Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Uliniuzi sana nikaona nije zangu sumbawanga......
Irene ndie alinipa story kuhusu wew na yule jamaa. Irene n cuzo alikuw ananipenda muno ๐Ÿ˜„
 
Uliniuzi sana nikaona nije zangu sumbawanga......
Irene ndie alinipa story kuhusu wew na yule jamaa. Irene n cuzo alikuw ananipenda muno ๐Ÿ˜„
Unarudi lini sumbawangu nami nikufuate ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mambo ya first love. Hivi hiki kitu hutokea mara moja tu maishani au!! Sijawahi kuwa tena na feelings kama zile kwa mwanaume!!! Yaani yule mwanaume unamfikiria then unajikuta tu unatabasamu. RIP my love.
Polesana
Yani zile feeling zinakuwaga za ajabu sana kiukweli
 
Hakuna namna Rafiki yangu umia tu..ila hao ndugu zako hakika wanasafari iliyondefu
Hahaha! Natania tu ila naishia kuzisoma tabia zao mtandaoni na kufurahi, natamani siku nikutane nao.
 
Asante mleta mada kwa ku share nasi, umekuwa uzi wenye tafakari fulani hivi nzuri!
Pamoja na maumivu makali ya hisia ipo nafasi ya kupona japo huacha jeraha ama kovu lakini kuna kupona.
 
Mambo ya first love. Hivi hiki kitu hutokea mara moja tu maishani au!! Sijawahi kuwa tena na feelings kama zile kwa mwanaume!!! Yaani yule mwanaume unamfikiria then unajikuta tu unatabasamu. RIP my love.
Nimesikitika aisee! Ajaliwe kupumzika kwa amani.
 
Mm Nilikuwa na utoto sana zamani sahiz sifanyi huo ujinga
Sema H alikuwa mtoto wa kishua, wakina sisi mpaka uingie ushaulizwa sana si umekubali lakin? ili mtu asije akalipa akaishia kupata hug tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Dah umenikumbusha mambo ya barua aisee,kuna kabint kalikuwa kananiandikia barua halafu sikuwahi kukajibu hata siku moja,ilikuwa primary,halafu sina kumbu kumbu zile barua mwisho wa siku siku niliziweka wapi

Naomba tu anisamehe huko alipo

Bahati kutoka shule ya mbula karibia na dochi lushoto,ndio mimi am so sorry kpnz
 
Samahani me nilitegemea nakutana tu na point ya kuachwa kikatili nashanga mara H sijakaa sawa -Itaendelea mimi huyo ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ’จ
 
Nani sasa ulimtunuku b,*kr baada ya H kususa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