Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Baada ya kunibembeleza nikamwambia tutaongea vizuri siku nyingine sikuwa na muda mrefu wa kukaa nae pale akaondoka wakat huo tushakuwa wakubwa na nilishakuwa na moyo mgumu sikuwaga na huruma kabisa na H

Akaja siku ya pili nikaongea nae safi nikaanza kumuita na bby akawa anafurahi mno nilikuwa ukimya ungepungua kias nilikuwa nampigisha story anacheka anafurahi sana

Nikagundua alikuwa na msichana wakaachana lakini hakuwaha mtu wa mambo mengi kama vijana wengine ilichukua wiki 2 kumjaza kuwa Bado nampenda Sana akajaa mawasiliano non stop tukapanga mizagamuano na H
Nakumbuka Ilikuwa mida ya saa moja jion tukatoka

Tukaenda sehemu akaja na zawadi kitu ambacho sikukosea ni kupendeza kias attention Ilikuwa kwangu mda wote kama saa 3 tukabook room tukaingia ndani nikakaa kwenye kochi nilishapanga kufanya shambuliz la kushtukiza

Tangu kuachana had sikueile sikuwa na hisia nae kabisa akinibusu nilikuwa naona ni kama ananifinya alinifata pale kochi
Mimi;naomba tuongee
H;niambie bby alikuwa anapenda kuniita jinalangu Kwa kifupi mara nying
Mimi;naomba kuondoka Niende nyumbani
H;kwaniin kipenz unaumwa
Mimi;nikamwambia nimegundua Sina hisia na wewe kabisa kama zamani

ndugu zangu hapo ni mkavu kuliko anavonijua
Alikaa kimya kama dakika 5 akaanza kulalmika msamaha ukageuka akaanza kuomba yeye muda huo nilikuwa simuangalii usoni maana ningemhurumia
Akaniuliza kweli huna hisia na Mimi nikamjibu ni kweli Sina

alafu ninasauti flan hiv nikimwambia mtu simtaki hawez kuamini 😂😂😂
Muda huo Bado nipo kwenye kochi

Yeye alikaa kitandani akasimama nami nikasimama nikawahi kufungua mlango 😀😀😀
Ukweli sikuwa na hisia nae Tena ni miaka mingi tangu tuachane nilishamove on

Sikutaka kujua ilikuwaje ila alikuwa ananipigia sikupokea
Akaanza kutuma sms za kulalamika nikamwambia ndio imeisha hiyo kipind hiko nilikuwa na mtu ananipenda balaa sikuwaza kuhusu H Tena
Story ndio imeisha hapo 😍😍😍
Chai..
 
😁😁😁 badilisha hiyo title, maana wewe ndo ulimuacha kikatili. Fanya ukatili woote ila siyo kuchomoa battery dakika za mwisho mtu ameshabook room, kichwa kikubwa hakifanyi kazi. kichwa kidogo tu ndo kina fanya kazi.
 
Nilisafiri toka Dodoma kuelekea Kanda ya ziwa nikapanda bus moja limejaa hao jamaa, aiseeee ni wanakula ndani ya bus sijawahi ona
Ndio maana nasema hili kabila liwe maalum tu hakuna namna maana ustaarabu hakuna kwa waliowengi wao🥸🥸
 
Hili kabila bhana😁😁😁😁juzi niko kwenye bus kwenda sehemu fulani,nimekaa na msukuma seat moja ghafla wakaanza kuongea kilugha na msukuma mwenzie aliyeseat ya 50 😳😳😳wakati huo tuko seat 20 huko aise Nilitamani nimzabue makonzi phaller yule maana alishanikwaza na mziki wake tangu tunaanza safari😌.

Hili kabila inabidi liwe kundi maalum shenzi kabisa
Umevuka mto?😂
 
Siwataki radhi ng’ooo😁😁wawaambie ndugu zao huko kijijini wawe na ustaarabu wakiwa ndani ya bus
😂😂😂
Ila Jamaa zangu wanakuwaga miyeyusho sana. Nilikuwa naonaga noma unaenda na Mshua sehemu anakicharaza Kisuma na hataki umjibu kiswahili halafu sehemu ya Kijanja
 
Back
Top Bottom