#COVID19 Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

#COVID19 Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

Ni hivi mkae mkijua kuwa pia ni biashara hii ya covid imekuja haraka kwa sababu hili janga limewagusa wao moja kwa moja.Malaria hawahangaiki nayo kwasababu ugonjwa huu uko zaidi nchi za kimasikini ebola,kipindupindu na Ebola vikiwepo.
Acha upotoshaji
Sasa mkuu napotosha nini unajua malaria America na ulaya wameangaika nazo kwa mda gani? China juzi tu ndio wamefanikiwa kuitokomeza malaria wazungu wameanza kuexperience magonjwa muda mrefu sana tena makubwa wamepambana sana tena kwa muda mrefu sana ila hili la Corona limekuwa mapema kuliko kawaida na hawa wadudu wanabadilkika badilika je chanjo inaweza pambana na variant hizi mpya? Ujue kuna wave mpya delta
 
Kusema kweli hakuna kumpima mtu kabla ya kumchanja. Mimi sikupimwa sijui kama Kuna mtu alipimwa kabla ya kipatiwa hii chanjo
Hapo ndo shida ilipo Sasa kama mtu tayari alikuwa ameambukizwa halafu akachanjwa hivi mwili uta weza Tena kuzalisha Kinga???
Halafu utazalisha Kinga ya Nini wakati tayari umesha athiriwa?
 
A
Sasa mkuu napotosha nini unajua malaria America na ulaya wameangaika nazo kwa mda gani? China juzi tu ndio wamefanikiwa kuitokomeza malaria wazungu wameanza kuexperience magonjwa muda mrefu sana tena makubwa wamepambana sana tena kwa muda mrefu sana ila hili la Corona limekuwa mapema kuliko kawaida na hawa wadudu wanabadilkika badilika je chanjo inaweza pambana na variant hizi mpya? Ujue kuna wave mpya delta
Acha Delta Kuna LAMDA huko mkuu
 
Shida inakuja hizo chanjo za surua, ndui, nk tulichoma mara moja tu. Mliochanjwa wala msiwe na shaka tunasubiri majibu kutoka kwenu baada ya miaka miwili au mitatu zen na cc ndiyo tutaamua tuchanje ama la, ni kama ndui tu na chanjo zingine kuna baadhi ya watu walizikataa lkn matokeo yake yakawa mazuri basi jamii ikazikubali, so wala msihofu na kutuona wajinga cz wasi wasi ndo akili mkuu.
OK MKUU,,kila la heri.,ila kumbuka.
There is 1000 ways to die,not only vaccine..
Kifo kipo tu MKUU,,
 
Mimi ni miongoni watu waliochanjwa chanjo ya COVID-19 Johnson And Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja kuzinduliwa na Rais

Nilijisikia yafuatayo:
1. Nilichanjwa kwenye bega la kushoto, sehemu niliyochanjwa nijisikia maumivu ya sindano kwa siku kama 3 hivi

2. Baada ya kuchanjwa nilijisikia kama kichwa kizito kidogo kwa siku kama 3 hivi

3. Nilijisikia kutaka kupumzika nyumbani nisifanye kazi kwa siku kama tatu hivi

4. Sikutamani kufanya tendo la ndoa kwa siku kama 5 hivi

5. Baada ya wiki moja kupita nikarudi kwenye hali yangu ya kawaida na zaidi

6. Nilijisikia hamu zaidi ya kutaka kujamiiana

7. Nguvu za kiume ziliongezeka mara tatu zaidi

8. Nilitoa mbegu nyingi kuliko kawaida wakati wa kujamiiana

9. Nikajisikia mtu mwenye nguvu kuliko kabla ya chanjo.

10. Tangu nichanjwe sijawahi kupata kikohozi, mafua

11. Kama Koo likinikereketa ilikuwa lazima nimung'unye lozenges au nimeze antibiotics ili nipone lakini juzi koo linikereketa likatulia lenyewe bila kutumia dawa yoyote.

12. Umakini (concentration yangu na busara zangu nahisi kama vimeongezeka kuliko awali.

Nadhani chanjo Iko pia, unaweza kuja kujutia kama chanjo zitaisha bila wewe kuchanjwa. Maana mwenye foleni tulikuwa na watu raia wa Ulaya na Asia wanahitaji kuchanjwa.
Umelipwa shilingi ngapi ya promo?
 
Kila anayelinganisha chanjo hizi na Covax ni mweupe tu. Hamna anachojua. Ni mjinga aliyechangamka.

Huu upumbavu ulioandika hata watengeneza chanjo wenyewe wanakukana. Kwani mkisema ukweli mnaogopoa nini? Na kama hujui kitu si unyamaze tu.

Kwanza hakuna chanjo inaitwa faizer, haipo. Pili chanjo za suruaa na ndui zilikuwa ni mRNA? Tatu hizo chanjo umezitaja ziliingizwe en masse baada ya muda gani. Mwisho unakumbuka ulijaza form ya ku declare liability iwe kwako kwa madhara yeyote kwenye ipi kati ya chanjo ulizozitaja?

Wala usijibu hapa, maana hakuna anayetaka ujibu hapa. Kaa, tafuta majibu ukiisha kuyapata utajiona ulivyo mweupe!
Unateseka ukiwa wapi MKUU?

Uliza saudia wanatumia chanjo gani?
Wacha kuaminisha watu upuuzi,,
Unaogopa chanjo lakini wanawake wabovu unagegeda pekupeku.

There is 1000 ways to die MKUU,,no way to escape death.
 
