Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

S umesema
Kunatukio nilisahau

Baada ya Ile siku ya tukio na kuachwa nilikutana na yule kaka nilosimama nae pale kwenye sherehe nae alisikia hiz tetesi nilimlaum nikajua yeye ndio kaongea uongo akasema nitampata alisema sababu story mtaani Ilikuwa hiyo tu mm kuliwa na kuachwa na H ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Baada ya masaa hiv nikaja kuitwa na Irene yule kijana alimpata aliesambaza hizo habari za uongo alafu yule kijana aliekuwa ananiaproach alikuwa Mkubwa kuliko sisi hivo Ilikuwa rahis kumpata nikamkuta kamshika shati kisawa sawa

Nilivofika akasema aniambie alichosema akakubali yeye ndio alisema baada ya kuona tumesimama pale akawaambia watu hiyo taarifa lakin hakuwa na uhakika kama tulitoka pamoja

Jamaa akamzimua makofi mawili matatu mda huo vijana wa pale mtaani walikuwa kma 7 hivi wakamzomea ikawa nafuu yangu lakini nilishapoteza tayari

Baada ya miak kupita nikawa na mahusiano mengine ila nilimpenda sana H baada muda hasia zikaanza kupungua nikawa najihis nakuwa sawa hata kumfikiria kukapungua namba yake ya Simu ikaanza kufutika

Nikawa namuona H ila sikufanikiwa kuongea nae chochote akaenda kusomea udaktari nikaambiwa,nami nikaenda chuo
Sikumoja nipo likizo nikapigiwa simu namba ngeni

Nikapokea
Halloo nikauliza nani akasema ni H
Mmh nikamuuliza kama yukoo poa akasema yupo sawa akaomba kuniona siku ya pili nikamwambia kama nitakuwa na nafasi nitamjulisha nikapotezea japo nilikuwa na shauku ya kumsikia anachotaka kuniambia

Siku ya pili sikumtafuta siku ya Tatu akanipigia akasema yupo mtaani kwetu nikamwambia sawa nikaenda kumuona akasema amenikumbuka
Akasema usiku ule alipigiwa simu na watu akaambiwa kuwa nipo na yule kijana pia kuwa ni mwanaume wangu na nilitoka nae usiku ule roho ilimuuma sana na kibaya zaidi akaambiwa kuwa nililala na yule kijana alafu yule kijana ni wale mabishoo wa pale mtaani na ni Mkubwa kuliko sisi Hilo lilimuumiza Zaidi
Lakin Bado ananipenda tuwe pamoja ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nikamuuliza sababu ya kutonisikiliza akasema ni hasira na maumivu alihis kile kitu ni Cha kweli ila anajutia

Si umesema tunaosahau n walev na wavuta bange ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚. Seme story tamu inarudisha hisia za nyuma sana
 
Hili kabila bhana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]juzi niko kwenye bus kwenda sehemu fulani,nimekaa na msukuma seat moja ghafla wakaanza kuongea kilugha na msukuma mwenzie aliyeseat ya 50 [emoji15][emoji15][emoji15]wakati huo tuko seat 20 huko aise Nilitamani nimzabue makonzi phaller yule maana alishanikwaza na mziki wake tangu tunaanza safari[emoji18].

Hili kabila inabidi liwe kundi maalum shenzi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo.

Rafik yangu alikuwa ni wale watoto kwenye zile familia maarufu mtaani tumuite Irene
Siku moja tukiwa tunapiga story akanambia ana ujumbe kutoka Kwa H tumpe Hilo jina
nikamwambia anipe akaingia ndani akaja na barua ๐Ÿ˜ƒakasema Itabid nirudishe majibu kunamtu apewe aende nayo maana hayupo Kwa Sasa

Nikaichukua nikasema hebu nikaifungue nikiwa home bhana nafungua nakutana na ujumbe maridadi kweli kweli.

Barua ya mapenz iliyoshiba kweli kweli maneno matamu mwanzo Hadi mwisho nakupenda nying sana huku mwisho na dedication za kutosha nlisoma Ile barua huku natabasamu vibaya mno ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kuhusu H
Ni mkaka fulani mpole sana ni binamu wa rafikiyangu hivo nilikuwa namuona maranyingi akija kutembea kwa shangazi yake huku mtaani kwetu.

