shikamkono01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2016
- 685
- 2,055
- Thread starter
-
- #341
Jeshi!Nimeshanunua viwanja sehemu mbalimbali, kwa umakini wangu sijawahi kupigwa, ispokuwa boko basihaya, ndipo kidogo waliniletea ushoga, baada ya kuona polisi wananiletea mbovu, nikawasilisha Takukuru, hawa ndio waliniokoa, weka ndani wezi sugu na kichapo juu, mpaka wakasarenda, wakalainika, mbaya walishatengeneza Hati, lakini wakachemsha watakubali yaishe, masuala ya ardhi ukilainika kidogo tu, umekwisha mazima.
Umaskini umefunikwa na blanketi la woga!story iko poa sana my self imenfunza kutoogopa vitisho unapodai hak yko
Wapya katika game ila ndio tunajikongoja mdogo mdogoumeandika poa tu,asante kwa kushea nasi.
Una bahati wengine tulishatapeliwa hela nyingi tu na kwa vile nilikuwa mdogo mdeni wangu wala hakuwa na preshaDah jamaa alizingua sana na akanipa uoga sana wakuenda kununua eneo jingine,heri sasa naishi zangu Bonyokwa maisha yanasonga
ElezeaUna bahati wengine tulishatapeliwa hela nyingi tu na kwa vile nilikuwa mdogo mdeni wangu wala hakuwa na presha
ElezeaUna bahati wengine tulishatapeliwa hela nyingi tu na kwa vile nilikuwa mdogo mdeni wangu wala hakuwa na presha
Kwa nini?
Kwa nini?
Kwa nini?
Kwa nini?
Kwa nini?
Kwa nini?
Yaan stori ya kusimulia dk 10 unataka kuifanya iwe ya wiki
Andika yote Kisha tuma
Huu ujinga viongoz wa jf wanaulea sana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mimi sina bahati bali nina uthubutu myUna bahati wengine tulishatapeliwa hela nyingi tu na kwa vile nilikuwa mdogo mdeni wangu wala hakuwa na presha
Tabia si jina ila wito na heshima na utu kwa wanaokuzunguka tuIla Askari [emoji119][emoji119][emoji119]
Ukikutana na anaeitwa Juma umeisha
Umeona eeh?Tecno f1
AmenCha ukorofiii Lovelovie and sister mawigi Antonnia l, Iam 💯 % ipo siku Mtanikumbuka.
Kama sio siku natangazwa kwenye jarida la Forbes Kama billionaire mpya, basi napata tuzo Kama mfanya biashara Bora. I promise that🙏💪 Intelligent businessman