Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Nikiwa Sayari ya dunia. Sina cha kutesekea. Nina furaha tele ndani ya Yesu.Unateseka ukiwa wapi MKUU?
Dah! Yaani na wewe una ngebe nyingi ila ni mweupe sana. Kwa hiyo Saudi wakifanya kitu ndio standard ya kisayansi?Uliza saudia wanatumia chanjo gani?
Mweupe kabisa wewe 😀😀😀
Watu weupe kichwani kama wewe huwa hawajibu hoja wanaongea tu maneno matupu. Onyesha upuuzi wangu kwanza. Sio unapiga taarabu zaidi hata ya Nasma!Wacha kuaminisha watu upuuzi,,
Nitake radhi kama ni muungwana. Umekosa hoja umekuja kwenye matusi. Ok, baada ya kunitusi, chanjo imegeuka kuwa salama? Au ndio majibu ya kisayansi haya mnayodai mnayo?Unaogopa chanjo lakini wanawake wabovu unagegeda pekupeku.
Waambie wenzako ambao mungu wao chanjo wanampigania kufa na kupona. Sisi wengine tunajua wakati wa BWANA ukifika unaondoka na tunaishi bila mashaka. Na ukweli tunawaambia kwa data kabisa. Sio kwa matusi kama yako.There is 1000 ways to die MKUU,,no way to escape death.
Yaani tunawapa data toka jikoni kabisa. Na kwa kuwa hamuwezi kuzijibu mnabakia kutukana na kutishia watu. Hicho pekee ndio mnaweza kufanya kwa sababu sayansi na uhalisia havipo upande wenu!
Uwe na siku njema!