Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Ndugu hukunelewa vizuri, mm ni mtu ninayechukia sana umbea sikuchukia maswali bali ni umbea hata mke wangu ananifahamu mambo yangu na familia yangu hayamhusu mtu mwingine kila mtu afe na yakeKuna tetesi juu yako na mjomba ni mama kaamua kupeleka tombola Hata JF ina wasiwasi...
Kwa nini uchukie kuulizwa juu kuoa..Au unataka kuolewa kweli?
Mshua anaijua dunia.alikuwa mstaarabu huyo mshua
Nimeshasema kwangu si safi, lakini kwa mtu mwingine si kwangu, sasa kwa nini niweke standards zangu kwa mtu mwingine?Kwa hio wewe kwako kupigwa muwa mlango wa kuzimu kwako safi?
Kwa hio mzee wangu soon unaenda kupigwa muwa kwenye mlango wa kuzimu? Maana sio kwa kusupport hukoNimeshasema kwangu si safi, lakini kwa mtu mwingine si kwangu, sasa kwa nini niweke standards zangu kwa mtu mwingine?
Wewe ambaye hupendi kupigwa muwa mlango wa kuzimu mtu anayependa habari hizo akikulazimisha utakubali? Utafurahi?
Kama hutakubali au kufurahi kulazimishwa wewe anachotaka mtu mwingine, basi na wewe usilazimishe unachotaka wewe akifuate mtu mwingine.
Mtu akitaka kupigwa pipe hiyo ni starehe yake, wewe inakuhusu nini?
Hapana,Kwa hio mzee wangu soon unaenda kupigwa muwa kwenye mlango wa kuzimu? Maana sio kwa kusupport huko
Yaani watu wa hivyo nawachikia vibaya mno.Ety zaa Kuna kuolewa π secretarybird
Kilichonifurahisha jamaa anaambiwa zaa Kuna kuolewa sijui mjomba alimaanisha nini?Yaani watu wa hivyo nawachikia vibaya mno.
Anasema mjomba alikuwa anamwangalia Kwa jicho la husda.Mjomba anauliza kama umeona utakasirika eti ni faragha. Sio dalili za ushoga kweli hizo?
Sasa kuna faida gani kuwa sehemu ya ndugu na jamaa kama huwezi hata kushauriwa kwenye masuala common tu. Si umweleze sababu za wewe kutofanya hivyo?
Mjomba anayaona maisha ya kuona na kuolewa kama bembea yaani usipooa utaolewa hakuna kuwa neutral, haijalishi wewe ni mwanaumeau mwanamke.Kilichonifurahisha jamaa anaambiwa zaa Kuna kuolewa sijui mjomba alimaanisha nini?
Kubbke mjomba anazingua kinoma πMjomba anayaona maisha ya kuona na kuolewa kama bembea yaani usipooa utaolewa hakuna kuwa neutral, haijalishi wewe ni mwanaumeau mwanamke.
Hii falsafa ya mjomba ni noma.
Mungu atuepushe na wajomba wa type hii.Kubbke mjomba anazingua kinoma π
Acha jeuri kaoe, wewe miaka 30+ bado unalandalanda tyuu.!! Weka jiko chap πΉNdugu yangu sisi wanaume tunapenda heshima sasa mjomba wako anapokuuliza maswali lakini akizungumza kama kukukosea heshima lazima uchukie
Mwanaume miaka 30 kumuuliza ameoa kwanza ni kumkosea heshima kwasababu tayari ni mtu mzima sasa kumuuliza hivyo nikanakwamba yeye hajitambui au ni zoba
Kawaida mjomba ni mtu wa heshima sasa akishakuwa na maswali ya hovyo sidhani kama ataheshimika tenaNiko na mjomba, yeye sio mjinga mpk afikie kukwambia hivyo kuna red flags kaziona toka kwako..!!
Cha kufanya mpe mjomba barua ya uchumba apeleke uone km atakufatilia.!!
Vipi lakini mjomba ako kaoa? π
Nimempenda tayari siwezi kuishi bila yeye πΉ
Kwani sijaoa, mchumba wangu wa kwanza wao ndio waliomfitini mpaka tukaachana nilipopata huyu wa pili sikutaka tena kushirikisha mtu kila mtu afe na maisha yakeAcha jeuri kaoe, wewe miaka 30+ bado unalandalanda tyuu.!! Weka jiko chap πΉ
Huyu mjomba na baadhi ya ndugu wengine ni wahuni, mchumba wangu wa kwanza tuliachana kwasababu yao walimsengenya yule dada kwamba ni dini nyingine mpaka tukaachana, nilipopata huyu sikutaka tena mtu anisogelee baada ya kuweka mpaka wanaanza kunifuata tena wahuni hawaWacha na Mimi nitoe maoni yangu kwa mtazamo wangu kuna shida mahali kwanza mtu akishaanza habari za kuheshimu sana faragha Mara bla blaa hapo kuna walakini, there must be something suspicious you are trying to hide kwa kigezo cha faragha, halafu uncle kukuuliza umeoa kuna shida gani mpaka useme maswali ya umbeaumbea!?
Binafsi what I see is what uncle is see otherwise uje na solid evidence mwamba uncle kuna vitu binafsi anakuchimba Ila kwa hayo maelezo uliyotoa kuna kitu unatuficha jombaaa!