Naomba kujuzwa, mtu aliyeumwa korona akapona na aliyechanjwa. Je ni nani amejenga kinga zaidi kati ya hawa wawili?
Nadhani balozi wa corona MBILIKIMO Steve nyerere atakujibu vzr.
Mimi sina majibu MKUU..
 
Nakuonea huruma maana huwezi kusababisha mimba kwa mwanamke tena maana mbegu zako zimeshaharibiwa na chanjo
 
now you're entering the land of the ☠️

kwa mbaaaali nakisikia kimluzi cha Negan na lile soundtrack la TWD....😂😂

ZombieEscapeRoom.jpg
 
Mimi ni miongoni watu waliochanjwa chanjo ya COVID-19 Johnson And Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja kuzinduliwa na Rais

Nilijisikia yafuatayo:
1. Nilichanjwa kwenye bega la kushoto, sehemu niliyochanjwa nijisikia maumivu ya sindano kwa siku kama 3 hivi

2. Baada ya kuchanjwa nilijisikia kama kichwa kizito kidogo kwa siku kama 3 hivi

3. Nilijisikia kutaka kupumzika nyumbani nisifanye kazi kwa siku kama tatu hivi

4. Sikutamani kufanya tendo la ndoa kwa siku kama 5 hivi

5. Baada ya wiki moja kupita nikarudi kwenye hali yangu ya kawaida na zaidi

6. Nilijisikia hamu zaidi ya kutaka kujamiiana

7. Nguvu za kiume ziliongezeka mara tatu zaidi

8. Nilitoa mbegu nyingi kuliko kawaida wakati wa kujamiiana

9. Nikajisikia mtu mwenye nguvu kuliko kabla ya chanjo.

10. Tangu nichanjwe sijawahi kupata kikohozi, mafua

11. Kama Koo likinikereketa ilikuwa lazima nimung'unye lozenges au nimeze antibiotics ili nipone lakini juzi koo linikereketa likatulia lenyewe bila kutumia dawa yoyote.

12. Umakini (concentration yangu na busara zangu nahisi kama vimeongezeka kuliko awali.

Nadhani chanjo Iko pia, unaweza kuja kujutia kama chanjo zitaisha bila wewe kuchanjwa. Maana mwenye foleni tulikuwa na watu raia wa Ulaya na Asia wanahitaji kuchanjwa.
Badae chunguza tabia zako utajikuta una hasira za haraka sana wengi waliochanjwa wako hivyo
 
Mume wangu pia amekuja na nguvu za kiume ajabu, yani masaa mawili hashuki kifuani.
 
Mbegu za GMO hamzitaki lakini chanjo ya GMO mnasema iko salama. Tuwaeleweje?
Chanjo salama tu MKUU,,

There is 1000 ways to die mkuu,
Utakwepa chanjo ya COVID ,,lakini chanjo ya tunda la mti wa kati mnachanja tena peku peku.

Sasa mmekwepa nn?
 
Sex imekuwa adimu hivyo, duuu mpaka unafikia kuwaza kupoteza nguvu.

Haya baba jitahidi hivyo hivyo
 
Aisee hukusikia dalili zozote za uzombi mkuu tuambie ukweli tu
Tukutane wapi nikuhakikishie kuwa siko zombie? Hakuna timu huko ulaya ambayo wachezaji wake hawakuchanja, kama chanjo inawageuza mazombie au kitu chochote tutaona wakianza kukosa kufunga hata penalties. Nyie mtajitekenya na kucheka wenyewe dunia inachanja mbuga.
 
Hata mimi sishangai sana kuona watu wanakataa chanjo, maana kuna watu wanakataa kujenga na kutumia vyoo, hadi Leo mpaka washikwe faini za kutokuwa na choo. Twende nao pole pole watu wetu.
Watu hawajaanza kukataa chanjo tu bali walishagomea hata kuchukua tahadhari za kujikinga na hiyo corona yenyewe, pamoja na yote yanayozungumzwa kuhusu corona kuanzia kifo cha rais na viongozi, uhitaji wa mitungi ya oksijeni n.k ila bado watu wamegoma kuvaa barakoa,wamegoma level seat,wamegoma kunawa mikono, wamegoma social distance yani kwa kifupi watu wanaendelea na maisha kama hawajawahi kusikia kuhusu corona hata serikali imefeli katika hili.

Sasa sijui hapo mkuu unafikiri ni kipi ambacho kinafanya ufikiri kuwa itafika muda watu hao hao ambao wamegoma kuchukua tahadhari za kujikinga na corona watahitaji kuchanjwa?
 
Mama Yetu, Rais na Amri Jeshi Mkuu Mama Samia kasema kuchanja ni hiari, na yeye kasema hawezi kuleta kitu cha kuua raia wake (ingawa hapa kidogo kapotoka maana hizi dawa ni za majaribio kwa 100%).
Shida yako kuu ni kwamba hujui hospitali kuna aina zipi za wagonjwa na mahitaji yao. Kila hospitali sasa hivi utakuta mitungi miiiiiingi ya gesi inapakiwa na kupakuliwa na kusogezwa mawodini, lakini hata misiba mitaani imeongezeka na hata mortuary hakukauki watu siku hizi, waulize wachonga majeneza wakwambie biashara yao inakwendaje siku hizi.

Hakuna Rais mwenye akili timamu atakaekubali watu wake wategemee maombi, ndoto, maono na dhana kutibu ukoma. Kama Boris Johnson, Biden, Putin, Kagame (mjanja wa Afrika), Kenyatta wamechanja na watu wake yeye ni nani asubiri na kutegemea wapiga ramli (maombi, nyungu, malimao, pilipili kichaa) kukabiliana na covid 19?
 
Back
Top Bottom