kisuma na hataki umjibu kiswahili halafu sehemu ya Kijanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