Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

Kuna tetesi juu yako na mjomba ni mama kaamua kupeleka tombola Hata JF ina wasiwasi...
Kwa nini uchukie kuulizwa juu kuoa..Au unataka kuolewa kweli?
 
Sikutukani ila wewe ni shoga na mjomba amelijua Hilo, pia huna mke wala mtoto unatuzuga tu hapa
 
Kuna tetesi juu yako na mjomba ni mama kaamua kupeleka tombola Hata JF ina wasiwasi...
Kwa nini uchukie kuulizwa juu kuoa..Au unataka kuolewa kweli?
Ndugu hukunelewa vizuri, mm ni mtu ninayechukia sana umbea sikuchukia maswali bali ni umbea hata mke wangu ananifahamu mambo yangu na familia yangu hayamhusu mtu mwingine kila mtu afe na yake
 
Kwa hio wewe kwako kupigwa muwa mlango wa kuzimu kwako safi?
Nimeshasema kwangu si safi, lakini kwa mtu mwingine si kwangu, sasa kwa nini niweke standards zangu kwa mtu mwingine?

Wewe ambaye hupendi kupigwa muwa mlango wa kuzimu mtu anayependa habari hizo akikulazimisha utakubali? Utafurahi?

Kama hutakubali au kufurahi kulazimishwa wewe anachotaka mtu mwingine, basi na wewe usilazimishe unachotaka wewe akifuate mtu mwingine.

Mtu akitaka kupigwa pipe hiyo ni starehe yake, wewe inakuhusu nini?
 
Kwa hio mzee wangu soon unaenda kupigwa muwa kwenye mlango wa kuzimu? Maana sio kwa kusupport huko
 
Kwa hio mzee wangu soon unaenda kupigwa muwa kwenye mlango wa kuzimu? Maana sio kwa kusupport huko
Hapana,

Tatizo lako, kama Watanzania wengi kama wewe, huwezi kujadili hoja kidhahania bila ya kuleta ad hominem logical fallacy ya kumzungumzia mtu badala ya hoja.

Hujaelewa hoja yangu, ama huna utamaduni wa kujadili hoja unafanya vita ya kupinga upande fulani tu.

Nimekueleza kanuni ya kila mtu kujiamulia mambo yake mwenyewe kwenye faragha ya maisha yake.

Kimsingi, ukiuingilia uhuru wa mtu mwanamme anayetaka kuwa msenge, umnyanyapae, umlazimishe asiwe hivyo anavyotaka yeye, umeruhusu na wewe uvunjiwe haki yako ya kujiamulia uwe rijali, ukiwa sehemu iliyo na wasenge wengi waweze kukulazimisha na wewe uwe msenge.

Ila nina shaka kama unaweza kuelewa hoja, maana unaonekana kujikita kujadili watu, kufanya ad hominem attacks.

Na si lazima kuelewana, kama huwezi kujadili hoja unaishia kujadili watu, kwa ad hominem fallacy, si lazima kujadiliana.
 
Mjomba anauliza kama umeona utakasirika eti ni faragha. Sio dalili za ushoga kweli hizo?

Sasa kuna faida gani kuwa sehemu ya ndugu na jamaa kama huwezi hata kushauriwa kwenye masuala common tu. Si umweleze sababu za wewe kutofanya hivyo?
Anasema mjomba alikuwa anamwangalia Kwa jicho la husda.
Rudia kusomea tena utamwelewa
 
Niko na mjomba, yeye sio mjinga mpk afikie kukwambia hivyo kuna red flags kaziona toka kwako..!!

Cha kufanya mpe mjomba barua ya uchumba apeleke uone km atakufatilia.!!

Vipi lakini mjomba ako kaoa? 😜
Nimempenda tayari siwezi kuishi bila yeye 😹
 
Ndugu yangu sisi wanaume tunapenda heshima sasa mjomba wako anapokuuliza maswali lakini akizungumza kama kukukosea heshima lazima uchukie
Mwanaume miaka 30 kumuuliza ameoa kwanza ni kumkosea heshima kwasababu tayari ni mtu mzima sasa kumuuliza hivyo nikanakwamba yeye hajitambui au ni zoba
Acha jeuri kaoe, wewe miaka 30+ bado unalandalanda tyuu.!! Weka jiko chap 😹
 
Niko na mjomba, yeye sio mjinga mpk afikie kukwambia hivyo kuna red flags kaziona toka kwako..!!

Cha kufanya mpe mjomba barua ya uchumba apeleke uone km atakufatilia.!!

Vipi lakini mjomba ako kaoa? 😜
Nimempenda tayari siwezi kuishi bila yeye 😹
Kawaida mjomba ni mtu wa heshima sasa akishakuwa na maswali ya hovyo sidhani kama ataheshimika tena
Yeye ameacha mke nyumbani yupo mjini
 
Wacha na Mimi nitoe maoni yangu kwa mtazamo wangu kuna shida mahali kwanza mtu akishaanza habari za kuheshimu sana faragha Mara bla blaa hapo kuna walakini, there must be something suspicious you are trying to hide kwa kigezo cha faragha, halafu uncle kukuuliza umeoa kuna shida gani mpaka useme maswali ya umbeaumbea!?
Binafsi what I see is what uncle is see otherwise uje na solid evidence mwamba uncle kuna vitu binafsi anakuchimba Ila kwa hayo maelezo uliyotoa kuna kitu unatuficha jombaaa!
 
Acha jeuri kaoe, wewe miaka 30+ bado unalandalanda tyuu.!! Weka jiko chap 😹
Kwani sijaoa, mchumba wangu wa kwanza wao ndio waliomfitini mpaka tukaachana nilipopata huyu wa pili sikutaka tena kushirikisha mtu kila mtu afe na maisha yake
 
Wacha na Mimi nitoe maoni yangu kwa mtazamo wangu kuna shida mahali kwanza mtu akishaanza habari za kuheshimu sana faragha Mara bla blaa hapo kuna walakini, there must be something suspicious you are trying to hide kwa kigezo cha faragha, halafu uncle kukuuliza umeoa kuna shida gani mpaka useme maswali ya umbeaumbea!?
Binafsi what I see is what uncle is see otherwise uje na solid evidence mwamba uncle kuna vitu binafsi anakuchimba Ila kwa hayo maelezo uliyotoa kuna kitu unatuficha jombaaa!
Huyu mjomba na baadhi ya ndugu wengine ni wahuni, mchumba wangu wa kwanza tuliachana kwasababu yao walimsengenya yule dada kwamba ni dini nyingine mpaka tukaachana, nilipopata huyu sikutaka tena mtu anisogelee baada ya kuweka mpaka wanaanza kunifuata tena wahuni hawa
 
Back
Top Bottom