Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

Wewe Mkuu unakula magumu Hume yaliyokwisha kosa solo tangu hapo zamani ndio Maana hata wakikupata wewe wanaona dhahabu
 
Ulizuga ausio😄
mkuu ungeenda tu ndo zali zenyew izo
 
Acha uoga wewe.
 
Mkuu unaweza kujiamini, na ukavimba kumnunulia vitu vingi tu..

Ila amini katika cases nyingi ni ngumu ku stay kwa muda mrefu na wanawake wa aina hio, inakuwa ngumu ku keep up na lifestyle yao...
 
Wewe Mkuu unakula magumu Hume yaliyokwisha kosa solo tangu hapo zamani ndio Maana hata wakikupata wewe wanaona dhahabu
Cha msingi na muhimu siwezi ku date na mwanamke mwenye njaa kwasababu hana atakacho ni challenge kwenye maisha. Sio una date na mwanamke ukimtoa out anajipiga picha hadi vyakula na vinywaji.
Mwanaume ni wa thamani sana, usichezee thamani yako
 
mimi alinambia hii namba itakusumbua tu, akaomba hela ya nauli nikampa 20k akacheka sana akasema nilikwambia

basi nikajiondoa mdg mdg, miezi 3 mbele nikahamia jirani na alipo panga

kumbe level ya kawaida ila mbwembwe za nyau na kombe la washindi sio mabingwa nikaanza ichapa
 
Hapa unakuwa wewe Mwanaume ndio fala
Msichana , mrembo, bado mbichi, ni tajiri/ana uwezo kukuzidi... aisee uwe na bahati..

Uwe handsome, una nguvu kifua na nguvu kama za simba... itafika muda tu mtashindwa ku keep up.. huu ni ukweli mchungu[most cases]

Wanawake ni hypergamy, kibalojia, hio ni nature yao...
Wanapenda ku partner/marry na mtu mwenye higher economicstatus ...

Its your turn now, ikiisha zamu yako atakuja mwingine ambae ana uchumi kuliko wewe na atakuwa nae..

Lakini nikiri mahusiano yapo more complex ni zaidi ya financial transactions...
 
Sahihi
 
Cha msingi na muhimu siwezi ku date na mwanamke mwenye njaa kwasababu hana atakacho ni challenge kwenye maisha. Sio una date na mwanamke ukimtoa out anajipiga picha hadi vyakula na vinywaji.
Mwanaume ni wa thamani sana, usichezee thamani yako
Hilo Muhimu pia
 
Natafuta Ajira tia neno hapo..
 
Gari huna, Umekosa hata treni la sportybet mkuu? Mi ndiyo sinaga bahati na hao
 
Kwahiyo kuwa na gari ndo kuwa na level kubwa ya kimaisha? Pia umejuaje kama hilo gari ni lake?
 
Hujiamini mkuu. Tongoza tu mwanaume inatakiwa kujiamin muombe na lift mwambie akushushe kwenye kituo cha daladala za mbagala
 
Ulikutana na mtu kama Lamomy siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…