Alikuwa anasoma shule moja ya kubwa ya seminary hapo mkoani babayake alisoma pamoja na mama yangu enzi hizo hivo namfahamu japo hatukuwa na ukaribu

Ile barua nilifurahia mno H alikuwa kijana smart sana,na hii ndo Ilikuwa mara ya kwanza kwangu kuvutiwa na mvulana nikamwambia akamwambie anipe muda nifikirie nitampa majibu wakat huo H alikuwa likizo Dar Kwa nduguzake wengine so barua alimpa rafikiyake wakiwa shule Ili inifikie Kwa urahisi na sikuwa natumia simu kipindi hiko.

Bas bhana feeling Kwa H zikaanza japo sikuwa naelewa Kwamba mapenzi ndio yalivo nikawa naona ni busara kuisoma Ile barua Kila mara Kwa kuirudia rudia๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Baada ya wiki 2 nikaenda kwao na Irene Ile nafika sebuleni namkuta H kajaa tele nikaona aibu sana akanisalimia nikakaa kwenye kochi kiroho kinadunda sana nikaona hapa siwezi nikaaga nikaondoka muda huo H akanikata jicho la wizi wizi ๐Ÿ˜ƒ

Wazazi wao hawakuwepo mda huo mara Irene akaniita niende kuongea na H

Akatoka nje nikamfuata tukakaa sehemu nyuma ya nyumba ya shangazi yake

Akauliza kuhusu jibu lake nikaanza kujizungusha zungusha nikakataa H alilalamika sana nikaona machozi yanaanza kumtoka ๐Ÿ˜ญ

Akabembeleza sana mwisho nikakubali wakat huo tumekaa mbali kidogo hivo hatukushikana hata mkono H akaaga akaondoka.

Safari ya mapenzi ikaanza
Kimbele mbele kikazidi ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka

Inaendelea sio ndefu
Ukiachwa mshukuru Mungu hakuna alieachka akatesekaa
 
Utoto raha sana,fanyeni kazi vijana. Kwa hyo kila mtu aelezee mahusiano yake ya mapenzi akiwa kindergaten hapa jukwaani? Nyuzi zitatosha?? Moderator fanyeni kazi zenu,
 
Hivi madam umeshaolewa!??
๐Ÿšถโ€โžก๏ธ๐Ÿšถโ€โžก๏ธ๐Ÿšถโ€โžก๏ธ๐Ÿšถโ€โžก๏ธ

Mimi napita tu bhana!
 
Aaaah madam na unaonekana we pis kali sana.
Maana majina ya Aaliyah wee si mchuzi.
Kama Mpaji Mungu anazingua tuje tutie maguu tuoe mathnaa huko ama thulatha.
Nina wake wawili nataka niongeze wa tatu.
Aisee! Una vurugu sana!

Kwa nini usitulie kama mimi ndugu yako? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Aisee! Una vurugu sana!

Kwa nini usitulie kama mimi ndugu yako? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hawa wanawake hautakiwi kutulia.
Ukitulia wanakuona we mnyonge wanaanza manjegeka๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
 
Hawa wanawake hautakiwi kutulia.
Ukitulia wanakuona we mnyonge wanaanza manjegeka๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
Hahaha!

Na haukutaka mambo mengi umempa mkeka ausome moja kwa moja! "Nina wake 2 wewe utakuwa wa 3"

Teh! Teh! Teh!

Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hahaha!

Na haukutaka mambo mengi umempa mkeka ausome moja kwa moja! "Nina wake 2 wewe utakuwa wa 3"

Teh! Teh! Teh!

Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Acha kabisa kaka.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ushakua mkubwa kuliko mimi au useme uzeeke tena.
Halafu leo nitakutafuta shekhe saa 2 usiku.
 
Acha kabisa kaka.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ushakua mkubwa kuliko mimi au useme uzeeke tena.
Halafu leo nitakutafuta shekhe saa 2 usiku.
Hahaha! Kasi yako ni ya mnyama duma!

Hamna tatizo ndugu yangu.

Bila shaka napangwa kuwa mshenga!
 
Nimenikuu maneno yako ya zamani.
comment uliyouliza kabla hujaandika ule upuuzi ilitosha kabisa kujua ni nini uandike kama akili yako inajua kuchakata vizuri.

Anyways ๐Ÿฅ‚
 
Utoto raha sana,fanyeni kazi vijana. Kwa hyo kila mtu aelezee mahusiano yake ya mapenzi akiwa kindergaten hapa jukwaani? Nyuzi zitatosha?? Moderator fanyeni kazi zenu,
Umesoma jina la jukwaa lakini ndugu yangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚walio serious wapo jukwaa la siasa
 
Back
Top Bottom