Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

S umesema

Si umesema tunaosahau n walev na wavuta bange πŸ˜† πŸ˜‚. Seme story tamu inarudisha hisia za nyuma sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiachwa mshukuru Mungu hakuna alieachka akatesekaa
 
Utoto raha sana,fanyeni kazi vijana. Kwa hyo kila mtu aelezee mahusiano yake ya mapenzi akiwa kindergaten hapa jukwaani? Nyuzi zitatosha?? Moderator fanyeni kazi zenu,
 
Aaaah madam na unaonekana we pis kali sana.
Maana majina ya Aaliyah wee si mchuzi.
Kama Mpaji Mungu anazingua tuje tutie maguu tuoe mathnaa huko ama thulatha.
Nina wake wawili nataka niongeze wa tatu.
Aisee! Una vurugu sana!

Kwa nini usitulie kama mimi ndugu yako? 😁😁😁😁
 
Aisee! Una vurugu sana!

Kwa nini usitulie kama mimi ndugu yako? 😁😁😁😁
Hawa wanawake hautakiwi kutulia.
Ukitulia wanakuona we mnyonge wanaanza manjegeka😁😁😁.
 
Hawa wanawake hautakiwi kutulia.
Ukitulia wanakuona we mnyonge wanaanza manjegeka😁😁😁.
Hahaha!

Na haukutaka mambo mengi umempa mkeka ausome moja kwa moja! "Nina wake 2 wewe utakuwa wa 3"

Teh! Teh! Teh!

Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe! 😁😁😁
 
Hahaha!

Na haukutaka mambo mengi umempa mkeka ausome moja kwa moja! "Nina wake 2 wewe utakuwa wa 3"

Teh! Teh! Teh!

Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe! 😁😁😁
Acha kabisa kaka.😁😁😁
Ushakua mkubwa kuliko mimi au useme uzeeke tena.
Halafu leo nitakutafuta shekhe saa 2 usiku.
 
Acha kabisa kaka.😁😁😁
Ushakua mkubwa kuliko mimi au useme uzeeke tena.
Halafu leo nitakutafuta shekhe saa 2 usiku.
Hahaha! Kasi yako ni ya mnyama duma!

Hamna tatizo ndugu yangu.

Bila shaka napangwa kuwa mshenga!
 
Nimenikuu maneno yako ya zamani.
comment uliyouliza kabla hujaandika ule upuuzi ilitosha kabisa kujua ni nini uandike kama akili yako inajua kuchakata vizuri.

Anyways πŸ₯‚
 
Utoto raha sana,fanyeni kazi vijana. Kwa hyo kila mtu aelezee mahusiano yake ya mapenzi akiwa kindergaten hapa jukwaani? Nyuzi zitatosha?? Moderator fanyeni kazi zenu,
Umesoma jina la jukwaa lakini ndugu yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚walio serious wapo jukwaa la siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…